Posts

Showing posts from September, 2020

SUPPORT MAX SHIMBA MINISTRIES

SABBATARIANS SDA AND JEHOVAH WITNESS VS. MAX SHIMBA MINISTRIES

Image
Sabbatarians and Jehovah Witness argument:πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡Is Micheal the massiah and Ben Elohim? 
Michael Is The Chief Prince And Protector
Michael is called the chief prince of God's people. He is also called the protector of the people Israel. The Bible teaches that the Lord is the one who protects Israel.
My help comes from the LORD, Who made heaven and earth. He will not allow your foot to slip; He who keeps you will not slumber. Behold, He who keeps Israel will neither slumber nor sleep (Psalm 121:2-4).
The argument goes like this: If the LORD protects Israel, and Michael is the one who is called the protector of the people, then Michael must be the LORD who is protecting the people.
The Coming Of Christ
The Bible says that when Christ returns, He will come with the voice, or cry of command, of the archangel.
For the Lord Himself, with a cry of command, with the archangel's call and with the sound of God's trumpet, will descend from heaven, and the dead in Christ will rise first (1 T…

JE QURANI INAAMURU WATU KUVUA VIATU WAKATI WA IBADA?

JE QURANI INAAMURU WATU KUVUA VIATU WAKATI WA IBADA?


Mwadishi: Ustadh Chaka Ibn Moosa:
Mhariri: Joseph Kimonyi
Barua pepe:abdulhaq2099@yahoo.com

Utangulizi
Mara nyingi sisi wakristo tumeshutumiwa sana na waislamu kwa kutotoa viatu wakati wa ibada. Kuna vikundi vingi sana vya waislamu hasa waendeshaji mihadhara, vikundi hivi vinazunguka sehemu mbalimbali wakifundisha watu kuwa nilazima watu kutoa viatu wakati wa ibada, Kwani hata Manabii wa zamani walifanya hivyo. Na ukiwauliza ni wapi qurani inaamuru kutoa viatu wanakuwa wakali. Swali la kujiuluza, je ni kweli au ni uongo. Fuatilia somo hili ili upate kufahamu.

Al'Hajj 22:67 (kuhiji)
“Kila umma tumeujalia kawaida ya ibada wanayoishika. Basi wasishindane nawe katika jambo hili. Na walinganie watu kwendea (Dini ya) Mola wako. Bila shaka wewe uko juu ya uongozi uliosawa kabisa.”

Kama waislamu wangalijua maana ya aya hii, wasingalipiga makelele. Kwani Mungu wao Allah anasema kuwa kila umma ameujalia kawaida ya lbada. Kwani kila umma una ibada…

Asili ya Uislamu

IJUE DINI YA UISLAMU NA ASILI YAKENa Mwalimu Eleutary H. Kobelo.UtanguliziKwa miaka mingi waislamu duniani, wanatuhimiza sana sisi Wakristo tuache imani na dini yetu, ili tuingie katika dini yao ya uislamu. Waislamu wanasema dini yao ndio ya haki, mbele ya Mwenyezi Mungu, na tena wasema manabii wote walikuwa waislamu, wanaendelea kusema kuwa hata Bwana Yesu naye alikuwa mwislamu, waislamu wanaendelea kusema kwamba dini ya Islamu haikuchukua au kurithi hata chembe (kidogo) ya tabia ya mafundisho ya ibada za kikafiri, kushirikina na ujahili (yaani ujinga), kwani wanasema Uislamu ni dini safi kuliko zote. Swali la muhimu ni hili. Je, ni kweli kwamba dini ya uislamu haikuchua tabia na mafundisho ya ibada za kikafiri, kushirikina na ujahilia? Ili kujua yote hayo fuatilia kwa makini somo hili lililoandikwa na Mwalimu wangu Mwinjilisti Kobelo na kupitiwa upya nami Mwalimu Chaka.
Sehemu kuu tano za somoJe, manabii wote walikuwa waislamu?Maana ya neno Islam.Nani aliyekuja na dini ya kiislamu?Je…