SUPPORT MAX SHIMBA MINISTRIES

MAMA ANYANG'ANYWA WATOTO WAKE BAADA YA KUUACHA UISLAM NA KUINGIA UKRISTO


Mahakama huko UAE, Ras Al Khaimah imemnyang'anya watoto mwanamke wa Kiislam kwa kosa la kuuacha Uislam na kuingia Ukristo.
Mahakama hiyo imedai kuwa, kosa la kuuacha Uislam ni kunyongwa mpaka kufa, lakini wamemsamehe na kumpa adhabu ya kuto waona watoto wake tena katika maisha yake hapa duniani.
NUKUU KWA KIINGEREZA:
The higher court said that the mother lost the custody of her children on the basis of the fact that she changed her religion and became a non-Muslim.
“As such, the mother cannot keep her children..."
As per court records, the father filed a lawsuit against his wife at the Ras Al Khaimah Personal Status Court of First Instance….
Kwa habari kamili ingia hapa:

Comments

TRENDING NOW

OMBA MAOMBI HAYA KILA SIKU ASUBUHI, MCHANA NA USIKU

MAOMBI YA KUMTEKETEZA SHETANI "NGUVU ZA GIZA"

MAOMBI YA VITA YA KUTUMIA ALAMA ZA MUNGU

NANI KAMPA UTUME NA UNABII MTUME MUHAMMAD?