Sunday, September 10, 2017

ROHO MTAKATIFU HUTUOMBEA

Image may contain: cloud, sky, text, outdoor and nature
Warumi 8:26-27 Bibilia Takatifu (SNT)=12pt26 Hali kadhalika Roho hutusaidia katika udhaifu wetu. Kwa sababu hatujui kuomba ipasavyo, lakini Roho mwenyewe hutuombea kwa uchungu usioelezeka kwa maneno. 27 Na Mungu ambaye ana chunguza mioyo yetu anafahamu mawazo ya Roho kwa maana Roho huwaombea watakatifu kufuatana na mapenzi ya Mungu.
Katika aya hapo juu, tumesoma kuwa, Roho Mtakatifu anatuombea na kutusaidia katika udhaifu wetu. Hii sifa ya upendo usio na kipimo ni ya Mungu peke yake. Zaidi ya hapo, tunasoma kuwa, Mungu anachunguza mioyo yetu kwa kupitia Roho Mtakatifu. Kumbe basi, Roho Mtakatifu anafahamu mapenzi ya Mungu kwako.
Hii sifa ya Roho Mtakatifu kuwa na uwezo wa kufahamu nini Mungu anawaza inamfanya Roho Mtakatifu na yeye awe Mungu. Hakuna mwenye uwezo wa kufahamu mawazo ya Mungu, isipokuwa Mungu.
Shalom,
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu na Mwokozi wetu.

No comments:

THE PAGAN ROOTS OF IDOLATRY IN ISLAM

Muslims worship a deity called Allah. And Muslims boldly claim that before the advent of Islam, Allah manifested himself as the God of the B...

TRENDING NOW