Posts

Showing posts from April, 2017

SUPPORT MAX SHIMBA MINISTRIES

SABABU KUMI (10) KWANINI NAMPENDA YESU

Image
1. YESU NI MCHUNGAJI MWEMA Yohana 10: 10Mwivi huja ili aibe, kuua na kuangamiza. Mimi imekuja ili wapate uzima kisha wawe nao tele. 11‘‘Mimi ndimi Mchungaji Mwema. Mchungaji Mwema huutoa uhai Wake kwa ajili ya kondoo. Yesu ninae mpenda ni mwenye Mikono Wazi na yupo tayari kutupokea sote. Sote tumefanya makosa, lakini habari njema ya Ukombozi ni kuhusu Upendo wa Mungu kwetu sisi ambao tunaupata kutoka na kupitia Yesu Kristo ambaye ni Bwana na Mwokozi wa Maisha yangu. Karibu kwa Mchungaji Mwema ambaye ni Yesu Kristo aliye kufa Msalabani kwa ajili ya dhambi zako. 2. YESU ALIKUJA KUWASAIDIA WALIO LEMEWA NA MIZIGO AU MATATIZO YAO Matayo 11: 28 “Njooni kwangu, ninyi nyote mnaotaabika na kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. 29 Jifungeni nira yangu, mjifunze kutoka kwangu, kwa maana mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo, nanyi mtapata raha nafsini mwenu. 30 Kwa maana nira yangu ni laini na mzigo wangu ni mwepesi.’’ Ukristo sio kuhusu kufanya sheria bali ni kupokea jibu ambalo Yesu alisha …

YESU NI MUNGU KUTOKANA NA QURAN (SEHEMU YA NNE)

Image
1. Allah kasema Yesu ni NENO
2. Biblia inasema kuwa Neno ni Mungu Allah anasema kuwa Yesu wa Quran ni NENO litokalo kwake. Ikiimaanisha kuwa, asili ya Yesu si binadamu bali ni Neno litokalo kwa Mungu. Quran hiyo hiyo inasema kuwa Neno la Allah halina mwanzo, ikiimaanisha kuwa NENO la Allah lilikuwa na Allah karne zote na NENO la Allah halikuumbwa. (Allah's word is eternal) Sura 6:115, Sura 10:64, Sura 18:27. Hebu tusome aya kutoka Quran kuwa Yesu ni NENO: Surat Al Imran 45. Na pale Malaika walipo sema: Ewe Maryamu! Hakika Mwenyezi Mungu anakubashiria (mwana) kwa neno litokalo kwake. Jina lake ni Masihi Isa mwana wa Maryamu, mwenye hishima katika dunia na Akhera, na miongoni mwa walio karibishwa (kwa Mwenyezi Mungu). Quran inakiri kuwa Maryam alipata MWANA KWA KUPITIA NENO LA ALLAH. Hivyo basi Yesu asili yane ni NENO na sio binadamu. Rejea Surat Al Imran aya 45. Surat An Nisaai 171. Enyi Watu wa Kitabu! Msipite kiasi katika dini yenu, wala msimseme Mwenyezi Mungu ila kwa lilio kwel…

UNAZIJUA KAMBA ZA MAUTI ZILIZO KUFUNGA?

Image
Habari njema ni kuwa waliofungwa na kamba za mauti leo hii watawekwa huru na kufunguliwa kwa Jina la Yesu. Lengo la kufungwa na kamba za mauti ni kusababisha kifo; kifo katika uwezo wako wa kuomba, kifo cha uwezo wa kumtumikia Mungu, kifo cha uwezo wa kufanya kazi n.k. Zaburi 18:4…[Kamba za mauti zilinizunguka, Mafuriko ya uovu yakanitia hofu.]… Ina maana Daudi alikuwa anatembea kama wewe na mimi lakini tayari katika ulimwengu wa roho Daudi amejiona akiwa amefungwa kamba za mauti. Zaburi 116:3….[Kamba za mauti zilinizunguka, Shida za kuzimu zilinipata. Naliona taabu na huzuni;]... Pindi ufungwapo kamba za mauti, shida za kuzimu zitaanza kukufuata. Kamba za mauti ni 'ishara ya kifo'. Sanda vivyo hivyo, huvishwa watu wanapokuwa wamepoteza uhai wao (wafu). Endapo watoto wako watakuwa wamefungwa kamba za mauti, utakuta kuwa, wale waliowafunga wameshawafanya 'maiti' ingawa wanatembea. Kwa hiyo, mtu anakuwa hai kimwili lakini katika ulimwengu wa roho mtu huyo walishamuua na…

