Posts

Showing posts from February, 2019

SUPPORT MAX SHIMBA MINISTRIES

Christian Mother of 11 Poisoned to Death in Uganda by Muslim Sister-In-Law Months After She Left Islam

Image
A Christian mother of 11 was poisoned to death last week by her Muslim sister-in-law in an eastern Ugandan village, neighborhood sources told a leading Christian persecution watchdog organization. Namumbeiza Swabura, a Muslim convert to Christianity, succombed to food poisoning last Wednesday after enduring months of constant threats from local Muslims after she and her husband — a former Islamic school teacher [sheikh] — accepted Jesus Christ as their Lord and Savior in August 2014, sources informed Morning Star News. Swabura is survived by her husband, Mugoya Muhammad, and her 11 children, the youngest being a 5-month-old infant. Sources allege that Swabura's sister-in-law, Jafaran Wowa, visited Swabura at her home around 4 p.m. last Wednesday in Kibuku District's village of Nabuli and offered to prepare Swabura a meal known in Uganda as matoke, which consists of cooked plantains. After preparing the dish, Wowa did not eat any and left quickly after Swabura finished consumi…

JE, YUKO WAPI MUNGU BABA KWENYE AGANO LA KALE?

Image
Ukweli unaoshangaza ni kwamba watu walioishi ziku za Agano la Kale walikuwa na uelewa mdogo sana juu ya Mungu Baba. Bali yeye alikuwepo na kwa kweli ametajwa mara-kadhaa. Moja ya sababu zilizomfanya Kristo aje duniani kama mwanadamu ilikuwa ni kumdhihirisha Baba (Yohana 1:18; 5:37; 8:19; 14:7; Luka 10:22). Asingeweza kumdhihirisha iwapo kama Mungu wa Agano la kale ambaye ndiye Waisraeli walimjua, alikuwa ni Baba. Tena basi kisababisho cha kwanza cha kuwepo kwa Mtu ambaye hatimaye alikuwa ndiye Baba kinapatikana kwenye sura ya kwanza kabisa ya ya Biblia. “Mungu akasema, Na tumfanye [sio mimi] mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu;....” (Mwanzo 1:26). Hii haiashirii “uwingi wa mwenyezi” kama wasomi na wanazuoni wengine wanavyofikiri). Kwenye aya ya 2 tumepewa jina linguine la “Bwana [YHVH] Mungu”” kama mshiriki mlengwa wa matendo na maneno wa hii “sisi.” Kumbe huyu –Wamilele (ambayo naiyo maana ya neno YHVH)—ndye kila mara ndiye anayeshughulika na wanadamu kama ujumbe wa Biblia unavyosema.…

JE, YESU NI MUNGU?

Image
Na je, Yesu ndiye Yahova Baba wa Milele? Je, kuna Mungu mwingine zaidi ya huyu Mmoja? Tafadhali Nifafanulie.” Maswali haya ili kuyajibu kwa kina yanahitaji makala iandikwe ukurasa mzima. Na makala kama hiyo itayaonekana ikiendelezwa kwenye nakala zijazo za Kwanini Yesu ni Mungu http://www.maxshimbaministries.com/…/je-bwana-yesu-anapataj… . Jibu litakalotolewa kwenye kipande hiki cha makala litakuwa ni fupi na litakosa maelezo ya kina kufafanua. Ndiyo, Yesu ni Mungu, vinginevyo asingeweza kuwa Mwokozi wa wanadamu.1). Iwapo kama Yesu angekuwa ni mwanadamu tu basi kifo chake kingekuwa cha kutoa dhabihu ya kulipa deni la adhabu ya kumfanya mwanadamu mmoja aliyeichukua adhabu ya kosa kwa kuvunja au kuiasi Torati ya kiroho ya Mungu. Kwa kuwa ni Mungu Baba ndiye aliyeumba vitu vyote kupitia kwa Yesu Kristo. (Waefeso 3:9) na kwa kuwa vimhusivyo mwanadamu vilifanywa na Yesu Kristo (Yohana 1:1-5 pamoja na aya ya 14; na aya ya 10; 1Wakorintho 8:6; Wakolosai 1:12-19). Yeye ndiye Muumbaji na kwa …

ASIYE NA DHAMBI AWE WA KWANZA KUTUPA JIWE

Image
Tuanze na kujifunza maana ya "Dhambi". Dhambi ni nini?

