Wednesday, December 14, 2016

MTOTO WA MFALME ABDULLAH AL-SABAH AOKOKA KUTOKA UISLAMU KUWA MKRISTO


Image may contain: 2 people, people sitting

Mwana wa mtoto wa Mfalme wa Kuwait ameacha Uislamu na kugeuka kuwa mkristo. Tukimnukulu alivyosema ni kwamba ” Wakitaka kuniuwa , waniuwe ila najuwa nitakuwa karibu na Yesu wakati nitakapokufa. BIblia inaniambia mambo mengi sana na nina uhakika kwamba Mungu atakuwa pamoja nami sana. Wakiniuwa leo kesho nitakuwa tokelezea mbele ya Yesu.

Watu wa Kuwait wana asilimia 96% ya dini ya kislamu na dini ihi inatawala sana mpaka pale unapokuta kwamba sheria inayotumika hapa Kuwait ni Sharia ile ya waislamu. Jiwaze mtoto wa mfalme kutamka maneno haya ujuwe kwamba ameona umuhimu wa kuwa na Yesu maishani Mwake.

Mungu azidi kumsaidia na kumlinda ili wengine wamfuate kwa jina la Yesu.

Shalom.

http://mobile.wnd.com/2012/01/kuwaiti-prince-converts-to-christianity/

No comments:

WAS JESUS A MUSLIM?

 *WAS JESUS A MUSLIM?* NO Muslims believe that Jesus was a Muslim because he fell on his face and prayed at gethsemane Matt 26:39). My quest...

TRENDING NOW