Posts

Showing posts from April, 2019

SUPPORT MAX SHIMBA MINISTRIES

Renowned Journalist, Kadaria Ahmed Converts To Christianity In Zamfara State, Nigeria, Relocates To London For Safety

Image
BREAKING NEWS 

HABARI NJEMAAAAAA

Mwanahabari Mashuhuri Kadaria Ahmed wa huko Zamfara State, Nigeria, ameukana Uislam na kumkubali Yesu Kristo Mungu Mkuu. HAKIKA KUNA RAHA YA AJABU KWENYE UKRISTO,

Dada yetu amekimbilia Uingereza kwa sababu za kiusalama na kuepuka vitisho anavyo pokea kutoka kwa Waislam

Renowned Journalist, Kadaria Ahmed Converts To Christianity In Zamfara State, Nigeria, Relocates To London For Safety

RAIS WA ZAMANI WA GUINEA AUKANA UISLAM NA KUINGIA UKRISTO

Image
HABARI NJEMAAA RAIS WA ZAMANI WA GUINEA AUKANA UISLAM NA KUINGIA UKRISTO. Aliye kuwa Rais wa Guinea Moussa Dadis Camara ameukana Uislam na Kuingia Ukristo. Sasa anaitwa Moses Dadis Camara na kulifuta jina la Moussa. HAKIKA YESU NI MUNGU MKUU Moussa Dadis Camara Ex-officer of the Guinean army who served as the President of the Republic of Guinea Christian convert from Islam. His name now is Moses Dadis Camara. Shalom

YESU NA BABA NI WAMOJA

Image
YESU NA BABA NI WAMOJA

Yohana 10:30
Mimi na Baba tu umoja.

Waislamu wana msemo wao kwamba eti, Yesu na Mungu ni wamoja katika malengo, si katika asili yao. Basi huwa nawauliza swali kuhusu aya ifuatayo ya Isaya, nao wanazimika na kukosa jibu:

Isaya 9:6
Maana kwa ajili yetu MTOTO amezaliwa, Tumepewa MTOTO MWANAMUME; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, MUNGU MWENYE NGUVU, BABA WA MILELE, Mfalme wa amani.

Aya hii iko wazi kabisa. anayetajwa ni Yesu kwamba Yeye ni Mungu mwenye nguvu.

Yohana 14:9
Yesu akamwambia, Mimi nimekuwapo pamoja nanyi siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? ALIYENIONA MIMI AMEMWONA BABA; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba?

Maneno haya Yesu aliyasema baada ya kuulizwa swali lililo wazi kabisa, ambalo lilikuwa na lengo la kumjua MUNGU BABA! Imeandikwa: Filipo akamwambia, Bwana, UTUONYESHE BABA, yatutosha. Ndipo Yesu akajibu waziwazi: ALIYENIONA MIMI AMEMWONA BABA. Maana yake ni kuwa, “Mimi ndio Baba mwenyewe.”

Shalom,

Max Shimba Mt…

KWANINI YESU KRISTO NI ZAIDI YA MUHAMMAD NA ALLAH

Image
Tuanze na kunukuu vitabu vya Allah na Muhammad na tuone Je, Muhammad alikuwa na nani kwenye nyoyo yake: Abu Huraira (r.a) amesimulia kuwa "Mtume Muhammad (s.a.w) alikuwa na shetani tangu alipozaliwa, (Fat'hul Baary Juzuu ya 6 Uk. 389). Je, kuna ushahid wowote ule kuwa Muhammad alitolewa Shetani? Kama upo Basi Waislam, tuleteeni tuuone. Abu Huraira alisema, "nilimsikia Nabii wa Allah akisema, Hakuna kiumbe ambaye hakuguswa na Shetani, ndio maana mtoto hulia kwa sauti kubwa wakati wa kuzaliwa kwasababu Shetani anakuwa amemgusa, ISIPOKUWA Mariyam na Mwanae Yesu, wao hawakuguswa na Shetani. Kisha Abu Huraira akasema : " Na najikinga na Wewe kwa ajili yake na kwa ajili ya watoto wake kutoka kiwa Shetani" ( 3.36 ) Ndugu zanguni, Muhammad leo amekiri kuwa, YESU hakuwai kuguswa na Shetani lakini yeye na Waislam wote wameguswa na kuchezewa na Shetani. KILA MUISLAM ANA JINI KATIKA MWILI WAKE Majini wamepewa ruhusa ya kukaa katika mwili wa Muislam yeyote, hivyo kila Muis…

