Posts

Showing posts from March, 2019

SUPPORT MAX SHIMBA MINISTRIES

KWARESMA NA JUMATANO YA MAJIVU NI NINI NA ILIANZIA WAPI?

Image
Kwenye somo letu la leo, tutajifunza maana ya Kwaresma na Jumatano ya Majivu kama inavyo fuatwa na Kanisa la Katoliki. 
Hii mada ninaifundisha kwa sababu ya swali ninilo ulizwa na sina budi kulijibu kiuwazi. Sio kusudio la hii mada kukosoa wala kukubali, bali ni kueleza na kujifunza maana yake. 
KWARESMA ni kipindi cha mfungo kwa waumini Wakatoliki. Mfungo huu ni wa siku arobaini. Kipindi hiki kinaanza na ibada ya kupakwa majivu kwenye paji la uso (siku ya Jumatano ya Majivu) ikiwa ishara ya kuanza toba. Kujikubali kwamba tu wakosefu na pia kujutia makosa yetu tunayotenda kinyume na mapenzi ya Mungu. 
Jina la Jumatano ya Majivu, lilianza kutumika rasmi mwaka 1099 na Papa Urbani II: mwanzoni iliitwa “Mwanzo wa Mfungo”. Majivu yatumikayo hutokana na matawi yaliyobarikiwa Jumapili ya Matawi ya mwaka uliopita. Kwaresima ni kipindi cha siku arobaini za kufunga, kusali, kutafakari Neno la Mungu na kufanya matendo ya huruma. Ni wakati wa kumwilisha utamaduni wa Injili ya upendo!
Kipindi cha…

KWANINI MAJINA YA KISLAMU HUFANANA NA MAJINA YA MAJINI?

Image
Nilitafakari jambo kwa makini kwanini majina ya kislamu hufanana na majina ya majini, kama maimuna shwaibu, Hassan, Fatuma, Muhammed, Athuman, Sharif, Farid, nk. Kwa ujumla hutakutana na jinni ambalo lina jina la Kikristo majini yoote yana majina ya kiislamu anaeleza Desmon Mkumbo mmoja ya wataalamu wa huduma ya Biblia ni jibu Tanzania. Majini au mapepo pia huhubiri Uislamu kwa nguvu na huhusika kusilimisha watu ukiwa na ugonjwa au pepo limekupagaa ukipelekwa kwa sheikh au maalim akusomee duwa utapewa masharti ya kubadili dini,jina, kusilimu au kuswali haya ni maagizo ya majini Mwenye masikio na asikie!. Mtume Muhammad alikuwaa anatumia Uchawi? Muhamad alikwenda Yerusalem akafika pale lilipokuwa Hekalu la wayahudi wenyewe waislamu hupaita Baittil maqdis kwa usiku mmoja kwa kutumia mnyama aitwae “Buraq” Mnyama huyu ni jinni lenye sura ya mwanamke mzuri na mwili wa Farasi (Soma kitabu Maisha ya nabii muhamad uk 28 kifungu cha mwisho) jambo hili lilimfanya akataliwe zaidi na watu wa mak…

Israel yapeleka kitabu cha Biblia mwezini

Image
BIBLIA NDIO KITABU PEKEE NA CHA KWANZA KUFIKA MWEZINI ISRAEL imetuma chombo cha anga za mbali ambacho kimeanza safari yake ya miezi miwili kabla ya kutua mwezini kikiwa na Biblia na vitu vingine mbalimbali ambayo vitaachwa huko. Gharama za kuisafirisha Biblia ni jumla ya Dola Milioni mia moja za Kimarekani. Chombo hicho kilichorushwa majira ya saa 8:45 usiku wa Alhamisi kutokea Cape Canaveral, Florida, Marekani, kikiwa kinasafirishwa na roketi ya Falcon 9 kutoka kampuni binafsi ya SpaceX inayomilikiwa na bilionea Elon Musk, kina uzito wa kilo 585 na kimepewa jina la Beresheet linalomaanisha “Mwanzo” kwa lugha ya Kihebrania. Beresheet imeweka rekodi ya kuwa chombo cha kwanza kilichopelekwa mwezini kwa ufadhili binafsi na chombo cha kwanza kwa taifa la Israel na endapo kitafanikiwa kutua mwezini, Israel itajiunga na Marekani, Urusi na China kama nchi pekee zilizowahi kufanikiwa kutua vyombo kwenye uso wa mwezi. Chombo cha ”Mwanzo” kikifanikiwa kuingia kwenye mzunguko wa dunia na kuzung…

UNAWAFAHAMU MALAIKA WAKUU SABA WA MUNGU "ARCHANGELS OF GOD? (SEHEMU YA TISA)

