Saturday, April 1, 2017

ALLAH ANAOMBA MSAADA WA KUNUSURIWA KWASABABU YEYE NI MPWEKE

Image may contain: one or more people and text
HUU NI MSIBA MKUBWA SANA.
Enyi mlioamini! mkimnusuru Mwenyezi Mungu ,naye atakunusuruni na ataithubutisha miguu yenu” (Quran 47:7)
Utasikia wakisema, yeye haitaji msaada na ni mjuzi wa kila kitu (Quran 41:53). Lakini nilipo isoma hii aya ya Quran 47:7, kumbe Allah yeye si lolote wala chochote kile zaidi ya kuonyesha unyonge na upweke kwa viumbe wake. Allah anaomba anusuriwe, je, ni wapi Allah amekwama?
Moja ya jina la Allah ni “Al-waahid”. Yaani “Mpweke” linalo toka kwenye neno la Kiarabu la ”Tawhiid”. Hivyo, hapa Allah anatukumbusha kuwa yeye ni MPWEKE na anahitaji msaada. Hivi, wapi tumesoma kwenye Biblia kuwa Yehova alikuwa Mpweke?
Ndugu zanguni, huyu Allah ni mpweke na hajiwezi kabisaa ndio maana anaomba anusuriwe.
Kumbe ndio maana Waislam wapo kutwa nzima wanapigania dini ya Allah ambaye ni Mpeweke na anaihitaji kunusuriwa.
Mkristo anaye jitambua, kamwe hawezi kupoteza muda wake kumpigania Allah ambaye ni MPWEKE NA ANAHITAJI KUNUSURIWA.
Mpokee Yesu aliye kupigania na kufa kwa ajili yako, na sio yule Allah dhaifu ambaye hata kujisaidia mwenye hawezi.
Shalom.
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo,

No comments:

ASILI YA UISLAM

IJUE DINI YA UISLAMU NA ASILI YAKE Na Mwalimu Eleutary H. Kobelo. Utangulizi Kwa miaka mingi waislamu duniani, wanatuhimiza sana sisi Wakris...

TRENDING NOW