Sunday, September 10, 2017

TUMUOMBEE UPONYAJI TUNDU LISU

Image may contain: 1 person
Weka itikadi au udini pembeni na mwombee Mh Tundu Lisu uponyaji.
Baba katika jina la Yesu, neno lako liniasema katika Isaya 41:10-12 usiogope, kwa maana mimi ni pamoja nawe; usifadhaike, kwa maana mimi ni Mungu wako; nitakutia nguvu, naam, nitakusaidia, naam, nitakushika kwa mkono wa kuume wa haki yangu. Tazama, wote walioona hasira juu yako watatahayarika na kufadhaika; watu washindanao nawe watakuwa si kitu, na kuangamia. Utawatafuta wala hutawaona wale wapiganao nawe; watakuwa si kitu; watakuwa kama kitu kisichokuwa, wale waliofanya vita juu yako.
Tunaomba uponyaji kwa Mhe Tundu Lisu katika Jina la Yesu.
Amen.

No comments:

Does Allah Need Help?

  In the Qur’an, the same Allah asks for help… 47:7 O you who believe ! if you help (the cause of) Allah, He will help you and make firm you...

TRENDING NOW