Posts

Showing posts from August, 2017

SUPPORT MAX SHIMBA MINISTRIES

JE, MUNGU ANATAKA NINI KUTOKA KWAKO? SEHEMU YA KWANZA

Image
Ukisoma kitabu cha Mika, unaweza kufikiri mwanzoni kwamba ni orodha ndefu ya mashtaka dhidi ya Waisraeli walioasi. Bila shaka, Mungu aliona kuzorota kwa maadili ya watu wake waliokuwa wamejiweka wakfu, kutia ndani watu aliowaita: ‘Wanaochukia yaliyo mema na wanaopenda ubaya.’ (Mika 3:2; 6:12) Hata hivyo, mbali na kuwashutumu waziwazi, alitoa mojawapo ya mahimizo yenye kugusa moyo na yenye kuchochea zaidi katika Biblia. Mika anakazia uangalifu Chanzo cha viwango vya uadilifu, kisha anauliza swali hili lenye kuchochea fikira: “Mungu anataka nini kutoka kwako ila kutenda haki na kupenda fadhili na kuwa na kiasi katika kutembea na Mungu wako?”—Mika 6:8. Je, unaona jinsi Muumba wetu anavyotusihi katika andiko hilo? Anatukumbusha kwa upendo mambo yanayofaa tunayoweza kufanya badala ya kujiruhusu tukengeushwe na uovu uliopo. Mungu anajua kwamba ushikamanifu wetu hutuchochea kusitawisha sifa kama zake, naye ana hakika kwamba tunaweza kufanya hivyo. Ungejibuje kama ungeulizwa hivi: ‘Mungu ana…

UNAYAJUA MADHARA YA KUANGALIA PICHA ZA UTUPU "PONOGRAFIA"? (SEHEMU YA PILI)

Image
Leo, ponografia imeenea sana na kukubaliwa na watu wengi katika jamii ya kisasa. Wakati mmoja ponografia ilipatikana katika sinema fulani tu za kimahaba na katika mitaa ya makahaba, lakini sasa imeenea kwa wingi katika jamii nyingi. Nchini Marekani pekee, ponografia ni biashara inayochuma zaidi ya dola bilioni kumi kila mwaka! Biblia inatuhimiza hivi: “Mambo yoyote yaliyo safi kiadili, mambo yoyote yaliyo ya kupendeka, mambo yoyote yaliyo ya kusemwa vema, wema wa adili wowote ulioko . . . endeleeni kufikiria mambo haya.” (Wafilipi 4:8) Mtu anayetazama ponografia na kuijaza akilini mwake analikataa himizo la Paulo. Ponografia haina kiasi kwa sababu inafunulia watu wote mambo ya siri na ya faragha. Ni tendo la kipumbavu kwa sababu linamshusha mhusika na kushusha heshima. Hilo si tendo la upendo kwa kuwa halichangii hali ya kuwajali wengine. Hilo hukazia tu tamaa ya mtu binafsi. Kwa kuonyesha matendo yasiyo ya kiadili na yaliyopotoka kingono, ponografia hudhoofisha na kuharibu jitihada …

KILA MUISLAM ANA JINI KATIKA MWILI WAKE

Image
MUHAMMAD AKIRI KUCHEZEWA NA SHETANI Abu Huraira alisema, "nilimsikia Nabii wa Allah akisema, Hakuna kiumbe ambaye hakuguswa na Shetani, ndio maana mtoto hulia kwa sauti kubwa wakati wa kuzaliwa kwasababu Shetani anakuwa amemgusa, ISIPOKUWA Mariyam na Mwanae Yesu, wao hawakuguswa na Shetani. Kisha Abu Huraira akasema : " Na najikinga na Wewe kwa ajili yake na kwa ajili ya watoto wake kutoka kiwa Shetani" (3.36) Ndugu zanguni, Muhammad leo amekiri kuwa, YESU hakuwai kuguswa na Shetani lakini yeye na Waislam wote wameguswa na kuchezewa na Shetani. Abu Huraira (r.a) amesimulia kuwa "Mtume Muhammad (s.a.w) alikuwa na shetani tangu alipozaliwa, (Fat'hul Baary Juzuu ya 6 Uk. 389). Je, kuna ushahid wowote ule kuwa Muhammad alitolewa Shetani? Kama upo Basi Waislam, tuleteeni tuuone. BAADA YA KUTOKA PANGONI, Basi Mtume akafanya khofu, akarejea kwa mkewe, akamhadithia, na pale pale homa kubwa kabisa, ikampanda, akataka afunikwe maguo, akawa anatetemeka kwa ngerema, na ku…