WALEENI WATOTO KATIKA NJIA YA KRISTO

Image
Mithali 22:6 inasema; “mlee mtoto katika njia impasayo, naye
hataiacha, hata atakapokuwa mzee”. Hivyo ni malezi ndiyo yafanyayo watoto kuwa wema au wabaya au watukutu, kumbuka huwezi kuwatenga watoto na jamii, nchi au dunia hii iliyojaa yote mema na mabaya Isipokuwa kwa kuwajaza nguvu ya kushinda majaribu ya dunia ambayo imo katika Neno la Mungu. Torati 6:6-7. "Na maneno haya ninayokuamuru leo yata kuwa katika moyo wako nawe uwafundishe watoto wako kwa bidii nakuyanena uketipo katika nyumba yako na utembeapo njiani na ulalapo na uondokapo." Nidhamu ni namna yakuonyesha upendo kwa mtoto. Imeandikwa katika Mithali 13:24 "Yeye asiyetumia fimbo yake humchukia mwanawe; bali ampendaye humrudi mapema." Nidhamu njema humfunza mtoto Imeandikwa Mithali 29:15 "Fimbo na maonyo hutia hekima bali mwana aliyeachiliwa humuaibisha mamaye." Sababu ya kumwathibu mtoto nikumfanya akuwe vema. Imeandikwa Waefeso 6:4 "Nanyi akina baba msiwachokoze watoto wenu; bali waleeni…

MWANA MASUMBWI MANNY PACQUIAO ANASOMA BIBLIA ASUBUHI, MCHANA NA JIONI

Image
Huu ni ushuhuda mzuri na utakutia moyo na wewe uwe na utamaduni wa kusoma Biblia kila siku. Manny Pacquiao - (Boxing Fighter) ni tajiri na anampenda Yesu na haoni haya kusema kuwa, Yesu ni Mungu na kamwe hato muacha. Je, wewe unampenda Yesu? Je, unawashuhudia marafiki zako kuhusu Yesu? Usiogope na wala usikate tamaa, Mshuhudie Yesu, Kazini, Shuleni kwenye Basi na njiani popote pale. Barikiwa sana. https://www.theguardian.com/…/manny-pacquiao-chris-algieri-…

JE, TALAKA INARUHUSIWA KWENYE UKRISTO?

Image
Somo gumu sana hili na linatatanisha na kutikisa akili za watu. Hebu tusome Biblia kwa umakini sana na kuweka theolojia pembeni. Haya tuanze utafiki kwa umakini. Kwanza ni muhimu kukumbuka maneno ya Biblia katika Malaki 2:16a: “ nachukia talaka, asema Bwana Mungu wa Israeli,” kulengana na biblia, mpango wa Mungu juu ya ndoa ni iwe ushikamano wa siku zote za mwanadamu duniani. “ Hata si wawili tena bali mmoja. Kwa hivyo kile Mungu amekiunganisha mwanadamu asikitenganishe” (Mathayo 19:6). Mungu antambua ya kwamba kwa kuwa ndoa ni ya wenye dhambi wawili, talaka haina budi kutokea. Katika agano la kale aliweka sheria za kulinda haki za watalaka hasa wanawake (Kumbukumbu la Torati 24:1-4). Yesu akasema sheria hizi zilitolewa kwa sababu ya ugumu wa mioyo ya wanadamu lakini hayakuwa mapenzi ya Mungu (Mathayo 19:8). JE, UASHERATI UNARUHUSU TALAKA?: Utofauti wa maoni juu ya talaka na kuoa tena unatokana na maneno ya Yesu katika Mathayo 5:32 na 19:9. “isipokuwa kwa habari za uasherati” ndicho …

