Posts

Showing posts from 2019

SUPPORT MAX SHIMBA MINISTRIES

Je, Yesu Alitumwa kwa Israeli Peke Yake?

Image

Je, Yesu alisema kuwa Yeye ni Mungu?

Image
“Wahubiri wa injili” wa Kiislamu huwa wanapinga kuwa Yesu ni Mungu na unapowakatalia wanakwambia, “Lete andiko.” Maandiko yapo mengi sana ndani ya Biblia juu ya ukweli kwamba Yesu ni Mungu. Ni mengi mno!
Ukishawapa andiko, wanabadilika na kusema, “Nataka maneno aliyoongea Yesu mwenyewe.”
Hiki ni kigezo POTOFU na si cha kibiblia hata kidogo. Ukweli ni kwamba, Biblia YOTE ni Neno la Mungu. Haijalishi amezungumza Musa, Isaya, Yohana, Petro au Yesu mwenyewe. Imeandikwa: Maana unabii haukuletwa po pote kwa mapenzi ya mwanadamu; bali wanadamu walinena yaliyotoka kwa Mungu,wakiongozwa na Roho Mtakatifu. (2Petro 1:21).

Hivyo, kudai kwao eti, “Nataka maneno aliyosema Yesu mwenyewe,” ni kigezo batili na kisicho na mantiki hata kidogo.

Ufuatao ni ushahidi wa kibiblia kwamba YESU KRISTO  ni Mungu.
Yohana 8:58 Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Yeye IBRAHIMU ASIJAKUWAKO, MIMI NIKO.
NIKO ni jina la Mungu peke yake. Tunakutana na jina hilo pale Musa alipoongea na Mungu na kutumwa kuwakomboa wana wa Isr…

YESU NI NENO

Image
Kwa kawaida, maneno “Neno la Mungu” yanawakilisha ujumbe kutoka kwa Mungu au mkusanyo wa ujumbe huo au Yesu ambaye ni Neno. (Luka 11:28) Katika sehemu chache, “Neno la Mungu” au “Neno” hutumiwa kumwakilisha Yesu.​—Ufunuo 19:13; Yohana 1:​14. Yohana 1:1 inasema “Neno alikuwa Mungu”. Yohana 1:14 inasema “Neno akafanyika mwili.” Hii inaonyesha wazi ya kwamba Yesu ni Mungu katika mwili. Matendo 20:28 inatuambia, “…Muwe wachungaji wa kanisa la Mungu, alilolinunua kwa damu yake mwenyewe,” Ni nani aliyelinunua kanisa kwa damu yake mwenyewe? Yesu kristo. Matendo 20:28 inasema ya kwamba Mungu alilinunua kanisa kwa damu yake mwenyewe. Kwa hivyo Yesu ni Mungu! Ujumbe kutoka kwa Mungu. Mara nyingi manabii walisema kwamba ujumbe ambao walitoa ulikuwa Neno la Mungu. Kwa mfano, Yeremia alianza ujumbe wake wa kinabii kwa kusema “Neno la Yehova likaanza kunijia.” (Yeremia 1:4, 11, 13; 2:1) Kabla ya kumwambia Sauli kwamba Mungu alikuwa amemchagua kuwa mfalme, nabii Samweli alisema hivi: “Simama tuli s…

UTATU UNATHIBITISHWA KWA AYA NA HISABATI

Image
Tuanze kwa kusoma aya : 1 Yohana 5:7 Kwa maana wako watatu washuhudiao [mbinguni, Baba, na Neno, na Roho Mtakatifu, na watatu hawa ni umoja. 
Aya ya Biblia inasema ifuatavyo:
WAKO WATATU: 1 + 1 + 1 = 3 1. Baba 2. Neno - Yesu 3. Roho Mtakatifu Hawa Watatu wanashuhudia Mbinguni.
HAWA WATATU NI UMOJA: 1 * 1 * 1 = 1
MUNGU NI WA MILELE:  ∞ INFINITY
Zaburi 90: 2 inatuambia kuhusu uzima wa milele wa Mungu: "Kabla haijazaliwa milima, wala hujaiumba dunia, Na tangu milele hata milele ndiwe Mungu." Kwa kuwa wanadamu hupima kila kitu kwa wakati, ni vigumu sana kwetu kumpata mimba Ya kitu ambacho hakina mwanzo, lakini kimekuwa, na kitaendelea milele.

1. Baba ni wa Milele: Hana Mwanzo wala Mwisho  2. Mwana ni wa Milele: Hana Mwanzo wala Mwisho  3. Roho Mtakatifu ni wa Milele: Hana Mwanzo wala Mwisho 
YESU NI WA MILELE  Yesu Kristo, Mungu wa mwili, pia alithibitisha uungu Wake na uzima wake wa milele kwa watu wa siku yake kwa kuwaambia, "Kabla Ibrahimu hajazaliwa, mimi ni" (Yohana 8:58). …

TRINITY

Image
HOW COMPLEX IS TRINITY?
1 + 1 + 1 = 3 There are THREE that bear witness in heaven.

1 X 1 X 1 = 1 These THREE ARE ONE

∞ + ∞ + ∞ = ∞
The Father has no beginning or the end= ETERNAL=∞
The Word "Jesus" has no beginning or the end= ETERNAL= ∞
The Holy Spirit has no beginning or the end= ETERNAL= ∞

For there are three that bear witness in heaven: the Father, the Word, and the Holy Spirit; and these THREE ARE ONE. ~ 1 John 5:7

Shalom

Max Shimba bond-servant of Jesus Christ Mighty God. Titus 2:13