YESU MAANA YAKE NI MUNGU MWOKOZI

Image
Jina takatifu la Yesu (kwa Kiebrania יֵשׁוּעַ, Yēšū́aʿ, 'Yeshua; yaani "YHWH anaokoa", hivyo "Mungu Mwokozi") Yesu maana yake ni “Mungu Mwokozi”: alichaguliwa jina hilo kabla hajazaliwa, akitabiriwa kuwa “yeye ndiye atakayewaokoa watu wake na dhambi zao” (Mathayo 1:21). “Hakuna wokovu katika mwingine awaye yote, kwa maana hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo” (Matendo 4:12). Kumbe ndio maana hata kwenye Tito 2:13 “Tukilitazamia tumaini lenye mafunuo ya KRISTO YESU MUNGU MKUU NA MWOKOZI WETU”. Unaona raha ya kumfuta Mwokozi na Mungu Mkuu? Mhalifu msalabani alimwita YESU Mungu na kumuomba YESU atakapokuwa katika ufalme wake amkumbuke mharifu huyo”. Luka 23:39-43. Yesu hakukataa kuwa SI MUNGU bali alisema, Amini nakuambia leo hivi, utakuwa pamoja nami peponi. Ndio maana tutaendelea kusema kuwa Yesu ni Mungu Mkuu, na Mwokozi wetu maana hayo yote yanawezekana kwa Yesu Pekee. Shalom, Max Shimba, mtumwa wa Yesu Krist…

ALLAH ALIPATAJE MABINTI WATATU LAT, UZZA NA MANNAT BILA YA MKE? (SEHEMU YA KWANZA)

Image
TAFADHALI SOMA KISA HIKI CHA KUSISIMUA Mara nyingi Waislam wamekuwa wepesi kuwaambia watu wengine kuwa Mungu ameruhusu Biblia kupotoshwa. Kitu wanachodokeza ni kuwa Kurani leo hii ni neno la Mungu lenye kuaminika wakati ambapo Biblia sivyo. Biblia ina maandiko yanayotofautiana mengi yenye tofauti ndogo, lakini ushahidi wa mabadiliko ya mafundisho hauna uzito. Kurani ina ushahidi mkubwa zaidi wa kupotoshwa kwa mujibu wa Ubai, aya zilizobatilishwa‘Uthman, na matatizo mengine ya Kurani. Hata hivyo, tofauti kubwa zaidi ya mafundisho ya Kurani, iliyoletwa na Waislam wenyewe, ni "mabinti wa Allah." Muhtasari Tovuti ya Kikristo http://answering-islam.org/Responses/Saifullah/sverses.htm inasema, "Moja ya matukio yenye kuaibisha zaidi kwenye maisha ya Muhammad lilitokea wakati Shetani alipoweka maneno yake kwenye mdomo wa Muhammad. Muhammad alisema maneno ya Shetani kama neno la Mungu. Tukio hili limethibitishwa kwa maandishi na waandishi kadhaa wa Kiislam wa kale na limeongele…

UNAYAJUA MADHARA YA KUANGALIA PICHA ZA UTUPU "PONOGRAFIA"? (SEHEMU YA TATU)

Image
UASHERATI NI NINI? “Uasherati” ni nini, na ni kwa njia gani wale walio na mazoea ya kufanya uasherati huvuna kile wanachopanda? Katika Biblia, neno “uasherati” (Kigiriki, por·neiʹa) linahusu mahusiano haramu ya ngono nje ya ndoa ya Kimaandiko. Linatia ndani uzinzi, ukahaba, ngono kati ya watu ambao hawajaoana, ngono ya kinywa, ufiraji au ulawiti, na kusisimua kingono viungo vya uzazi vya mtu mwingine ambaye si mwenzi wako wa ndoa. Pia linatia ndani mazoea kama hayo kati ya watu wa jinsia moja au kati ya mtu na mnyama. * Maandiko yanataja waziwazi: Walio na mazoea ya kufanya uasherati hawawezi kuendelea kuwa katika kutaniko la Kikristo na hawatapata uzima wa milele. (1 Wakorintho 6:9; Ufunuo 22:15) Pia, wanajiletea wenyewe madhara makubwa hata sasa. Wanakuwa watu wasiotumainika, wanajidharau, wanakuwa na mizozo katika ndoa zao, wanakuwa na dhamiri chafu, wanapata mimba zisizotakikana, magonjwa, na hata kifo. (Wagalatia 6:7, 8) Kwa nini uanze kutembea katika barabara hiyo yenye hatari …

MAADUI ZAKO WOTE WAMESHINDWA KWA JINA LA YESU.