UPENDO WA YESU

Image
Yesu alionyesha upendo wa kujidhabihu kwa njia bora sana. Kujidhabihu ni kutanguliza mahitaji na masilahi ya wengine bila ubinafsi. Yesu mwenyewe alieleza hivi: “Hakuna aliye na upendo mkubwa zaidi kuliko huu, kwamba mtu fulani aisalimishe nafsi yake kwa niaba ya marafiki wake.” (Yohana 15:13) Yesu alitoa uhai wake mkamilifu kwa hiari kwa ajili yetu. Huo ulikuwa wonyesho mkuu zaidi wa upendo kuwahi kuonyeshwa na mwanadamu yeyote. Lakini Yesu alionyesha upendo wa kujidhabihu kwa njia nyinginezo pia. Yesu alisema hivi: “Nampenda Baba.” (Yohana 14:31) Hakuna mtu yeyote anayeweza kumpenda Mungu kama Mwana huyo, ambaye alikaa na Baba yake kwa muda mrefu sana kabla kiumbe yeyote hajaumbwa. Upendo ulimchochea Mwana huyo mwaminifu kutaka kumwiga Baba yake.—Yohana 14:9. Wakati wa huduma yake duniani, Yesu alijidhabihu kwa upendo katika njia mbalimbali. Hakuwa na ubinafsi wowote. Alijishughulisha mno na huduma yake hivi kwamba alijinyima mambo ya kawaida ambayo wanadamu wamezoea. “Mbweha wana …

A Group Of LIONS Save Christians From Execution By Islamic Militants, Says Pastor

Image
It is a remarkable story of God’s intervening hand to save his people. Pastor Paul Ciniraj, director of Bibles for Mideast, says that he and other Christians were rescued from the clutches of death by a group of three lions. Ciniraj and his group were under attack from Islamic militants when the giant cats attacked and scared the murderous group away. “My risen Lord Jesus Christ has saved my life once again,” Pastor Paul wrote, “and I praise and thank God for His unspeakable grace!” It was Easter Sunday when the miracle took place. The pastor was recovering in the home of some friends following a stoning attack by Islamists earlier that day. “Suddenly, a group of militants reached the house, armed with steel bars and other weapons,” he reported to WND. Pastor Ciniraj thought this was the end of the road for him, and feared for the life of the 80-year-old resident, and several children who were taking refuge in the house alongside him. “Losing all hope, we thought for sure this was ou…

BROOKLYN MOSQUE and Muslim-owned store were totally gutted in a fire

Image
A fire ripped through a building housing a mosque and a deli in Bedford-Stuyvesant, Brooklyn Saturday morning. The building houses the Sunshine Express Deli and the Brooklyn Broadway Jame Masjid and Islamic Center. CBS The mosque, which has served the community there since 2004, has 250 members, who are now struggling to find a new place to worship for the holy month of Ramadan, which starts in a few weeks. “It’s horrible, it’s horrible. It’s a disaster, I don’t know. We’re like almost crying,” Hussein said. “People are asking, ‘Where are you going to pray?’ So I said, ‘I don’t know.” (There’s always the street, where Muslims love to lift their asses to Allah so they can throw their Islamic supremacy in our faces)MICThe New York Fire Department is currently investigating the cause of the fire incident. The New York Police Department said in an email that, at this time, there are no signs or reason to believe the fire was intentionally started as part of a hate-motivated crime. WARNING …

Somali Muslim sues employer because the firm held an all-pork barbecue for employees

Image
Not only that…Leyla Hashi has filed a discrimination suit against a national furniture retailer, Aaron’s, in Portland, Maine, claiming that she was harassed by fellow employees and ultimately fired from a job at its local branch in 2015 because she is Muslim, a Somali Muslim (not because she kept requesting time off to observe Muslim holidays?).BangorDailyNews  According to the lawsuit, the termination allegedly followed a pattern of harassment in which other employees mocked and demeaned Hashi, a black Somali immigrant, based on her , appearance, attire and religion.Somali Muslim women in Maine and other states are infamous for stirring up trouble: Hashi is suing the store’s Georgia-based parent corporation, SEI/Aaron’s Inc., for reinstatement of her job, lost wages and benefits with interest, punitive damages and legal costs.At Aaron’s, Hashi claims that she was subjected to a stream of verbal harassment that was brushed off by management and deliberately was excluded from workplace …

