Posts

Showing posts from 2018

SUPPORT MAX SHIMBA MINISTRIES

Historical Evidence of the Crucifixion - Jesus Christ

Image
Although there is overwhelming evidence that the New Testament is an accurate and trustworthy historical document, many people are still reluctant to believe what it says unless there is also some independent, non-biblical testimony that corroborates its statements. In the introduction to one of his books, F.F. Bruce tells about a Christian correspondent who was told by an agnostic friend that "apart from obscure references in Josephus and the like," there was no historical evidence for the life of Jesus outside the Bible.[1]This, he wrote to Bruce, had caused him "great concern and some little upset in [his] spiritual life."[2] He concludes his letter by asking, "Is such collateral proof available, and if not, are there reasons for the lack of it?"[3]The answer to this question is, "Yes, such collateral proof is available," and we will be looking at some of it in this article. Evidence from TacitusLet's begin our inquiry with a passage that h…

Who Is the True God Anthony Rogers vs Adamu Bakari Debate

Image

KRISMASI YA KWANZA ILIFANYWA NA MALAIKA

Image
KRISMASI YA KWANZA ILIFANYWA NA MALAIKA KUZALIWA KWA YESU NA KUSHEREHEKEWA NA MALAIKA Ni muhimu kwa kila mmoja wetu kufahamu kuwa wa kwanza kusherehekea kuzaliwa kwa Yesu - (KRISMASI) ni Malaika watakatifu wa Mungu (Luka 2:8-15) 8 Na katika nchi ile ile walikuwako wachungaji wakikaa makondeni na kulinda kundi lao kwa zamu usiku. 9 Malaika wa Bwana akawatokea ghafula, utukufu wa Bwana ukawang'aria pande zote, wakaingiwa na hofu kuu. 10 Malaika akawaambia, Msiogope; kwa kuwa mimi ninawaletea habari njema ya furaha kuu itakayokuwa kwa watu wote; 11 maana leo katika mji wa Daudi amezaliwa, kwa ajili yenu, Mwokozi, ndiye Kristo Bwana. 12 Na hii ndiyo ishara kwenu; mtamkuta mtoto mchanga amevikwa nguo za kitoto, amelala katika hori ya kulia ng'ombe. 13 Mara walikuwapo pamoja na huyo malaika, wingi wa jeshi la mbinguni, wakimsifu Mungu, na kusema, 14 Atukuzwe Mungu juu mbinguni, Na duniani iwe amani kwa watu aliowaridhia. 15 Ikawa, malaika hao walipoondoka kwenda zao mbinguni, wale …

KWANINI WAKRISTO TUNATUMIA MTI WA KRISMAS?

Image
JE, NI SAHIHI KIBIBLIA KUTUMIA MTI WA KRISMASI? SEHEMU YA KWANZA SOMO:-UKWELI KUHUSU MTI WA KRISMAS (CHRISTMAS TREE) NA MAJIBU YA UFAFANUZI KWA WAPINGA CHRISTMAS Ili iwe vyepesi kwetu kulielewa vizuri somo hili Tutajifunza somo hili kwa kuligawa katika vipengele vinne ambavyo ni:- 1? HISTORIA YA MTI WA KRISMAS NA UCHAMBUZI WAKE. 2? KWANINI WAKRISTO TUNATUMIA MTI WA KRISMAS? 3? VITU VIWI VYA KUEPUKWA KATIKA SHEREHE YA KRISMAS. 4? MAJIBU YA UFAFANUZI KWA WAPINGA KRISMAS. Mstari muhimu wa kukumbuka:- ISAYA 60:13:-" Utukufu wa Lebanoni utakujia wewe, (miti ya) mberoshi na mtidhari na mteashuri pamoja; ILI KUPAPAMBA MAHALI PANGU PATAKATIFU, Nami nitapatukuza mahali pa miguu yangu.". UTANGULIZI Katika kipindi kama hichi cha kusherekea sikukuu ya Krismasi. Moja vitu muhimu sana vinavyotumika katika kuipamba na kuitambulisha sherehe hii ni hichi kinachoitwa "Mti wa Krismas" (Christmas tree). Ambao mti huu ni maarufu sana duniani kote katika kuitambulisha Krismas yenyewe. …

MAMAJUSI WAKAANGUKA WAKAMWABUDU NA KUMSUJUDIA YESU

Image
YESU ALIPO INGIA TU DUNIANI, ANAANZA KWA KUSUJUDIWA, SWALI MWENYE HAKI YA KUSUJUDIWA NI NANI? Mathayo 2:10-11 “Nao walipoiona ile nyota, walifurahi furaha kubwa mno. Wakaingia nyumbani, wakamwona mtoto pamoja na Mariamu mamaye, wakaanguka wakamsujudia; nao walipokwisha kufungua hazina zao, wakamtolea tunu; dhahabu na uvumba na manemane. Kulingana na Biblia, watu hao wanaoitwa mamajusi walitoka “sehemu za mashariki,” nao walipata habari za kuzaliwa kwa Yesu wakiwa huko. (Mathayo 2:1, 2, 9) Bila shaka iliwachukua muda mrefu kusafiri kutoka huko hadi Yudea. Hatimaye walipompata Yesu, walianguka na kumsujudia. —Mathayo 2:11. Mathayo 2: 1 Yesu alipozaliwa katika Bethlehemu ya Uyahudi zamani za mfalme Herode, tazama, mamajusi wa mashariki walifika Yerusalemu, wakisema, 2 Yuko wapi yeye aliyezaliwa mfalme wa Wayahudi? Kwa maana tuliiona nyota yake mashariki, nasi tumekuja kumsujudia. Mwenye haki ya kuabudiwa na kusujudiwa ni Mungu peke yake. Sasa iweje hawa wataalamu wa Nyota na wajuzi kuto…

KWANINI WAKRISTO TUNASHEREHEKEA KRISMAS? = SEHEMU YA PILI =

Image
SOMO:-UKWELI KUHUSU SIKUKUU YA KRISMASI NA SABABU ZA MSINGI KI-BIBLIA ZINAZOTUFANYA WAKRISTO KUSHEREKEA KRISMASI . Ili rahisi kwetu kulielewa vizuri somo hili. Tutajifunza somo hili kwa kuligawa katika vipengele vinne ambavyo ni:- 1. MAANA YA NENO KRISMASI 2. HISTORIA YA KRISMASI NA TAREHE 25/ DESEMBA 3. MAMBO YA KUYAELEWA NA KUYAZINGATIA KUHUSU HISTORIA YA KRISMASI 4. SABABU ZA MSINGI KI-BIBLIA ZA KUWAFANYA WAKRISTO TUSHEREKEE KRISMASI Mistari muhimu ya kukumbuka :- L U K A 2:9-11:-"Malaika wa Bwana akawatokea ghafula, utukufu wa Bwana ukawang'aria pande zote, wakaingiwa na hofu kuu. Malaika akawaambia, Msiogope; kwa kuwa mimi ninawaletea habari njema ya furaha kuu itakayokuwa kwa watu wote; maana leo katika mji wa Daudi amezaliwa, kwa ajili yenu, Mwokozi, ndiye Kristo Bwana." Z A B U R I 118:22-24:"Jiwe walilolikataa waashi Limekuwa jiwe kuu la pembeni. Neno hili limetoka kwa BWANA, Nalo ni ajabu machoni petu. Siku hii ndiyo aliyoifanya BWANA, Tutashangilia na ku…