Image
Ni amri kuliamini Jina la Yesu Kristo – sio ombi “Na hii ndiyo amri yake, kwamba tuliamini jina la Mwana wake Yesu Kristo, na kupendana sisi kwa sisi, kama alivyotupa amri.” (1 Yohana 3:23) Amwaminiye yeye hahukumiwi; asiyeamini amekwisha kuhukumiwa; kwa sababu hakuliamini jina la Mwana pekee wa Mungu. (Yohana 3:18) Shalom, Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo, Mungu Mkuu na Mwokozi wetu.

JE, MUNGU ANATAKA NINI KUTOKA KWAKO? SEHEMU YA PILI

Image
DUMISHA VIWANGO VYA JUU VYA MAADILI Umejionea mambo gani kuhusiana na maadili ya ulimwengu leo? Maadili ya Kikristo muhtasari wake umetolewa na Wakolosai 3:1-6 : "Basi mkiwa mmefufuliwa pamoja na Kristo, yatafuteni yaliyo juu Kristo aliko, ameketi mkon wa kuum wa Mungu. Roho Mtakatifu hukaa ndani ya kila muumini, na sehemu ya majukumu yake ni kufundisha jinsi ya kuishi: "Lakini huyo Msaidizi, huyo Roho Mtakatifu, ambaye Baba atampeleka kwa jina langu, atawafundisha yote, na kuwakumbusha yote niliyowaambia,"(Yohana 14:26). "Nanyi, mafuta yale mliyoyapata kwake yankaa ndani yenu, wala hamna haja ya mtu kuwafundisha; lakini kama matufa yake yanavyowafundisha habari za mambo yote, tena ni kweli wala si uongo, na kama yalivyowafundisha, kaeni ndani yake"(1 Yohana 2:27). Hivyo, wakati tunaomba kwa maandiko, Roho atatuongoza na kutufundisha. Atawaonyesha sisi kanuni tunahitaji ili kusimama katika hali yoyote. Mungu anatuagiza tuwe safi kiadili licha ya uovu ulio kat…

KAMA ALLAH SIO MUNGU WA KIPAGANI, KWANINI BABA YAKE MUHAMMAD AMBAYE ALIKUWA MPAGANI ALIITWA ABDULLAH?

Image
(Sahih Muslim, Book 001, Number 0398). Imeripotiwa na Anas: Hakika, mtu mmoja alisema: Mjumbe wa Allah, baba yangu yuko wapi? Akasema: Yuko motoni. Alipogeka kuondoka, (Mtume mtakatifu) akamwita na kusema: Hakika baba yangu na baba yako wako Motoni. Na swali ambalo tungependa wajiulize ni kuwa, kwa nini baba yake Muhammad, ambaye alikuwa mpagani aliitwa ‘Abdullah’? Na kwa kuwa ‘Abdullah’ maana yake ni ‘mtumwa wa Allah’, hii ni ishara ya wazi kwamba wapagani wa kipindi cha jahiliyah walikuwa wakimwabudu Allah hadi kufikia kuwapa watoto wao majina kwa heshima ya Allah – kama ambavyo Wayahudi nao walikuwa wakiwapa watoto wao majina kwa heshima ya Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo. Kwa mfano:
Yoshua – Yahwe ni wokovu;
Yothamu – Yahwe ni mkamilifu;
Yehoahazi – Yahwe ameshikilia;
Hezekia – Yahwe ametia nguvu;
Elisha – Mungu ni wokovu, n.k. Jibu liko wazi. Allah alikuwa ni mungu wa kipagani aliyeabudiwa kabla ya Uislamu kuja. Na mungu huyu alikuwa ni ‘mungu mwezi’, yaani ‘al-ilah’. Jina lake ji…

KAMA UNAMPENDA RAFIKI YAKO, MWAMBIE UKWELI AMBAO NI MCHUNGU

Image
Wengi tumejikuta tukiona ni vyema tukaambiwa yasiyo na ukweli maishani mwetu na kudanganywa ilimradi tu yanaturidhisha wakati huo lakini ajabu tunachukia na kutopenda ukweli ambao hata kama unaumiza lakini faida yake ni kubwa sasa na pia mbele twendako. MITHALI 27: 5 Lawama ya wazi ni heri, Kuliko upendo uliositirika. 
6 Jeraha utiwazo na rafiki ni amini; Bali kubusu kwa adui ni kwingi sana.
7 Nafsi iliyoshiba hukinai sega la asali; Bali nafsi yenye njaa huona kila kitu kichungu kuwa kitamu. Huwa natumiwa lawama kila siku, kwanini natoa mada chungu kwa Waislam kila siku? Leo nimewajibu wale wote wanao ulizo hilo swali kwa kutumia aya. Ukweli unaweza kukumiza lakini, kwa kusema uongo unaweza kuumia milele,Ni wazi kuwa watu wengi hawapendi kuambiwa ukweli, na wakati mwingi baadhi ya watu husema uongo huku wakifikiri kufanya hivyo ni kujipa matumaini katika jambo fulani, lakini ukikaa na kufikiria unaposema uongo au unapokataa ukweli ujue unajidanganya mwenyewe na siku zote utabaki kuwa n…