Dhambi ni tendo, hisia, au wazo lolote linalopingana na viwango vya Mungu. Inatia ndani kuvunja sheria za Mungu kwa kutenda mabaya, au ukosefu wa uadilifu, kwa maoni ya Mungu. (1 Yohana 3:4; 5:​17) Biblia pia inaeleza kuhusu dhambi ya kutofanya lililo sawa ingawa mtu anajua alipaswa kulifanya.​—Yakobo 4:​17.

Katika lugha za awali za Biblia, neno dhambi linamaanisha, “kukosa shabaha.” Kwa mfano, askari fulani katika Israeli la kale walikuwa na ustadi wa kutupa mawe kwa kombeo “bila kukosea.” Maneno hayo yanapotafsiriwa kihalisi yanamaanisha “bila kufanya dhambi.” (Waamuzi 20:16) Hivyo, kufanya dhambi ni kukosa shabaha ya viwango vikamilifu vya Mungu.

Kwa kuwa Mungu ndiye Muumba, ana haki ya kuwawekea wanadamu viwango. (Ufunuo 4:​11) Tunawajibika kwake kwa matendo yetu.​—Waroma 14:12.

Sasa tusome aya kutoka Biblia Takatifu Injili kutokana na Yohana Mlaongowa 8 aya ya 2 mpaka 11:

“2 Hata asubuhi kulipokucha akaingia tena hekalun…

MUNGU, MWANDISHI WA BIBLIA

Image
“kila andiko limeandikwa kwa upako wa Mungu”

Kama mtu anaweza kuangalia ukubwa wa mbingu ama ulimwegu atashangazwa na ubunifu na muundo msingi wa uumbaji. Kila upande wa jinsi dunia ilivyoumbwa ni ushahidi kimya kuwa yupo Muumbaji. Mbali na kitabu tunachojua kama Biblia, Binadamu atazidi kubaki mjinga na ashindwe kuelewa asili na hatima ya dunia. Biblia ndio ufunio wa Mungu kwa binadamu. Inaonyesha ukweli dhahiri kuhusu Mungu na binadamu. Inaonyesha kusudi kuu la uumbaji, asili ya dhambi na kifo, kuendelea na hatima ya mataifa na kisha ufalme wa Mungu unaokuja. Lakini Biblia pia ina dhamani ya kibinafsi. Na huwapa vijana na wazee matumaini. Inatuonyesha sababu halisi ya kuishi na pia kufunua ujinga ufuatao wa dunia ambayo imejitenga na Mungu na Uumbaji wake. Kwa kifupi,biblia inaweza kubadilisha maisha yetu.

Lengo la hili somo ni kuonyesha kwamba kuna Muumbaji mmoja mkuu ambaye aliongoza kuandikwa kwa Biblia ili kuonyesha tabia zake na kusudio lake kwa mwanadamu.


2 Timotheo 3:14-17; 2 Pe…

JE, MCHEZO WA “KU-BETI” NI DHAMBI?