CHINA bans several Islamic baby names, including Mohammed, in volatile Muslim-majority region of Xinjiang

Image
In its ongoing crackdown on Islam in China, dozens of popular Muslim baby names including Islam, Quran, Mecca, Jihad, Imam, Saddam, Hajj, and Medina are banned under ruling Chinese Communist Party’s “Naming Rules For Ethnic Minorities.” Hindustan Times  China has banned dozens of Islamic names for babies belonging to the restive Muslim-majority Xinjiang province, in a move that would prevent children from getting access to education and government benefits, a leading rights group said on Tuesday.Xinjiang authorities have recently banned dozens of names with religious connotations common to Muslims around the world on grounds that they could “exaggerate religious fervour,” the Human Rights Watch said. Children with banned names will not be able to obtain a “hukou,” or household registration, essential for accessing public school and other social services, it said. The new measures are part of China’s fight against terrorism in this troubled region, home to 10 million Muslim Uyghur ethnic…

MAPIGO 10 KWA FARAO NA MISRI

Image
Basi wakati wa Mungu ukafika wa kuonyesha yeye ana uwezo kuliko Farao. Unajua alivyofanya? Ni kwa kuleta mapigo 10 au taabu kubwa, juu ya Misri. TAZAMA picha hapo chini katika mada hii. Kila moja inaonyesha pigo ambalo Yehova alileta juu ya Misri. PIGO LA KWANZA:
Katika picha ya kwanza unaweza kumwona Harui akiupiga Mto Nailo kwa fimbo yake. Alipoupiga, maji ya mto yakawa damu. Samaki wakafa, nao mto ukaanza kunuka vibaya. PIGO LA PILI:
Farao anawafukuza vyura kitandani mwake, pigo la pili
Kisha, Yehova akafanya vyura watoke katika Mto Nailo. Walikuwa mahali pote—katika majiko ya kuokea mikate, vikaangio, katika vitanda vya watu—mahali pote. Vyura hao walipokufa Wamisri waliwakusanya wengi sana, na nchi ikanuka vibaya. PIGO LA TATU:
Halafu Haruni akaipiga ardhi kwa fimbo yake, nayo mavumbi yakawa chawa. Hao ni wadudu wadogo wanaouma. Chawa walikuwa pigo la tatu juu ya nchi ya Misri. PIGO LA NNE:
Mapigo mengine yaliumiza Wamisri peke yao, si Waisraeli. Pigo la nne lilikuwa mainzi wakubwa w…

MUNGU IBARIKI ISRAEL

Image
1. OMBEA NCHI YA ISRAELI
Nchi ya Israeli haipo pale kama nchi kwa ajili ya raia wake tu, na kwa watu waishio ndani yake tu; lakini iko pale ili Mungu aitumie kwa ajili ya kujijulisha na kuwafikia watu wote ulimwenguni. Kumbuka ya kuwa Mungu anaitumia nchi ya Israel kama Lango la kupitisha yale yote aliyokusudia uyapate kutokana na agano lake alilolifanya na Ibrahimu. Unapoiombea Israeli – Mungu anailinda na kuitunza ili itumike kupitisha vitu ambavyo Mungu anataka vikufikie.
2. OMBEA MJI WA YERUSALEMU
Kufuatana na Ezekiel 26:2; “Yerusalemu” ni “lango la kabila za watu”. Tena kufuatana na Mathayo 5:35; “Yerusalemu” ni “mji wa mfalme mkuu” …yaani Yesu Kristo! Ikiwa umeungwa kwa Kristo Yesu, basi mji huu wa Yerusalemu unakuhusu sana! Ni lango la Mungu kwa ajili ya kabila za watu – na wewe ukiwa mmojawapo! Ndiyo maana katika Zaburi 122:6 tunahimizwa kuuombea mji huu amani na kuupenda!
3. UWE NA BENDERA YA ISRAELI
Jitahidi uwe na bendera kadhaa za nchi ya Israel. Halafu ziweke au zipeperushe o…

JE, UNAYO HEKIMA KUTOKA KWA MUNGU?

