Tuesday, August 14, 2018

KAMA YESU SIO MUNGU, KWANINI ANATUMA MANABII?
Tuanze kusoma aya:

Mathayo 23:34 Kwa sababu hiyo, angalieni, mimi natuma kwenu manabii na wenye hekima na waandishi; na wengine wao ninyi mtawaua na kuwasulibisha, na wengine wao mtawapiga katika masinagogi yenu, na kuwafukuza mji kwa mji;

Nabii ni mtu aliye tumwa na Mwenyezi Mungu, na sio kinyume chake. 

Neno nabii (kwa Kiebrania נביא nevì, kwa wingi נְבִיאִים nevi'ìm, kwa Kiarabu نبي) linatumika kumtajia binadamu aliye tumwa na Mwenyezi Mungu na anayesema kwa niaba ya Mwenyezi Mungu, hasa kwa kusudi la kuelekeza wenzake wafuate imani na maadili sahihi.

Lakini kwenye Mathayo 23 aya 34 tunasoma kuwa Yesu anatuma Manabii kwetu. Aya hiyo haisemi "Nabii Mmoja" bali MANABII.

Tunapo sema Yesu ni Mungu huwa hatutanii bali tunahakika na tunao uthibitisho.

Swali kwa Waislam wanao bisha Uuungu wa Yesu. 

1. Yesu anatuma manabii kama nani?
2. Nani mwenye mamlaka ya kuma manabii duniani?

Shalom,

Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu. Tito 2:13

No comments:

11-YEAR OLD CHRISTIAN GIRL BAFFLES ISLAMIC SCHOLAR WITH ONE SIMPLE QUESTION

  Choose you this day whom ye shall serve An 11-year old Arab Christian girl was listening to an Islamic scholar preach about Allah.  When h...

TRENDING NOW