Friday, December 7, 2018

UNALIJUA JINA LA MUNGU?

Image may contain: sky and text
Je, Mungu ana jina?
Yesu alisema: “Baba yetu uliye mbinguni, jina lako na litakaswe.” (Mathayo 6:9) Ingawa Mungu ana majina mengi ya cheo, ana jina moja tu.
Linatamkwa kwa njia tofauti katika kila lugha. Katika Kiswahili kwa kawaida jina hilo linatamkwa “Yehova.” Lakini watu fulani wanalitamka “Yahweh.”—Soma Zaburi 83:18.
Katika Biblia takatifu, jina la Mungu lilipatikana mara 7,000 hivi.
Yesu alifanya jina la Mungu lijulikane alipokuwa akiwafundisha watu kuhusu Mungu.—Soma Yohana 17:26.
Shalom,
Max Shimba mtuwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu. Tito 2:13

No comments:

KWANINI KRISMAS NI DISEMBA 25?

  TEREHE 25 DISEMBA IMETAJWA KWENYE BIBLIA KWANINI KRISMAS NI DISEMBA 25? Tuanze na kumsikiliza Yesu akiitumia aya inayo husisha tarehe 25 n...

TRENDING NOW