MUHAMMAD ALIPEWA UTUME NA MKEWE KHADIJA

Image
Alipokuwa pangoni alichezewa na Shetani: Katika kitabu kiitwacho “ Wakeze Mtume Wakubwa Na Wanawe” kilichoandikwa na Sheikh Abdullah Saleh Al Farsy uk.12 tunasoma maneno haya: “Basi Mtume akafanya hofu akarejea kwa mkewe akamhadithia; na pale pale homa kubwa kabisa ikampanda akataka afunikwe maguo. Mara akawa anatetemeka kwa nderema na anaweweseka na kusema “Najikhofia nafsi yangu kuchezewa na shetani na kuniharibu akili yangu na kunizuga”. Bibi Khadija palepale alimdakiza akamwambia; “ Wacha hayo; Siyo yatakayokuwa hayo. Wewe huwezi kuchezewa na mashetani. Shetani hawezi kumchezea mtu mwenye sifa zako. Wewe unatazama vyema jamaa zako, unachukuwa mizigo ya hata watu wasiokuwa wako, unawadhihirishia watu sifa zako nzuri ambazo hakuna mwenye nazo. Unafanya hivi na unafanya hivi. Furahi ndugu yangu. Tua moyo wako, Wallahi! Mimi naona umekwishakuwa mtume”. Katika tukio hili lililompata Muhammad akiwa pangoni , ndipo Waislamu wote ulimwenguni wanapolieleza kuwa hapo ndipo Muhammad s.a.w a…

ALLAH ALIPATAJE MABINTI WATATU LAT, UZZA NA MANNAT BILA YA MKE? (SEHEMU YA PILI)

Image
Ibn Isaq/Ishaq (aliyekufa mwaka 145/767 au 151/773 BK) alikuwa Msuni wa mlengo wa Kishafi ambaye baadaye alianzisha shule yake mwenyewe iliyodumu kwa muda mfupi. Aliandika kitabu kiitwacho Sirat Rasullallah (Maisha ya Nabii wa Allah). "[Wahamiaji] walibakia sehemu ileile waliyokuwepo [Ethiopia] hadi waliposikia kuwa watu wa Maka wameukubali Uislam na wamejinyenyekeza. Hii ilikuwa ni kwa sababu sura ya Nyota [Sura 53] ilikuwa imetumwa kwa Muhammad na mtume aliinena. Mtu mmoja Muislam na mwenye kuamini miungu wengi alisikiliza kimya hadi alisema maneno haya ‘Je umemwona al-Lat na al-uzza?’ Walimsikiliza kwa uangalifu sana wakati waumini walimwamini [nabii wao]. Baadhi yao waliiasi imani yao walipoisikia ‘saj’ ya Shetani na kusema, ‘Kwa uwezo wa Allah tutawatumikia (mawinchi) ili kwamba watulete karibu na Allah.’ Shetani alifundisha aya hizi mbili kwa kila mtu aliyekuwa anaamini miungu wengi na ndimi zao zilizielewa kwa urahisi. Jambo hili lilimsunbua Mtume hadi Gabriel alipokuja k…

UNAYAJUA MADHARA YA KUANGALIA PICHA ZA UTUPU "PONOGRAFIA"? (SEHEMU YA NNE)

Image
YOSEFU ALIUKIMBIA UASHERATI Yosefu alishawishiwa jinsi gani, naye alifanya nini? Yosefu, ndugu-nusu ya Dina, aliyekuwa kijana mzuri aliyempenda Mungu, aliukimbia uasherati. (Mwanzo 30:20-24) Alipokuwa mtoto, Yosefu aliona matokeo mabaya ya upumbavu wa dada yake. Inaonekana kukumbuka mambo hayo, na vilevile kutamani kukaa katika upendo wa Mungu, kulimlinda Yosefu miaka mingi baadaye huko Misri wakati mke wa bwana wake alipokuwa akijaribu kumshawishi “siku baada ya siku.” Bila shaka, kwa sababu Yosefu alikuwa mtumwa, hangeweza kuacha kazi na kuondoka! Ilimbidi ashughulikie hali hiyo kwa hekima na uhodari. Alifanya hivyo kwa kukataa tena na tena vishawishi vya mke wa Potifa, na mwishowe, kwa kumkimbia.—Mwanzo 39:7-12. Fikiria hili: Ikiwa Yosefu angetumia muda mwingi akiwaza kuhusu mwanamke huyo au kuwaza-waza juu ya ngono, je, angeendelea kuwa mtimilifu? Haielekei angeweza. Badala ya kuwazia daima mambo yasiyofaa, Yosefu alithamini uhusiano wake pamoja na Yehova, jambo ambalo lilionekan…