Image
MALAIKA MKUU RAFAELI Malaika Rafaeli (kwa Kiebrania רָפָאֵל, Rāfāʾēl, "Mungu anaponya" au "Mungu, ponya!") ni malaika anayetajwa na Kitabu cha Tobiti katika Deuterokanoni na vile vile yupo kwenye kitabu cha Henoko. Kwa hiyo anaheshimiwa na madhehebu yanayokubali kitabu hicho kama sehemu ya Biblia. Katika Uislamu ni sawa na malaika Israfili. Vitabu vya deuterokanoni (kutoka Kigiriki "deuteros" = ya pili na "kanon" = orodha) ni maandiko ya Agano la Kale yanayotazamwa na Wakatoliki, na baadhi ya Waorthodoksi na ya Makanisa ya Kale ya Mashariki kama sehemu kamili ya Biblia. Wayahudi na Waprotestanti wengi huviita apokrifa na kuvitazama kama vitabu vinavyostahili kuheshimiwa lakini si sawa na Biblia yenyewe. Raphael, Malaika Mkuu. Kiebrania ya kawaida, "Mungu ameponya", "Mungu anaponya", "Mungu, tafadhali uponya", na mchanganyiko mwingine wa maneno mawili. Malaika Mkuu wa Kiyahudi na Ukristo, ambaye hufanya kila aina ya…

"Jesus Knocks on Muslim Imam's Door" -- Zak Gariba on Full Circle -- 1/2

Image

INJILI YA BARNABA

Image
Beleshi Linalochota Waislamu na Kuwatupia Kwenye Shimo la Kuzimu Ulimwengu wa Kiislamu, kama kawaida yake, unatia juhudi kubwa sana katika kuuchafua Ukristo ili angalau uweze kuendelea kuwashikilia walio ndani yake; na pale inapowezekana, kuwadanganya Wakristo wasiojua Ukristo wala Uislamu. Kuna mambo mawili makubwa ambayo huwa yananishangaza sana kuhusiana na masuala ya kiroho. Kwanza ni jinsi ambavyo wakuu wa dini wa Kanisa Katoliki wanavyotumia miaka na miaka kusomea dini na Biblia, kisha wanakuja kuishia kufundisha mambo yaliyo nje ya Biblia!!! Kwa mfano, wanawaambia waumini wao kuwa wafu wanatuombea kule mbinguni au kwamba unaweza kufanya misa huku duniani halafu ndugu yako aliyekufa akiwa na dhambi na, kwa ridhaa yake alikataa wokovu, eti atasamehewa dhambi na Mungu atamuingiza mbinguni!!! Jambo la pili linalonishangaza sana ni kitendo cha Uislamu na Waislamu kutumia uongo kwa juhudi kubwa sana ili kutetea dini yao na kuwafanya waumini wao waendelee kubakia kwenye Uislamu. Kama…

WADADA WA KISOMALI WANAENDELEA KUUKUBALI UKRISTO NA KUMKANA MUHAMMAD

Image
Maisha ya Maonyesho na Ubatili Moyo huwa mdanganyifu kuliko vitu vyote, una ugonjwa wa kufisha; nani awezaye kuujua?
(Yeremia 17:9). Lakini kila mtu na aipime kazi yake mwenyewe, ndipo atakapokuwa na sababu ya kujisifu ndani ya nafsi yake tu, wala si kwa mwenzake. (Wagalatia 6:4). Katika somo lililopita nililoliita Nia ya Ndani ya Moyo niligusia kuhusu umuhimu wa kuwa makini na nia zetu pale tunapomwendea Mungu, maana Mungu anajali sana hizo nia ambazo ndizo zinazoamua endapo atayakubali maombi yetu au tutaishia kupata hasara. Katika somo hili namwomba Mungu anisaidie kufafanua kwa uwazi zaidi kile ambacho hasa kinaweza kuwa kinaendelea ndani ya mioyo yetu, ambacho ndicho anachokiona Mungu wetu pale anapotutazama. Katika nyakati za Biblia kulikuwa na dhambi ambazo, labda niziite kuwa ni “za jumuiya.” Dhambi za namna hii zingeweza kutendwa na mtu mmoja lakini athari zake zikaangukia familia au hata taifa zima – ingawaje wengine wanakuwa hata hawakushiriki au hawakujua kwamba mkosaji ha…

A devout Muslim woman who harbored a deep hatred of Christians converted to Christianity after Jesus.

