ASTAGHFIRULLAH
Al-Tirmidhi HadithI ya 5352 (Sehemu) Imesimuliwa na Abu Sa'id
Nabii wa Allah alisema: Kaburi ni sehemu ya Bustani ya Akhera au moja ya shimo la Jehannam.
Kwa Kiingereza:
Al-Tirmidhi Hadith 5352 (part) Narrated by Abu Sa'id
The Prophet (saws) said: "The grave is one of the gardens of Paradise, or one of the pits of Hell."
KAMA AKHERA YA WAISLAM IMEJAA MAKABURI, NA NDIO BUSTANI ZAO WANAZO LINGIA, WALAHI SISI WAKRISTO TUNAO JITAMBUA KAMWE HATUUTAKI UISLAM.
Shalom,
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu. Tito 2:13

No comments:
Post a Comment