Image
(a) Solomoni alionyeshaje hekima ya pekee katika kuamua ni nani aliyekuwa mama ya mtoto?
(b) Mungu anaahidi kutupatia nini, na ni maswali gani yanayozuka? Ilikuwa kesi ngumu sana—wanawake wawili walibishania mtoto mmoja mchanga. Wanawake hao waliishi pamoja, na mmoja wao alijifungua mwana siku chache tu baada ya mwingine kujifungua. Mtoto mmoja alikuwa amekufa, na kila mwanamke alidai kwamba mtoto aliyekuwa hai alikuwa wake. * Hapakuwa na watu wengine walioshuhudia lililotukia. Yaelekea kwamba kesi hiyo ilikuwa imesikilizwa katika mahakama ya chini lakini haikusuluhishwa. Mwishowe, kesi hiyo ilipelekwa kwa Solomoni, mfalme wa Israeli. Je, angefunua ukweli wa mambo? Baada ya kuwasikiliza wanawake hao wakibishana kwa muda, Solomoni aliomba upanga. Kisha, akaamuru mtoto huyo akatwe vipande viwili na kila mwanamke apewe kipande kimoja. Mara moja mama ya mtoto huyo akamsihi mfalme amkabidhi yule mwanamke mwingine mtoto wake mpendwa. Lakini mwanamke yule mwingine aliendelea kusisitiza mtoto…

Je, Muhammad Ametabiriwa Kwenye Biblia? – Sehemu ya I

Image
Waislamu wanashikilia kwamba Muhammad alitabiriwa kwenye Biblia. Andiko lao kuu wanalotumia kutetea hoja hii ni Kumbukumbu la Torati 18:18. Andiko hilo linasema: Mimi nitawaondokeshea nabii miongoni mwa ndugu zao mfano wako wewe, nami nitatia maneno yangu kinywani mwake, naye atawaambia yote nitakayomwamuru. Haya ni maneno ambayo aliambiwa Musa na Yehova. Mmojawapo wa watu ambao walijaribu sana kuonyesha kuwa andiko hili lilimhusu Muhammad, alikuwa ni mwanaharakati wa Kiislamu, marehemu Ahmed Deedat wa Afrika Kusini. Unaposoma au kusikiliza sababu wanazotoa ili kuthibitisha madai yao hayo, kwa kweli ni sababu zenye nguvu sana (kwa mtu ambaye haelewi Biblia); ingawaje hazina uzito hata chembe ukijua Biblia inasema nini katika ujumla wake na ni nini makusudi na malengo ya Mungu kwa uzao mzima wa Adamu. Siku moja Ahmed Deedat alimkaba mchungaji mmoja kwa maswali kuhusu mstari huu wa Kumbukumbu 18:18 kiasi kwamba, kwa maneno yake, Deedat anasema kuwa mchungaji yule alikosa cha kusema. De…

Je, Muhammad Ametabiriwa Kwenye Biblia? – Sehemu ya II

Image
Katika makala yaliyopita tuliona hoja za ndugu wa Kiislamu wanavyojaribu kwa juhudi nyingi kuonyesha kwamba Muhammad ametabiriwa kwenye Biblia.Katika makala hayo niliahidi kuwa nitaeleza jinsi ambavyo hoja zao hazina ukweli wowote. Licha ya kwamba Mungu wanayemwamini amewahakikishia kwamba Muhammad ametajwa kwenye Biblia, ukweli ni kwamba hajatajwa hata kidogo!


Katika sehemu ya kwanza ya mfululizo huu, nilimalizia kwa kunukuu kile ambacho Yehova, Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo, anasema juu ya Neno lake. Hebu tuangalie tena baadhi ya maneno hayo. Imeandikwa:

Lakini sisi hatukuipokea roho ya dunia, bali Roho atokaye kwa Mungu, makusudi tupate kuyajua tuliyokirimiwa na Mungu. Nayo twayanena, si kwa maneno yanayofundishwa kwa hekima ya kibinadamu, bali yanayofundishwa na Roho,tukiyafasiri mambo yarohoni kwa maneno ya rohoni.Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni. Lak…