Posts

Showing posts from June, 2017

SUPPORT MAX SHIMBA MINISTRIES

YESU ALISEMA NINI KUHUSU ROHO MTAKATIFU NA MAREHEMU MUHAMMAD?

Image
1. Roho Mtakatifu atakuja kwa Jina lake.
2. Roho Mtakatifu anajua yote.
3. Roho Mtakatifu atakaa ndani yetu.
4. Roho Mtakatifu anamtukuza Yesu. Neno la Mungu linasema kuwa, Roho Mtakatifu alikuja kwa Jina la Yesu. 1. ROHO MTAKATIFU ALIKUJA KWA JINA LA YESU: UTHIBITISHO: - Yohana 14:26 Lakini huyo Msaidizi, huyo Roho Mtakatifu, ambaye Baba atampeleka kwa jina langu, atawafundisha yote, na kuwakumbusha yote niliyowaambia. MUHAMMAD ALIPEWA UTUME NA MKEWE: Kiitabu kiitwacho “ Wakeze Mtume Wakubwa Na Wanawe” kilichoandikwa na Sheikh Abdullah Saleh Al Farsy uk.12 tunasoma maneno haya “Basi Mtume akafanya hofu akarejea kwa mkewe akamhadithia; na pale pale homa kubwa kabisa ikampanda akataka afunikwe maguo. Mara akawa anatetemeka kwa nderema na anaweweseka na kusema “Najikhofia nafsi yangu kuchezewa na shetani na kuniharibu akili yangu na kunizuga”. Bibi Khadija palepale alimdakiza akamwambia; “ Wacha hayo; Siyo yatakayokuwa hayo. Wewe huwezi kuchezewa na mashetani. Shetani hawezi kumchezea mtu…

YESU ALIWAPA ROHO MTAKATIFU WANAFUNZI WAKE MIAKA 630 KABLA YA KUZALIWA MUHAMMAD

Image
Yohana 20 aya ya 21 na 22 inasema: 21 Basi Yesu akawaambia tena, Amani iwe kwenu; kama Baba alivyonituma mimi, mimi nami nawapeleka ninyi. 22 Naye akiisha kusema hayo, akawavuvia, akawaambia, Pokeeni Roho Mtakatifu. AYA HAPO JUU IPO WAZI kabisa kuwa YESU ALIWAPA ROHO MTAKATIFU WANAFUNZI WAKE NA HAKUWAPA MUHAMMAD AMBAYE alikuwa bado HAJAZALIWA. NI UONGO MKUBWA SANA KUOKA WAISLAM WANAPO DAI KUWA MUHAMMAD NI ROHO MTAKATIFU. HUKU NI KUKUFURU ROHO MTAKATIFU.

MAJINA KUMI NA MBILI YA ROHO MTAKATIFU

Image
Katika kijarida hiki, tutajikumbusha majina kumi na mbili ya Roho Mtakatifu na kazi zake. Haya ungana nami moja kwa moja na tujifunze kuhusu Roho Mtakatifu. Roho Mtakatifu anamajina mengi na wasifa mwingi, mengi yao kama sio yote yanaeleza kazi na huduma yake. Hapa chini ni baadhi ya majina na wasifa wake kama yalivyo semwa katika Biblia kuhusu Roho Mtakatifu. 1. MWANDISHI WA NENO (Author of Scripture)
2 Petro 1:21; 2 Timotheo 3:16. Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaonya watu makosa yao, na kwa kuwaongoza, na kwa kuwaadibisha katika haki;
Roho Mtakatifu ndie aliye weka pumzi katika vitabu vyote vya Biblia 66. Hivyo basi, waandishi wa Biblia walipewa nguvu/upako na Roho Mtakatifu na wakaandika Biblia bila ya makosa. 2. MSAIDIZI/WAKILI/MSHAURI WETU (Comforter / Counselor / Advocate)
Nami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine, ili akae nanyi hata milele.
Isaya 11:2; Yohana 14:16, 15:26; 16:7.
Maneno yote matatu yanatokana na neon la Kigiriki Parakl…

YESU KRISTO ALIUMBA HISABATI

Image
Najua unashangaa kivipi Yesu awe Mwana Mahesabu. Naam, katika somo hili tutajifunza Hisabati ambazo wana Hesabu wameshindwa kuziweka katika "practical" vitendo. Sasa tuanze na aya tamu za Biblia: Yohana 6:1-14 au Soma Matayo 14:13-21. Nitaweka aya moja ya 17 katika Matayo: "tunayo Mikate Mitano na Samaki wawili" Kwa akili za haraka haraka haiwezekani kwa Mikate Mitano na Samaki wawili kulisha watu zaidi ya Elfu tano. Lakini kwa kutumia Hisabati za kawaida hesabu hiyo inawezekana, ila tunapo igeuza kuwa "VITENDO" haya mambo ni magumu sana. Je, Yesu aliwezaje kuwalisha watu elfu tano na zaidi kwa kutumia mikate mitano na samaki wawili? Katika Hisabati kuna somo la "FACTORIAL NOTATION" hili somo ni la kuzidisha namba kinyume nyume mpaka namba ya chini kabisa ambayo ni moja. Mfano:
1! = 1
2! = 2 × 1 = 2
3! = 3 × 2 × 1 = 6
4! = 4 × 3 × 2 × 1 = 24
5! = 5 × 4 × 3 × 2 × 1 = 120 Unaweza kujifunza hili soma hapa: http://math.tutorvista.com/statist…/factorial-…

MUNGU ROHO MTAKATIFU ANAISHI NDANI YETU

Image
Ezekieli 36:27 “nami nitatia roho yangu ndani yenu na kuwaendesha katika sheria zangu nanyi mtazishika hukumu zangu na kuzitenda” maneno haya anayasema MUNGU kupitia kinywa cha nabii Ezekieli. Ni Mungu aangaliae yote Zaburi 139:7 inasema “niende wapi njiepushe na Roho yako, Niende wapi niukimbie uso wako” Ni maombi yangu Zaburi 51:11-12 inayosema “usinitenge na uso wako wala Roho Mtakatifu usiniondolee unirudishie furaha ya wokovu wako ,unitegemeze kwa Roho ya wepesi wako” yatimie kwako. Katika Kumbukumbu la Torati anasema hivi Kumbukumbu la Torati 4:6 anasema “sikiza ee izraeli; Bwana, Mungu wetu, Bwana ndiye mmoja” MUNGU ni mmoja anaposema nitatia roho yangu ndani yenu (yetu) maana yake Mungu kuja kukaa ndani yetu kupitia ROHO MTAKATIFU, Biblia katika ule Waraka kwanza wa Yohana 4:8-9 anasema “kwa maana wako watatu washuhudiao[mbinguni Baba, na Neno, na Roho Mtakatifu na hawa watatu ni umoja 9 kisha wako watatu washuhudiao duniani] Roho, na maji, na damu; na hawa hupatana kwa habar…

Filipino Terrorists Memorized Quran…

Image
Marawi City, Philippines: On his Facebook profile page Omarkhayam Romato Maute describes himself as a "Walking Time-Bomb". When a band of militants led by Omarkhayam and one of his brothers over-ran a town in the southern Philippines on May 23, festooning its alleyways with the black banners of Islamic State, the Facebook description seemed appropriate.
Pause