Posts

Showing posts from March, 2018

SUPPORT MAX SHIMBA MINISTRIES

KWA NINI YESU ALIKUJA?

Image
Yesu alikuja duniani ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa Milele (Yn. 3:16) Yesu kwa hiari yake mwenywe alikufa ili awape Uzima wa milele kwa watu wake na ambao ni wa Mungu pia.
Kwa sababu ya dhambi hii wanadamu walitengwa na Mungu. Biblia inasema ya kwamba Kristo alikuwako Mbinguni kabla ya uumbaji wa nchi (Yohana 6:38; 8:23-58; Wafilipi 2:5-7, RSV)
Kwa hiyo tunapokuwa watu wazima ni lazima tutubu na kubatizwa ili tuweze kumpokea Yesu Kristo (Kuokoka) kwa kupitia Roho Mtakatifu ambaye ni Mungu.  Yesu alikuja kutupa Uzima kwa kufa kwake (Mauti yake pale Msalabani) ili tupate uzima wa Milele katika yeye na Baba.  Kwa Kifo chake wanadamu sasa wanaweza kutubu katika dhambi zao na tena kupata njia ya kwenda kwa Baba katika Jina la Yesu.
Wote tutakufa katika Kifo cha kawaida, lakini wote tutakuwa na nafasi ya kuishi tena.  Hatuwezi kuishi milele katika miili ya kibinadamu (Miili ya asili) maana hii ni miili  inayoishi kwa muda mfupi tu.  Wafu wote watafufuliwa kutoka Makabur…

MUHAMMAD ALIKUFA KIFO CHA AIBU CHA KUNYESHWA SUMU NA AISHA

Image
Kifo cha Mtume kinatatanisha, je, amekufa kifo cha kawaida au ameuliwa kwa sumu?
Anasema Mwana Aisha kuwa: “Tulimnywesha dawa Mtume wakati wa maradhi yake, na Mtume akiwazuia: “Msininyweshe”. Baada ya kunywa dawa Muhammad akakata roho. Taz: Tarekhut Tabari J. 3 uk. 62 Fat-hul Baary J.10 uk. 175
Waandishi wa kiislamu wanasema kuwa: “Waliohusika kumnywesha dawa hiyo kwa nguvu ni Aisha na Hafsa (wakeze Mtume) na kwamba dawa hiyo ni sumu!! Taz: Assiiratun Nabawiyya, ya Najahu Attaai J. 2 uk. 379 Alburhan fyilafsiril Quran J. 2 uk. 117 Tafsirul ‘Ayyaashy J. 1 uk. 224 Tafsirus Saafy J. 1 uk. 389-390
Kwanini Aisha alimshwesha sumu Nabii wa Allah?
BAADA KIFO CHA MUHAMMAD:
KWANINI AISHA ALIGOMA KUHUDHURIA MAZISHI YA MUMEWE?
Abubakar na Umar hawakuhudhuria osho wala maziko ya Mtume, walikuwa kwenye ukumbi wa Bani Saaidah wakichaguana!!
Taz: Kanzul Ummal, kitabul khilafa maal-imaara khilafatu Abibakar

KUSULUBIWA, KUFA, NA KUFUFUKA KWA YESU KRISTO

Image
Leo nataka tutafakari kwa pamoja somo muhimu sana katika maisha ya Ukristo.Moja ya Misingi ya Imani yetu Wakristo ni tunaamini kuwa Yesu Kristo alisulubiwa, akafa na kuzikwa na hatimaye akafufuka siku ya tatu. 
Endapo imani hii itakuwa ni uongo na tukio hilo kama litakuwa halijawahi kutokea ni wazi kuwa imani ya Ukristo ni batili. “I Korintho 15:13-19” Ni wazi kuwa unapozungumzia kufa na kufufuka kwa Yesu Kristo ni lazima uamini kuwa Yesu alisulubiwa yaani alipata Mateso yaliyosababisha kifo chake na hatimaye akafufuka na kama hivyo sivyo basi Ukristo ni imani mbaya na mbovu kuliko zote.
Upinzani dhidi ya Kusulubiwa, Kufa na Kufufuka kwa Yesu Kristo.
Kwa kuwa shetani anafahamu kuwa kusulubiwa kwa yesu Kristo na kufa na kufufuka ndio nguzo muhimu katika imani ya Ukristo ametumia jitihada kubwa sana katika kuhakikisha kuwa watu hawataamini hata kidogo kuwa Yesu alisulubiwa, akafa na kufufuka. Aidha ziko Imani nyingine ambazo kwa makusudi au kwa Bahati mbaya zinapinga vikali kuhusu kusulubi…

10,000 Muslims burned Christian village - Media ignored In order not to harm Islam's image

Image
It was one of the most brutal attacks against the Christian community in Pakistan. 
In northern Pakistan - More than 100 homes and several churches have been burned in anger, over a blasphemy complaint. 10,000 Muslims went on a rampage in the northern city of Lahore, after a Christian man was falsely accused of making disparaging remarks about the Prophet Mohammed. The arrest of a Christian man falsely accused of making anti-Muslim remarks wasn't enough to appease an angry mob in Pakistan. More than 100 homes of Christians were set on fire by outraged Muslims in the Badami Bagh community in Lahore. 
This is the reality of the Christian community in Pakistan, every day Christians are attacked and murdered and no one in the Western media speaks about it in order not to harm the image of Islam. 
Canada will be the first country in the West to adopt an "Islamophobia" law to criminalize criticism of Islam. 
Why doesn’t the world seem to care when Christians die? 
Why is it that W…

Elderly Egyptian woman arrested for 'smuggling' drugs into Saudi Arabia

Image
Saadeya Hammad Source: Cairo Scene Last week, Saudi authorities arrested a 75-year-old Egyptian citizen, identified as Saadeya Hammad, for smuggling drugs into the country. The news sparked protests in Hammad's hometown, the Darin village of Nabaruh city, Egypt. Hundreds of Egyptians protesting outside Hammad's house claimed the old lady was tricked by her neighbor after awarding her an all-expenses-paid trip to Saudi Arabia so she could perform the pilgrimage of Umrah. According to neighbors, the conman behind the operation convinced the illiterate woman that she was one of 15 people chosen to perform Umrah at the expense of a Saudi businessman. Upon her arrival into the kingdom's Yanbu Airport, Hammad was arrested by local authorities on charges of drug trafficking. Hundreds of protesters chanted "She's innocent" in Nabaruh After receiving a call from her mother telling her she has been arrested, Hammad's daughter clarified that the man behind the operat…