Tuesday, December 20, 2016

UISLAM SIO DINI YA HAKI

Image may contain: one or more people and text
Ndugu zanguni, sijawai soma wala sikia Allah akisema yeye ni kweli, bali Waislam wao wanadai kuwa Uislam ni dini ya haki na sio dini ya kweli.
SASA WAISLAM:
1. LETENI AYA INAYO SEMA KUWA UISLAM NI DINI YA HAKI.
2. LETENI AYA INAYO SEMA KUWA UISLAM NI DINI YA KWELI.
Haki hupatikana hata Mahakamani kwa kuhongwa lakini huwezi honga Kweli. Kama unayo aya yeyote inayosema Uislam ni dini ya kweli, ilete hapa tuione.
Lete aya inayosema "Hakika dini ya kweli mbele za mwenyenzi Mungu ni uislamu uitoe hapa tusilimu". Ila huwezi simamia haki kama ndio kweli hebu ona mfano huu.
Watoto wawili wa Isaka Esau na Yakobo walifikia hatua wakauziana haki ya uzaliwa wa kwanza kwa chakula.
Dini ni lugha ya kiarabu maana yake ni njia au siku ya malipo soma Qur'an suratul fatihah 1:2-6. Utuongoze katika njia iliyo nyoka. Malik yaum din.
Na Qur'an 3:99 .....enyi mlio amini kwanini mnawazuilia watu na njia ya mwenyezi Mungu?
Je kama dini ni njia ya kuelekea kwa Mwenyezi Mungu. Njia hiyo ya kweli ni ipi?
Yohana 24:1-6 Yesu anasema; Mimi ndimi njia kweli na uzima mtu haji kwa Baba ila kwa njia ya Mimi.
Inamaanisha kwamba ukifuata njia ya Yesu kwanza ni ya Kweli. Pia ina uzima ndani yake na zaidi hakuna mwanadamu awaye yote anaeweza fika Mbinguni bila kufuata njia ya Kristo.
Swali hili hapa. Wapi Uislam ni njia ya kweli?
Shalom.
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo.

No comments:

MTUME MUHAMMAD ALIMTAMANI MKE WA MTU

  Mtukufu Mtume (s.a.w.w.) aliweka macho yake na kumtamani mke wa mtu (mwanamke aliyeolewa) (Na’uzubillah). [Tafsir Fatah al-Qadir, Juzuu ya...

TRENDING NOW