Image
By LEAH MARIEANN KLETT ( news@gospelherald.com ) A devout Muslim woman who harbored a deep hatred of Christians converted to Christianity after Jesus appeared to her in a dream and told her to visit a local church.
An Assyrian woman attends a Mass on March 1, 2015, inside Ibrahim al-Khalil church in Jaramana, eastern Damascus, in solidarity with the Assyrians abducted by Islamic State fighters in Syria. Photo courtesy of REUTERS/Omar Sanadiki A devout Muslim woman who harbored a deep hatred of Christians converted to Christianity after Jesus appeared to her in a dream and told her to visit a local church. According to Christian Aid Mission, the young woman, whose name was not disclosed for security reasons, lived in Turkey's Black Sea coast along with her strict Muslim family. One Sunday, she showed up at the church of Pastor Matta, the leader of an indigenous ministry reaching Turkey's 96-percent Muslim population. Through tears, she told the pastor she had seen him preach on…

BIBLIA NI KITABU KILICHO TOKA KWA MUNGU

Image
Biblia ni zawadi ya Mungu, na tunapaswa kumushukuru sana kwa zawadi hiyo. 
Biblia ni kitabu kilicho tofauti na vitabu vingine. Inatujulisha mambo ambayo hatungejua. Kwa mfano, inatuelezea namna dunia na mbingu zenye kujaa nyota viliumbwa, na namna mwanaume na mwanamuke wa kwanza waliumbwa. Kanuni za Biblia ni za kweli na zinaweza kumusaidia mutu ajue namna ya kushindana na magumu na mahangaiko ya maisha. Inatufasiria namna Mungu atatimiza kusudi lake na kufanya maisha yawe mazuri sana duniani. Kweli, Biblia ni zawadi yenye kufurahisha kabisa!
Biblia inapatikana katika luga zaidi ya 2 500, yote nzima ao kwa sehemu; kwa hiyo watu wengi duniani wanaweza kuipata (zaidi ya 90%). 
Biblia zaidi ya milioni moja zinagawanywa kila juma! Mamilioni na mamilioni ya Biblia zimekwisha kuchapishwa, iwe yote nzima ao kwa sehemu. Kwa kweli, hakuna kitabu kingine kinacholingana na Biblia.
Biblia ‘imeongozwa na Roho ya Mungu.’ (2 Timotheo 3:16) Maana yake nini? Biblia yenyewe inajibu hivi: “Wanadamu wal…

MUUJIZA WA BWANA YESU NDANI YA MSIKITI

Image
Huu ni ushuhuda wa dada mmoja wa kutoka Indonesia ambaye, japokuwa zamani alikuwa Mwislamu (na sasa ni Mkristo), Bwana Yesu alimwokoa kimiujiza yeye pamoja na watu wengine kutoka kwenye janga na mauti ya sunami na tetemeko ambavyo vilisababisha vifo vya mamia kwa mamia ya watu Je, ni nini kilisababisha hadi Bwana Yesu akaingilia kati wakati ule ambapo kifo kilikuwa hakikwepeki? Fuatilia ushuhuda huu wa kushangaza, ambao kwa maneno yake mwenyewe, dada huyu anasimulia kile kilichotokea, hadi kufikia mahali ambapo yeye na watu hao wakamwamini Bwana Yesu bila hata mahubiri ya moja kwa moja ya Injili. Bwana alihubiri mwenyewe: Usiku uliotangulia janga lile la sunami na tetemeko, dada huyu aliota ndoto ambayo ilimpa mawazo mengi sana lakini hakujua ina maana gani. Katika ndoto ile, alijiona kuwa anajenga nyumba yake mwenyewe. Kuta tayari zilishasimama lakini kulikuwa hakuna paa; ambalo kwa kawaida huwa ni ishara ya ulinzi. Na nje ya nyumba kulikuwa na umati mkubwa wa watu waliokuwa wamezunguka…

ALLAH KATEREMSHA AYA NA KUSEMA WATAKAOINGIA PEPONI NI WATU WENYE CHUKI

Image
Sura Al-Nahl 16:28 [Kuhusu wale wanaoingia mbinguni] – Malaika watasema kwa wale ambao watawafanya wafe katika usafi (utakatifu), ‘Amani na iwe juu yenu. Ingieni paradiso kutokana na matendo yenu.’ LAKINI, QURAN HIYO HIYO INASEMA: Sura Al-Hijr 15:45-47 Wenye haki (watakatifu) watakaa kwenye bustani na chemchemi za maji, kwa amani na usalama wataingia humo. Nasi tutaondoa chuki yote ndani ya mioyo yao. Maswali: 1. Katika 16:28, inaonekana kwamba watakaiongia peponi ni watu walio safi kwa sababu malaika wamesababisha watu hao wafe wakiwa safi. Lakini 15:45-47 inaonyesha kuwa wataingia peponi wakiwa na chuki mioyoni mwao. Je, chuki ni sehemu ya usafi?
2. Je, aya hizi zimetoka kwa mtoaji yule yule?
3. Kama chuki ni mbaya kiasi cha kuhitajika kuondolewa mioyoni mwa Waislamu wanaoingia peponi, iweje wakiwa duniani wanaagizwa kuwachukia wale wasio Waislamu (kama tulivyoona kwenye 4:101)? HITIMISHO Hizi ni baadhi tu ya aya ambazo zinaonyesha kuwa quran au Allah anasema jambo moja hapa, kisha a…