Posts

Showing posts from 2017

SUPPORT MAX SHIMBA MINISTRIES

Understanding Jeremiah 8:8

Image
Jeremiah, chapter 8 states: 7 Even the stork in the sky knows her appointed seasons, and the dove, the swift and the thrush observe the time of their migration. But my people do not know the requirements of the LORD.
8 How can you say, "We are wise, for we have the law of the LORD," when actually the lying pen of the scribes has handled it falsely? 9 The wise will be put to shame; they will be dismayed and trapped. Since they have rejected the word of the LORD, what kind of wisdom do they have? Verse 8 is being quoted by an increasing number of Muslims as proof that the Jewish scholars have been corrupting the text of their scriptures. For all Bible study (as for studying any other book) it is important to look at the context of each passage we want to understand. The above verses are part of Jeremiah's "Temple Address" in Jeremiah 7:1-10:25. The first important clue is to note that God through the prophet Jeremiah states in verse 7: "my people do not KNOW…

Are Muslims permitted to lie?

Image
The Qur'an:Qur'an (16:106) - Establishes that there are circumstances that can "compel" a Muslim to tell a lie. Qur'an (3:28) - This verse tells Muslims not to take those outside the faith as friends, unless it is to "guard themselves." Qur'an (9:3) - "...Allah and His Messenger are free from liability to the idolaters..." The dissolution of oaths with the pagans who remained at Mecca following its capture. They did nothing wrong, but were evicted anyway. Qur'an (40:28) - A man is introduced as a believer, but one who must "hide his faith" among those who are not believers. Qur'an (2:225) - "Allah will not call you to account for thoughtlessness in your oaths, but for the intention in your hearts" The context of this remark is marriage, which explains why Sharia allows spouses to lie to each other for the greater good. Qur'an (66:2) - "Allah has already ordained for you, (O men), the dissolution of you…

KWANINI MJI WA YERUSALEM NI MTAKATIFU?

Image
Kumekuwa na mzozo wa muda mrefu kuhusu udhibiti wa mji wa Jerusalem kati ya Waisraeli na walowezi wa Kipalestina. Mji huo kwa sasa huwa umegawanywa mara mbili, Jerusalem Mashariki na Jerusalem Magharibi. Jerusalem ya Magharibi hutazamwa na Israel kama mji wake mkuu nayo Jerusalem Mashariki hutazamwa kuwa mji mkuu wa taifa la Wapalestina (litakapoundwa), ingawa eneo hilo bado kwa kiwango kikubwa limetawaliwa na Israel tangu vita vya 1967. Tangu wakati wa vita hivyo, Israel imejengwa nyumba za walowezi wa Kiyahudi takriban 200,000 ambao huishi Jerusalem Mashariki, hatua iliyoshutumiwa na jamii ya kimataifa. Eneo hilo huishi Wapalestina takriban 370,000. Israel ilitangaza 1980 Jerusalem yote kuwa mji wake mkuu wa milele, lakini nchi nyingi duniani hazikubali azimio hilo. Hivyo basi, balozi za nchi za kigeni katika Israel ziko nje ya Jerusalem, katika mji wa Tel Aviv. Mzozo huo umefufuliwa tena kutokana na hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani kutarajiwa kuutambua mji huo kama mji mkuu …

KANISA TAKATIFU LA MUUJIZA WA YESU KRISTO LAFUNGULIWA ISRAEL

Image
Misa maalum imefanyika kufungua rasmi kanisa Katoliki Kaskazini mwa Israel ambalo liliteketezwa na Wayahudi wenye itikadi kali mwaka wa 2015. Kanisa hilo lililoko eneo la Tabgha kando mwa ziwa la Galilee linaaminika na Wakristo kama eneo takatifu ambapo Yesu Kristo alifanya muujiza wa kuwalisha watu 5000 kwa mikate mitano na samaki wawili pekee. Ukarabati wa kanisa hilo ulichukua miezi minane na kugharimu kima cha dola milioni moja. Licha ya Wayahudi watatu wenye itikadi kali kupatikana na makosa ya kuchoma kanisa hilo hata hivyo hawakuhukumiwa. Uvamizi huo uliharibu maktaba ya kanisa na jengo nzima. Hata hivyo sakafu yake iliyotengenezwa karne ya tano ilinusurika uharibifu huo. Source BBC

CHUMBA CHA KABURI ALIMOZIKWA YESU CHAFUNGULIWA TENA

Image
Chumba kidogo kinachofunika kaburi ambako inaaminika Yesu Kristo alizikwa kimefunguliwa rasmi tena baada ya kufanyiwa ukarabati kwa miezi tisa. Chumba hicho ambacho kinapatikana katika Kanisa la Kaburi la Yesu Kristo katika maeneo ya mji wa zamani wa Jerusalem kilikuwa kimekuwa dhaifu sana kiufundi. Aidha, kilikuwa limebadilika rangi na kuwa karibu rangi nyeusi kutokana na masizi ya mishumaa mingi ambayo huwashwa eneo hilo. Mzozo kati ya madhehebu matatu ambayo kwa pamoja husimamia kanisa hilo - Kanisa la Kiothodoksi la Ugiriki, Kanisa la Kiarmenia na Kanisa Katoliki la Kirumi - ulichelewesha ukarabati huo kwa miongo mingi. Antonia Moropoulou, aliyesimamia ukarabati, amesema chumba hicho sasa kimepata tena rangi yake asili inayokaribia hudhurungi. Chumba hicho kilifanyiwa ukarabati mara ya mwisho mwaka 1810. Source BBC

