Posts

Showing posts from June, 2020

SUPPORT MAX SHIMBA MINISTRIES

IDRIS WA QURAN SIO اينوك aynuk HENOKO WA KWENYE BIBLIA

Image
IDRIS WA QURAN SIO اينوك aynuk HENOKO WA KWENYE BIBLIA Mwanzo 5:21-24 “ Henoko akaishi miaka sitini na mitano, akamzaa Methusela. Henoko akaenda pamoja na Mungu, baada ya kumzaa Methusela miaka mia tatu, akazaa wana waume na wake. Siku zote za Henoko ni miaka mia tatu na sitini na mitano. Henoko akaenda pamoja na Mungu, naye akatoweka, maana Mungu Alimtwaa”. Waraka wa Yuda 1:14-16 “Na Henoko mtu wa saba baada ya Adamu, aitoa maneno ya Unabii juu ya hao, akisema, angalia Bwana alikuja na watakatifu wake, maelfu, maelfu, ili afanye hukumu juu ya watu wote na kuwaadhibisha wote, wasiomcha Mungu, kwa ajili ya kazi zao zote za upotevu walizozitenda, bila kumcha Mungu, na kwa ajili ya maneno magumu yote, ambayo hao wenye dhambi, wasiomcha Mungu wameyanena juu yake. Watu hawa ni wenye kunung’unika wenye kulalamika, waendao kwa tama zao, na vinywa vyao vyanena maneno makuu mno ya kiburi, wakipendelea watu wenye cheo kwa ajili ya faida”. Mwisho wa ajabu wa maisha yake ulisababisha mapokeo ya k…

CHRISTIANITY IS THE OLDEST FAITH IN AFRICA

Image
CHRISTIANITY IS THE OLDEST FAITH IN AFRICA Many Africans already knew Christ way before slavery. In fact, it was Simon the Cyrene (Cyrene today is Libya) who helped Jesus carry the cross 2000 years ago. Not long after, Christianity hit Ethiopia when Philip the Apostle spread the gospel of Jesus Christ to an Ethiopian eunuch/high official. 1278 years before slavery in the year 341, Ezana the Ethiopian King officially named Ethiopia a Christian nation. The name of Jesus lasted 1500 years later thru slavery, and still lives on today. You can't "force" Faith. Just ask Harriet Tubman who found Jesus in visions and heard His voice in prayers. Ask Frederick Douglas who found his Faith in Christ as “Redeemer, Friend, and Savior" once he decided to cast all of his cares upon Him. So to those who continue to walk in the ignorance of believing that Jesus was "forced" on us, stop believing every article you read. When you mention "research", make sure you&#…

ELIYA WA BIBLIA SIO ILYAS BANDIA WA QURAN

Image
ELIYA WA BIBLIA SIO ILYAS BANDIA WA QURAN
Tuanze kwa tafsir ya jina Elijah:
Kwa Kiebrania ni אליהו Hebrew: אֵלִיָּהוּ, Eliyahu, ina maana ya "My God is Yahweh. Mungu wangu ni Yehova.
Kwa Kiarabu ni إيليا 'iilia
Kwa Kiswahili ni Eliya.
Kama nilivyo anza kwa kuweka tafsiri ya jina la Nabii Eliya. Umeona kwa Kiarabu ni LILIA na sio Ilyas kama Waislam wanavyo dai. Swali la kujiuliza, kwanini Manabii wote wa Kiislam wana majina tofauti na tafsiri sahihi kwa Kiarabu?
Nabii Eliya ni mmojawapo wa watu wenye kuvutia na mtu maridadi zaidi katika Biblia, na Mungu akamtumia wakati wa kipindi muhimu katika historia ya Israeli kumpinga mfalme mwovu na kuleta ufufio katika nchi. Huduma ya Eliya ilisababisha mwanzo wa mwisho wa ibada kwa Baali katika Israeli. Maisha ya Eliya yalijawa na matatizo. Wakati mwingine alikuwa mwenye ujasiri na mwenye uwezo wa kufanya uamuzi, na wakati mwingine alikuwa mcha Mungu and msikifu. Kwa upande mwingine yeye ni dhihirisho la ushindi na uhodari, ikifuatiwa na …