SUPPORT MAX SHIMBA MINISTRIES

MA-IMAMU WAMEBAKA WASICHANA WAWILI NA KUWASABABISHIA MAUMIVU MAKALI

Image may contain: 2 people, people standing


Lagos, Nigeria:
Maimamu wawili Kamaledeen Alade na Hammed Adebayo walifikishwa mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya juu ya Lagos kwa kosa la kubaka wasichana wenye umri wa miaka 14 na 16.
‎Watuhumiwa Alade, 32, na Adebayo 27 wanashitakiwa kwa makosa manne "charge of conspiracy, rape, sexual penetration and application of charm".
Kiongozi wa Mashitaka Sajenti Anthonia Osayande aliiAmbia Mahakama kuwa Alade alikuwa ni mwanzilishi wa kikundi cha kufundisha Quran, wakati Adebayo alikuwa msaidizi wa Alade na mwalimu msaidizi wa kufundishi Quran.
Sajenti Osayande alisema kuwa Watuhumiwa walifanya makosa hayo wakiwa kwenye nyumba namba 24 iliyopo Mtaa wa Amosun, Sari- Iganmu siku ya July 11 saa 4 na dakika 5 asubuhi.

Comments

TRENDING NOW

OMBA MAOMBI HAYA KILA SIKU ASUBUHI, MCHANA NA USIKU

MAOMBI YA KUMTEKETEZA SHETANI "NGUVU ZA GIZA"

MAOMBI YA VITA YA KUTUMIA ALAMA ZA MUNGU

NANI KAMPA UTUME NA UNABII MTUME MUHAMMAD?