Tuesday, January 10, 2017

MTUME PAULO ALIFUNDISHA KWENYE SINAGOGI KILA SABATO

Image may contain: text and outdoor
Matendo ya Mitume 18:
1 Baada ya mambo hayo, Paulo akatoka Athene akafika Korintho.
2 Akamwona Myahudi mmoja, jina lake Akila, mzalia wa Ponto; naye amekuja kutoka nchi ya Italia siku za karibu, pamoja na Prisila mkewe, kwa sababu Klaudio amewaamuru Wayahudi wote watoke Rumi, naye akafikilia kwao;
3 na kwa kuwa kazi yao ya ufundi ilikuwa moja, akakaa kwao, wakafanya kazi pamoja, kwa maana walikuwa mafundi wa kushona hema.
4 Akatoa hoja zake katika SINAGOGI kila Sabato, akajaribu kuwavuta Wayahudi na Wayunani.
5 Hata Sila na Timotheo walipotelemka kutoka Makedonia, Paulo akasongwa sana na lile neno, akiwashuhudia Wayahudi ya kwamba Yesu ni Kristo.
HUWA KUNA HOJA YA WAISLAM KUWA, ETI YESU ALIKUWA MUISLAM KWASABABU ALIINGIA KWENYE SINAGOGI.
JE, TUKITUMIA UTAALAMU NA AU MBINU HIYO HIYO NA TUWAULIZE WAISLAM. JE, MTUME PAULO ALIKUWA MUISLAM MAANA ALIINGIA KWENYE SINAGOGI?
Cross reference:
Matendo 9 aya ya 20.
Matendo 17 aya ya 2.
Matendo 19 aya ya 8.
Basi tuendelee kujifunza neno lake bila kuchoka.
Barikiwa sana.
Shalom.

No comments:

ETI, ALLAH KAUMBA MATUNDA DUME NA MATUNDA JIKE

Jenda za Matunda? Inahitaji muujiza kuamini katika hili ... Hivi majuzi, niligundua "muujiza mwingine wa kisayansi" katika Qur'...

TRENDING NOW