MAELFU WABATIZWA UFILIPINO

YESU NI MTAKATIFU

Image
Je, Utakatifu Ni Nini? Jibu lake ni rahisi, neno utakatifu lina maana ya kutengwa kwa ajili ya Mungu Baba, na kumwishia Yeye kwa namna inayompendeza. Utakatifu unaonekana katika maisha ya Yesu, na katika maisha ya mkristo anayekua kiroho. Ni mfumo wa maisha ambao Mungu anautaka kwa watu wake anaowaita watakatifu. Maneno "mtakatifu, mtakatifu, mtakatifu" yanaonekana mara mbili katika Biblia, mara moja katika Agano la Kale (Isaya 6: 3) na mara moja katika Mpya (Ufunuo 4: 8). Mara sote mbili, maneno hayo yanasemwa au kuimbwa kwa viumbe wa mbinguni, na mara mbili hutokea katika maono ya mtu aliyepelekwa kwenye kiti cha enzi cha Mungu: kwanza kwa nabii Isaya na kisha kwa mtume Yohana. Kabla ya kushughulikia kurudia mara tatu ya utakatifu wa Mungu, ni muhimu kuelewa nini hasa maana ya utakatifu wa Mungu. Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu, Bwana Mungu Mwenye Uweza Je ulijua kwamba Mungu si mtakatifu mara moja tu, lakini kwa sababu ya nafsi tatu zinazofanya Mmoja, yeye ni mtakatifu m…

YESU NI MUNGU MWOKOZI NA MUNGU MKUU

Image
Jina takatifu la Yesu (kwa Kiebrania יֵשׁוּעַ, Yēšū́aʿ, 'Yeshua; yaani "YHWH anaokoa", hivyo "Mungu Mwokozi") Yesu maana yake ni “Mungu Mwokozi”: alichaguliwa jina hilo kabla hajazaliwa, akitabiriwa kuwa “yeye ndiye atakayewaokoa watu wake na dhambi zao” (Mathayo 1:21). “Hakuna wokovu katika mwingine awaye yote, kwa maana hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo” (Matendo 4:12). Kumbe ndio maana hata kwenye Tito 2:13 “Tukilitazamia tumaini lenye mafunuo ya KRISTO YESU MUNGU MKUU NA MWOKOZI WETU”. Unaona raha ya kumfuta Mwokozi na Mungu Mkuu? Mhalifu msalabani alimwita YESU Mungu na kumuomba YESU atakapokuwa katika ufalme wake amkumbuke mharifu huyo”. Luka 23:39-43. Yesu hakukataa kuwa SI MUNGU bali alisema, Amini nakuambia leo hivi, utakuwa pamoja nami peponi. Ndio maana tutaendelea kusema kuwa Yesu ni Mungu Mkuu, na Mwokozi wetu maana hayo yote yanawezekana kwa Yesu Pekee. Shalom, Max Shimba, mtumwa wa Yesu Krist…

MOHAMMAD HUYOO NDANI YA BIBLIA

Image
MOHAMMAD HUYOO NDANI YA BIBLIA.

MAAJABU YA DUNIA NA HONGERA WAISLAM

Ufunuo 20:10 Na Ibilisi aliyekuwa akiwapotosha alitupwa ndani ya lile ziwa la moto na kiberiti, ambamo wote wawili, yule mnyama wa mwituni+ na yule NABII WA UWONGO, tayari walikuwa;+ nao watateswa* mchana na usiku milele na milele.

HAKIKA MUHAMMAD ALIKUWA NABII WA UONGO

ALLAH ANASEMA ATAUKATA MSHIPA MKUBWA WA MOYO WA NABII WA UONGO:

Quran 69;44_46 Allah ataukata mshipa mkubwa wa Moyo wa Nabii wa uongo.
MUHAMMAD ANAKIRI KUWA MSHIPA WAKE MKUBWA MOYO UMEKATWA NA ALLAH:

USHAHIDI WA KWANZA:

Sahih Bukhari 5;59;713 Muhamadi amekiri wakati anakufa: Ninahisi kama mshipa mkubwa wa Moyo wangu unakatwa .

USHAHID WA PILI:

Abu Dawud 34;4498 huu ndio wakati ambapo mshipa mkubwa wa Moyo wangu unakatwa

Swali moja tu kwa Waislam: ..Allah kamwita Muhammad nabii wa uongo, Je kwa nini nyinyi Waislamu mnamfuata nabii wa Uongo?

TUENDELEE NA USHAHID MWINGINE WA QURAN:

Muhammad(SAW) alikiri kuwa yeye hakuwa na uwezo wa kufanya Miujuza

Ndugu zanguni, leo ni…

At Least 20 Stung by Swarm of Bees at Arizona Mosque

Image
Phoenix Fire Department officials say more than 20 people complained of getting stung by multiple bees at the Muslim Community Mosque near 32nd Street and McDowell Road. One 24-year-old man was taken to a hospital for treatment, police say. Everyone is in stable condition. 15-20,000 Africanized bees from this hive stung 20 people. 1 person taken to hospital. pic.twitter.com/mq2PVu1lFO — Nick VinZant (@NickVinZant) April 2, 2016 Fire crews sprayed the building with foam during the incident. Several people were removed from the building via an ambulance. Parts of 32nd St. blocked off after multiple people stung by bees at community Mosque. pic.twitter.com/YfmxwQ11JN — Nick VinZant (@NickVinZant) April 1, 2016 Air15 also captured a hive sprayed by crews near 12th Avenue and Buckeye. Video showed bees still flying in the area after the hive had been foamed. No injuries have been reported in that incident. “I don't know, it was just crazy how everyone was running everywhere,” said Joh…