YESU NI MUNGU MUUMBAJI

Image
Sifa ya kuumba niya Mungu peke-yake (Yohana 1:3,14) “vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika chochote kilichofanyika. Naye Neno alifanyika mwili; nasi tukauona utukufu wake kama utukufu wa Mwana pekee atokaye kwa Baba, amejaa neema na kweli”. Yesu anaitwa Neno la Mungu (Ufunuo 19:13) “Kwahiyo Neno ni Mungu “(Yohana 1:1).. na huyo ndiye aliyevifanya kuwako vitu vyote. Aliyeshuka kutoka juu na kufanyika mwili ni Yesu pekee aliyezaliwa na bikira Mariamu bila mbegu ya kiume kama inavyotokea kwa wanadamu wengine. Katika yeye (Yesu) vitu vyote viliumbwa (Wakolosai 1:13-16) vinavyoonekana na visivyoonekana; vya Mbinguni na vya duniani. Maandiko yako wazi kabisa, na kwa mtu mwenye Roho wa Mungu anaelewa kwa urahisi kuwa Yesu ni Mungu. Shalom Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo

MAMLAKA ULIYONAYO UNAPOLITUMIA JINA LA YESU KRISTO!

Image
“Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina; ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi; na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI Bwana, kwa utukufu wa Mungu Baba.” (Wafilipi 2:9-11) Kwa mistari hii michache tunaona ya kuwa jina la Yesu kristo lina mamlaka MBINGUNI, DUNIANI na CHINI YA NCHI au KUZIMU. “Kwa jina la Yesu kila goti lipigwe” maana yake jina la Yesu lipate heshima linavyostahili kila mahali.Likiwa mojawapo ya funguo za ufalme wa mbinguni, jina la Yesu linatupa MAMLAKA mbinguni, duniani na chini ya nchi. Kwa mfano: tunaokolewa kwa jina la Yesu (matendo ya mitume 4:12). Tunazaliwa mara ya pili kwa jina la Yesu (Yohana 1:12). Kwa maneno mengine kwa sababu ya jina lake, Yesu alisema; “Amin, amin, nawaambia, Mkimwomba Baba neno lo lote atawapa kwa jina langu. Hata sasa hamkuomba neno kwa jina langu; ombeni, nanyi mtapata; furaha yenu iwe timilifu” (Yohana 16:23-24) Mtu anapata furah…

KORAN NI SAWA NA TANGAZO LA VITA

Image
Dhana ya Kiislamu ya Amani, kwa maana ya kufanya ulimwengu kuwa wa Kiislamu, ni mipango ya kishetani kwa ajili ya kufanya vita na kumwaga damu. Ilikuwa si jambo la kufikirika kuwa siku moja Ugaidi wa Kishetani utaweza ingia kwenye Nchi za Kistaarabu, kwa kupitia njia ya "dini" ya amani, nikimaanisha Uislam. Maantiki ya fikra yakinifu katika Uislamu ni tofauti na ile ya Wastani wa Mtu ..., nikimaanisha, katika Uislam, kuuwa kwao ndio amani wanayo itangaza. Mtu KAMWE hawezi kuuacha Uislamu, unajua, wale ambao waliiuacha Uislam na kujiunga na Imani zingine, wale hawakupigwa Muhuri wa kwenda Jehanamu. Maana Allah ameahidi Jehanamu kwa Waislamu wote Soma: Quran 40: 60. Na Mola wenu Mlezi anasema: Niombeni nitakuitikieni. Kwa hakika wale ambao wanajivuna na kuniabudu Mimi wataingia Jahannamu wadhalilike. Kuukacha Uislam na kuingia kwenye hekima hilo ni kosa la kifo katika dini ya amani/Islam. Hapo ndipo panaanza kufanya mtu afikirie, Je, kweli Koran ni kitabu cha Mungu? Mbona kun…

USIOGOPE, SIMAMA IMARA KWENYE MWAMBA WA MILELE

Image
Isaya 26: 4 Mtumainini Bwana siku zote Maana Bwana YEHOVA ni mwamba wa milele. Simama imara maana Yesu Mungu Mkuu ni MWAMBA WAKO na hakuna "Mapepo au Majini au Mashetani au Nguvu za giza" zinakazo kutetemesha. Kumbuka, Mwamba ni Yesu na upo juu yako. Barikiwa sana ndugu. Shalom, Max Shimba, mtumwa wa Yesu Kristo, Mungu Mkuu na Mwokozi wetu.

