Friday, March 17, 2017

ETI ISA BIN MARYAM ALIISHI MIAKA MIA NA ISHIRINI 120

Image may contain: text
Haya tusome viroja na vihoja vya Waislam.
Hazrat Aisha, Allah apendezewe naye, alisema kuwa, yeye alimsikia Nabii Muhammad akisema:
"Isa bin Maryam, aliishi miaka 120" (Hujaj al-Kirama, p. 428) Hii simulizi ni sahih. All the narrators of this hadith are reliable (ibid.)
Sasa tusome ushahidi mwingine wa Waislam.
Hazrat Fatima, Allah apendezewe naye, alisema kuwa, yeye alimsikia Nabii Muhammad akisema:
"Isa bin Maryam, aliishi miaka 120" (Kanz-ul-Ummal, vol. vi, p. 120)
HUU NI MSIBA MKUBWA SANA.
NDIO MAANA NASEMA ISA KAMWE HAWEZI KUWA YESU WA BIBLIA.
Shalom
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo.

No comments:

KWANINI KRISMAS NI DISEMBA 25?

  TEREHE 25 DISEMBA IMETAJWA KWENYE BIBLIA KWANINI KRISMAS NI DISEMBA 25? Tuanze na kumsikiliza Yesu akiitumia aya inayo husisha tarehe 25 n...

TRENDING NOW