SUPPORT MAX SHIMBA MINISTRIES

UDHAIFU WA DINI YA KIISLAM

Image may contain: text
1. Waislam hawana Kitabu cha Taurat.
2. Waislam hawana Kitabu cha Zaburi.
3. Waislam hawana Kitabu cha Injili.
Kama kuna Muuislam anaye bisha, basi nileteeni nakala ya hivyo vitabu vilivyo kuwepo kabla ya Quran.
Mkinipa nakala ambayo Allah anadai aliteremsha kwa Musa au Daudi au Yesu, basi leo hii MIMI MAX SHIMBA NITASILIMU NA KUWA MUISLAM.
Kumbuka mimi sina muda na aya zenu za Quran maana Quran ilikuja baadae. Mimi mniletee nakala ya hivyo vitabu kabla ya kuzaliwa Muhammad.
NATAKA KUSILIMU.
Shalom
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo.

Comments

TRENDING NOW

OMBA MAOMBI HAYA KILA SIKU ASUBUHI, MCHANA NA USIKU

MAOMBI YA KUMTEKETEZA SHETANI "NGUVU ZA GIZA"

MAOMBI YA VITA YA KUTUMIA ALAMA ZA MUNGU

NANI KAMPA UTUME NA UNABII MTUME MUHAMMAD?