Image
Na Pastor Zakayo Nzogere JE, MCHEZO WA “KU-BETI” NI DHAMBI? Kati ya mambo mapya na yenye mvuto usio wa kawaida kwa watu wa rika zote, ni mchezo wa KU-BETI. Kuna makampuni mengi ambayo yanasimamia mchezo wa KU-BETI kama vile BetWay, Bet365, BetOnline, SportPesa, na mengine mengi. Swali kubwa ambalo WAPENDWA wengi wanajiuliza ni kama mchezo huu ni halali kwa Mkristo kuucheza? Mimi sina majibu ya moja kwa moja, ila nitatoa mtazamo wangu binafsi kwa kutumia Maandiko. Pia ninaomba na wengine muwe huru kutoa MITAZAMO yenu CHANYA ili kwamba tuweze kuwa na UELEWA mpana wa jambo hili. MASWALI YA MSINGI YA KUJIULIZA:
• Dhambi ni nini?
• Kuna tofauti gani kati ya ku-beti, kamari, na bahati nasibu?
• Je, Biblia inasemaje kuhusu michezo ya bahati nasibu? & Je, ku-beti kunawezaje kuathiri maisha ya Mkristo? 1. DHAMBI NI NINI? Biblia inafafanua dhambi kama uasi au kutotii maagizo ya Mungu. Adamu na Hawa walifanya dhambi ya kutotii maagizo ya Mungu, matokeo yake ni kwamba mahusiano yao na Mungu yak…

CHAKULA CHA BWANA NI NINI?

Image
Chakula cha Bwana ni nini? Kwa nini kushiriki? Tushiriki mara ngapi? Haya ni maswali katika akili za wengi. Chakula cha Bwana kilianzishwa na Bwana mwenyewe kama kumbukumbu kwa ajili ya mateso yake kutokana na dhambi zetu (Mt. 26:26-29). Leo Wakristo wanaadhimisha jambo hili kukumbuka tukio kuu la vizazi vingi, kifo cha Kristo. Kushiriki katika hali ya kumpendeza Mungu, chakula hiki ni vema kiwe na vitu halali. ASILI YA KIHISTORIA YA KARAMU YA BWANA Injili ya Mathayo (26:26ff), Mariko (14:22ff) Na Luka (22:14ff) zinatoa habari kuhusu Karamu ya Mwisho ambayo Yesu alikula pamoja na wanafunzi wake usiku kabla ya kifo chake. Yote inaeleza Yesu kushukuru au kubariki mkate na kikombe, na kuwapa wanafunzi akisema kuwa mkate ni mwili na kikombe ni damu ya agano au agano jipya katika damu yake. Katika Luka 22:19 Yesu anasema, “fanyeni hivi kwa ukumbusho wangu.” Injili ya Yohana haijatoa habari kuhusu kukula na kunywa bali mafundizo na matendo ambayo yalijawa kwenye jioni hiyo. Yesu alisema: w…

BIBLIA TAKATIFU MAANA YAKE NINI?

Image
BIBLIA TAKATIFU MAANA YAKE NINI? “Biblia Takatifu” maana yake nini? Neno “Biblia limetoka katika neno la Kiyunani ‘biblos’ likiwa na maana “Kitabu”. “Takatifu” ni neno lenye maana ‘weka kando” au “tenga”, likiwa ni jambo lililowekwa kando au limeweka wakfu kwa ajili ya Mungu kwa hiyo kuitwa “Biblia Takatifu”hiki kitabu kiliitwa hivyo kwa sababu kilionekana kuwa ni neno la Mungu lililovuviwa, kilitengeka kabisa toka katika vitabu vingine vyote vilivyowahi kuandikwa. Biblia iliandikwa lini? Kwa kweli Biblia ni mkusanyiko wa vitabu au maandiko ambayo yaliandikwa kipindi kirefu takribani miaka 1600 na waandishi wengi tofauti. Vitabu vya kwanza viliandikwa na Musa karibu 1500 KK, ambapo cha mwisho kiliandikwa na Yohana Mtume kuelekea mwisho wa karne ya kwanza. Kwa sababu gani Biblia imegawanyika katika Agano la Kale na Jipya? Kama tukitazama orodha ya majina ya vitabu kabla ya dibaji tunaona kwamba Biblia ina vitabu 66. Waliofasiri waligawa hivi vitabu katika Agano la kale na Jipya miaka …