KAA NDANI YA YESU, NAYE ATAKAA NDANI YAKO

Image
Je, wewe ni tawi la Mzabibu unao zaa? Watu tuliookolewa, ni matawi ya Mzabibu wa Kweli. Yesu Kristo ndiye mizizi na shina. Kutoka kwake tunapata uzima. Chakula, maji na madini mengine hutoka chini kwenye mizizi na kupanda juu kwenye matawi. Uzima au uhai wetu unatokana na Yesu. Wokovu wetu hutoka kwake. Ikiwa tawi linaonekana kijani kibichi linapendeza, kupendeza huko hutokana na mizizi. Yohana 15:1-8: 1 Mimi ndimi mzabibu wa kweli, na Baba yangu ndiye mkulima.
2 Kila tawi ndani yangu lisilozaa huliondoa; na kila tawi lizaalo hulisafisha, ili lizidi kuzaa.
3 Ninyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya lile neno nililowaambia.
4 Kaeni ndani yangu, nami ndani yenu. Kama vile tawi lisivyoweza kuzaa peke yake, lisipokaa ndani ya mzabibu; kadhalika nanyi, msipokaa ndani yangu.
5 Mimi ni mzabibu; ninyi ni matawi, akaaye ndani yangu nami ndani yake, huyo huzaa sana; maana pasipo mimi ninyi hamwezi kufanya neno lo lote.
6 Mtu asipokaa ndani yangu, hutupwa nje kama tawi na kunyauka; watu huyakusanya n…

UNAYAJUA MADHARA YA KUANGALIA PICHA ZA UTUPU "PONOGRAFIA"? (SEHEMU YA TANO)

Image
Madhara Yanayosababishwa na Ponografia: Habari ya kila aina kuhusu ngono inapatikana kwa urahisi kupitia televisheni, sinema, video za muziki, na Internet. Je, ni kweli kwamba habari hizo chungu nzima za ponografia hazina madhara, kama watu wengi wanavyotaka tuamini?* Jinsi Ponografia Inavyowaathiri Watu Wazima: Hata watetezi waseme nini, ponografia inaathiri sana maoni ya watu kuhusu ngono na maadili. Watafiti kwenye Hazina ya Taifa ya Utafiti na Uelimishaji wa Jamii walikata kauli kwamba “kutazama ponografia kunaweza kuwafanya watazamaji wafanye ngono potovu.” Ripoti hiyo inasema “imani ya kwamba wanawake husababisha na hufurahia ubakaji, na kwamba wabakaji ni watu wa kawaida imeenea sana miongoni mwa wanaume wenye zoea la kutazama ponografia.” Watafiti fulani wanasema kwamba kuzoea kutazama ponografia kunaweza kuathiri uwezo wa kufurahia na kufanya ngono katika ndoa. Dakt. Victor Cline, mtaalamu wa kutibu watu wanaotawaliwa na mambo ya ngono, ametambua kwamba watu wanaotazama pono…

YESU ALIKUWEPO KABLA YA KUUMBWA KWA VITU VYOTE DUNIANI NA MBINGUNI

Image
Wakolosai 1:17 “Naye amekuwako kabla ya vitu vyote; na vitu vyote hushikamana katika yeye”. Yesu Kristo alikuwako kabla ya Ibrahimu kuwako (Yohana 8:52-58). Watu walioambiwa maneno hayo na Yesu mwenyewe waliokota mawe ili kumpiga Yesu wakisema kuwa anakufuru. Hawa ni watu wa tabia ya mwilini wanaotumia akili kupambanua mambo ya Mungu (mambo ya kiroho huwezi kuyatambua kwa akili maana Mungu ni Roho. ( Yohana 4:24)..Yohana 17:5,24.Waebrania 7:3 ). Yesu ni Alfa na Omega, wakwanza nawa mwisho kabla ya kuwekwa misingi ya ulimwengu yeye alikuwako (Ufunuo 22:13). Shalom Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo.

