Sunday, September 10, 2017

UNAFAHAMU KUWA NABII WA WASABATO ELLEN G. WHITE JUMLA YA GEMATRIA YAKE NI 666?

Image may contain: text
Nini maana ya 666?
Katika Ufunuo sura ya 13, namba 666 hubainisha mtu, si tarehe. Ufunuo 13:18 inatuambia, "Hapa ndipo penye hekima. Yeye mnyama huyo; maan ni hesabu ya sita, sitini na sita. Kwa karne silizopita watafsiri wa Biblia wamekuwa wakijaribu kutambua baadhi ya watu wenye 666. Hakuna kubaliano kamili. Hiyo ndio sababu Ufunuo 13:18 inasema namba hii inahitaji hekima.
Sasa tangia 666 ni namba la jina lake huyu mnyama aliye tajwa kwenye Kitabu cha Ufunuo, hebu tuangalie kama jina la ELLEN G WHITE, nabii na mwanzilishi wa dhehebu la Wasabato anakidhi hii namba.
Sasa tuangalia GEMATRIA ya jina lake:
Ellen = L+L=100,
Gould = U+L+D = 555,
White = a double 'U' = 2 'V's +1 = 11.
Jumla ya hizo namba hapo juu tunapata 100 + 555 + 11 = 666
Hivyo basi, Ellen Gould White, mwanzilishi wa "Seventh Day Adventist" ana jumla ya namba 666. Mimi simuhukumu Ellen G White bali nawaonyesha tu wasomaji na mfanye maamuzi yenu wenyewe.
ELLEN GAULD WHITE.
L=50
L=50
E=
N=
G=
A=
U=5
L=50
D=500
W=10
H=
I=1
T=
E=
Jumla ni 666
Hebu sasa twende mbele zaidi na tuangalia kauli mbiu ya Wasabato, je, na yenyenewe inakidhi namba 666 kama ilivyo kwa Ellen G White?
CURE VITAL SEVENTH DAY.
C=100
U=5
R=
E=
V=5
I=1
T=
A=
L=50
S=
E=
V=5
E=
N=
T=
H=
D=500
A=
Y=
Jumla ni 666
Huyu ndie nabii mwanamke wa Wasabato na mmilki wa namba 666 aliyetabiriwa katika kitabu cha Daniel na Ufunuao Daniel 9:27 17:5, 13:18.
Huu ni mtindo wa manabii wa kiyahudi ujulikanao GEMATRIA yaani kukuokotia herufi kwenda namba.
Je, mnakata niweke na thibitisho la kujiita sauti ya Mungu alilo lidai Ellen G White kuwa ni 666?
USIKOSE "ELLEN G WHITE 666"
Shalom
Max Shimba mtumwa wa Yesu Krito, Mungu Mkuu na Mwokozi wetu.

No comments:

THE QUR’AN CONFIRMS THE INTEGRITY OF THE BIBLE

There is a common held conviction among Muslims that the Bible has become corrupted. They believe that the Bible has been changed. Almost ev...

TRENDING NOW