I'll just leave this here.. Stupidity at its finest.. 😕

Image

MUISLAM FADHIL MSHAMU ANASWA GESTI NA MWANAWE WA KIKE

Image
KIMENUKA! Mzee wa Kiislam Fadhil Mshamu, mkazi wa Kibaha mkoani hapa anakula Krismasi na Mwaka Mpya wa 2018, akiwa na stresi kufuatia kusomewa shitaka la kumdhalilisha binti yake wa kumzaa jina linahidhiwa kwa sababu za kimaadili. Kesi hiyo ilitajwa wiki iliyopita ambapo itaanza rasmi kusikilizwa mapema Mwezi Januari, mwakani katika Mahakama ya Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani. Sheikh Mshamu alikutwa na kasheshe hilo baada ya miezi kadhaa kunaswa akiwa na binti yake wa kumzaa kwenye nyumba moja ya kulala wageni (gesti) huko Kibaha huku kukiwa na madai ya kumtaka kingono. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, Sheikh Mshamu alinaswa akiwa na binti yake huyo baada ya kuwekewa mtego kufuatia taarifa za kumsumbua kwa muda mrefu akidaiwa kumtaka kimapenzi. Kwa mujibu wa chanzo chetu kutoka ndani ya familia ya Sheikh Mshamu, baada ya kunaswa kwenye mtego huo uliowashirikisha polisi na ndugu wa familia hiyo, Juni 26, mwaka huu, Jeshi la Polisi lilimfungulia Sheikh Mshamu jalada la uchunguzi am…

ASKOFU ZACHARIAH KAKOBE

Image
"Wewe unaabudu miungu, unakwenda kwa waganga kiongozi wa serikali, unavaa hirizi kiunoni ili ulinde cheo chako cha serkali, unafikiri utanitisha mimi?"
Askofu Zacharia Kakobe. "Unaota ndoto za malaika wa giza unadhani umemwona Yesu?"
Askofu Zacharia Kakobe " Unaogopa kufa? Kufa lazima ufe na utakufa mara moja tu. La msingi ufe katika imani."
Askofu Zacharia Kakobe "Mimi nawaambia usalama wa Taifa wasisumbuke na Kakobe, huyu mtu ni jabali. Hata simba akitokea hapa ukipima mapigo yangu ya moyo ni ya kawaida sitishiki."
Askofu Zacharia Kakobe "Kama hujawahi kuona mtu mwingine aina ya Kakobe ndio mimi sasa, hamnibabaishi na vitu vidogo vidogo hivi." "Eti ooh tunafuta kanisa, unaweza kunitisha kwa kufuta kanisa? Ohh tunakupeleka mahakamani tukuondoe, siku mkiniondoa hakutakuwa na watu hapa wanasali, wataondoka na kunifuata."
Askofu Zacharia Kakobe MANENO YANGU 1. Wanavaa hirizi ili walinde vyeo.
2. Wanaota ndoto za Malaika wa giza
3. Wa…

WAISLAM NI WAPI YESU ALISUJUDU?

Image
Makafiri Waislam wamekuwa wakipotosha watu kila siku, kwamba YESU ni muislam kisa ALISUJUDU, hii ndio imekuwa hoja yao kubwa kwenye mitandao ya kijamii na katika mihadhara wanayofanya mitaani, na kweli kupitia njia hii, wamejipatia makundi ya waumini kwa hila, kuna watu wengi wameacha Ukristo na kusilimu, baada tu ya kuambiwa YESU ALISUJUDU, hivyo YESU ni muislam!
😨😨😨 Inasikitisha sana, ➡"Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa"⬅
HOSEA 4:6 Hii yote inachangiwa na uzembe wa Wakristo wengi kutopenda kusoma Biblia wao wenyewe, na wengine hawana Biblia kabisaa! Sasa mtu wa hivyo akikujia muislam na hila zake, lazima akupate, maana huna ujanja, Biblia yenyewe hujui, unafikri utamshinda? Sio rahisi! 😎😎 Tuendelee na mada!⤵⤵ Sasa waislam wanasema YESU ni Muislam, kisa tu,➡ALISUJUDU! (Yaani kwa Waislam, mtu akifanya jambo lolote ambalo nao wanalifanya, tayari mtu huyo ni Muislam, hata kama haujui msikiti wala Allah! 😂😂😂😂 Mfano YESU alipofuga ndevu na akavaa kanzu, pia wan…