ALLAH ALIPATAJE MABINTI WATATU LAT, UZZA NA MANNAT BILA YA MKE? (SEHEMU YA TATU)

Image
Mapingamizi Tisa ya Kiislam na Maitikio Yake Pingamizi la 1 la Waislam: Watu wengine mbali ya hawa kumi na moja hawajaziongelea aya za Shetani. Baadhi ya wanazuoni wa Kiislam ambao hawakundika kuhusu aya za Shetani walkuwa Imam Muslim aliyeandika Sahih Muslim, Abu Dawud, Nas’ai, Ahmad bin Hanbal, and ibn Hisham. Itikio: Kuna vitu vingi kwenye makusaniko ya Hadithi ambavyo havimo kwenye mikusanyiko mingine. Kwa mfano, Hadithi ndefu za Bukhari hazina mafundisho kuhuu sababu za kutoa zaka, adhabu ya kujilimbikizia vitu, na malaika wawili wanao mtembelea Muislam kila asubuhi kama yanavyopatikana kwenye Sahih Muslim juzuu ya 2 sura ya 371 na.2205, uk.484. Kama mfano wa pili, tunajua kuwa Ibn Hisham aliitumia Bukhari, lakini aliiacha sehemu inayohusu aya za Shetani. Kwenye nakala ya Ibn Hisham ya Ibn Ishaq, alisema aliondoa vitu alivyoona kuwa vibaya. Kama alijisikia aibu sana hata hakuweza kuziweka, huo sio uthibitisho kuwa hazikutokea. Pingamizi la 2 la Waislam: Aya zinazodaiwa kuwa za S…

SIRI YA KUJIBIWA MAOMBI

Image
Yohana 15: 7 Ninyi mkikaa ndani yangu, na maneno yangu yakikaa ndani yenu, ombeni mtakalo lote nanyi mtatendewa. Tukitaka kuona matokeo makubwa zaidi ya maombi yetu, hatuna budi kukaa ndani ya Kristo, yaani kuokolewa na kuwa viumbe vipya (2 WAKORINTHO 5:17). Siyo hilo tu, maneno yake hayana budi kukaa ndani yetu kwa WINGI (WAKOLOSAI 3:16). Neno la Mungu litatuwezesha kuifahamu KWELI yenye uwezo wa kutuweka huru mbali na uongo wa Shetani. Shalom, Max Shimba Mtumwa wa Yesu Kristo, Mungu Mkuu na Mwokozi wetu.

UISLAM NI DINI YA KUTUNGA NA HAIKUWEPO KABLA YA MUHAMMAD

Image
Hakuna mwanadamu ye yote kabla ya ujio wa Muhammad, ambaye aliwahi kuwa Muislamu, wala aliyewahi kuujua Uislamu, kama kuna Muislamu ambaye anaweza kunithibitishia kuwa, kuna mtu aliyewahi kuwa Muislamu, kabla ya Quran kuwepo, basi nitasilimu na kuwa Muislam:- Angalizo :- Unapotoa ushahidi usitumie Quran, wala kitabu cho chote ambacho kimepatikana baada ya kuja Muhammad, bali nahitaji ushahidi katika vitabu vilivyokuwepokabla ya Muhammad kuja na Quran, na usichukue matukio ambayo Muhammad ameyaiga kutoka kwa watu wa zamani, kama
a) Kutawadha.
b) kusujudu
c) Kuvaa kanzu
d) Nk. Na kusema huo ndo uislamu, bali ukisema hivyo, basi uambatanishe na ushahidi kimaandiko, kutoka kwenye vitabu nje ya Quran, iliyokuja mwaka 610 baada ya Kristo, maandiko yasemavyo kuwa kusujudu, kuvaa kanzu, kutawadha ni uislamu, yakipatikana basi leo hii nitasilimu na kuwa muislamu! ZINGATIA :- kama hautapata ushahidi wa uwepo uislamu au neno Uislamu (الإسلام) kwenye vitabu vilivyokuwepo kabla ya Quran, basi tambua …

PASIPO YESU SISI HATUWEZI KUFANYA NENO LOLOTE

Image
Yohana 15: 4 Kaeni ndani yangu, nami ndani yenu. Kama vile tawi lisivyoweza kuzaa peke yake, lisipokaa ndani ya mzabibu; kadhalika nanyi, msipokaa ndani yangu. 5 Mimi ni mzabibu; ninyi ni matawi, akaaye ndani yangu nami ndani yake, huyo huzaa sana; maana pasipo mimi ninyi hamwezi kufanya neno lo lote. Ni muhimu wakati wote kukumbuka kwamba utoshelevu wetu watoka kwa Yesu (2 WAKORINTHO 3:5). Sisi ni matawi. Matawi yasipopata chakula na maji kutoka kwenye mizizi, hunyauka na kufa. Uwezo wetu wa kufanya neno lolote, unatoka kwa Yesu aliye mizizi. Bila yeye hatuwezi kufanya neno lolote. Hapa neno halisemi bila Yeye hatuwezi kufanya NENO LOLOTE KUBWA, kama kufufua watu, kuponya walio na Ukimwi n.k., neno linasema hatuwezi kufanya neno lolote hata lililo dogo. Katika yote, WAKATI WOTE, hatuna budi kuitumainia NEEMA ya Mungu na kamwe tusijitumainie wenyewe HATUWEZI! (2 WAKORINTHO 1:8-9; 12:9). Shalom, Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo, Mungu Mkuu na Mwokozi wetu.

MUHAMMAD ALIPAGAWA NA KUWEWESEKA BAADA YA KUONA KUPATWA KWA JUA

Image
Sahih Bukhar Volume II Kitabu namba 18 Namba 167. Nabii Muhammad alipagawa na kuweweseka baada ya kuona kupatwa kwa jua. Muhammad alifikiria kuwa kiyama kimefika na ameachwa na Allah. ALikimbia mpka msikitini na kuomba msamaha kwa Allah mara mia moja. Eti huyu ndio alikuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu, THUBUTU.
Ndio maana Muhammad aliukana utume wake: SOMA HAPA: MUHAMAMD ANAOMBWA AFANYE MIUJIZA ILI KUTHIBITISHA UTUME WAKE: Surat Al Israai 90. Na walisema: Hatutakuamini mpaka ututimbulie chemchem katika ardhi hii MUHAMMAD ANAJIBU KUWA YEYE SI CHOCHOTE YULE
Surat Al Israal 93. Au uwe na nyumba ya dhahabu, au upae mbinguni. Wala hatutaamini kupaa kwako mpaka ututeremshie kitabu tukisome. Sema: Subhana Rabbi, Ametakasika Mola wangu Mlezi! Kwani mimi ni nani isipo kuwa ni mwanaadamu na mtumwa tu? Muhammad hakuwai fanya muuiza wowote ule, hakuponya watu, hakufufua wafu, hakutoa majini zaidi ya kuwaingiza watu majini. Muhammad alikuwa dhaifu. Kama Muhammad alifikiria kuwa, kupatwa kwa jua ni KIYAM…

UNAYAJUA MADHARA YA KUANGALIA PICHA ZA UTUPU "PONOGRAFIA"? (SEHEMU YA SITA)

Image
Jinsi Vijana wanavyoathiriwa na picha za utupu: Takwimu zinaonyesha kwamba watazamaji wengi wa ponografia ni wavulana wenye umri wa kati ya miaka 12 na 17. Kwa kweli, wengi wao hujifunza masuala ya ngono hasa kupitia ponografia. Hilo lina matokeo mabaya sana. Ripoti moja yasema kwamba “ponografia hazionyeshi kamwe mimba za matineja na magonjwa yanayoambukizwa kingono kama UKIMWI, na hilo hutokeza wazo la uwongo la kwamba mambo yanayoonyeshwa katika ponografia hayana madhara.” Watafiti fulani husema kwamba kutazama ponografia kunaweza pia kuathiri ukuzi wa kawaida wa ubongo wa mtoto. Dakt. Judith Reisman, mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu ya Vyombo vya Habari, akata kauli: “Uchunguzi wa athari za sauti na picha za ponografia katika utendaji wa kawaida wa ubongo unaonyesha kwamba kutazama ponografia huathiri kabisa uwezo wa kawaida wa kufikiri. Pia hudhuru ubongo wa watoto unaoathiriwa kwa urahisi kwa sababu hufanya wasione mambo kihalisi na hudhuru afya yao ya kiakili na ya kimwili, na h…

ALLAH ALIPATAJE MABINTI WATATU LAT, UZZA NA MANNAT BILA YA MKE? (SEHEMU YA NNE)

Image
Pia, hii si mara pekee aya ya Kurani "inapotea kabisa" kwa sababu ilibatilishwa. Sahih Muslim juzuu ya 1 sura ya 244 na.1433, uk.329-330 ni Hadithi muhimu kwa sababu inaonyesha kuwa aya ilibatilishwa, bali baada ya kubatilishwa ilipotea kabisa. Hivyo ama:
a) Kurani kwenye mbao zenye maandishi [mbinguni] ilikuwa na toleo la awali, na toleo lililofuata lilitofautiana na mbao hizo. Kurani ya leo inatofautiana na mbao zenye maandishi za mbinguni.
b) Kurani kwenye mbao zenye maandishi za mbinguni zina toleo la baadaye, na toleo la awali linatofautiana nalo. Kwa hiyo maneno ya kwanza yalitolewa kama kiwakilishi cha mbao zenye maandishi za mbinguni wakati ukweli ni kwamba ilikuwa ni uongo.
Kipi ni kipi? Mbao za maandishi [mbinguni] kwenye Sura 85:20-22 hazidhaniwi kutengenezwa kwa puti ya kipumbavu. Pingamizi la 6 la Waislam: Tabari anawezakuwa hakukusanya habari kiuhakiki.
Itikio: Ingawa hatuna ushahidi wa mada haya, waandishi wengine watatu wa maisha [ya Muhammad] pia waliandika jam…