SUPPORT MAX SHIMBA MINISTRIES

ZANZIBAR YAONGOZA KWA TALAKA


HUU NI MSIBA MKUBWA SANA.
Ndugu zanguni,
Hiki kisiwa "ZANZIBAR" ambacho kwa sasa kinaongoza kwa UKIMWI "AIDS/HIV" vile vile kimekumbwa na wimbi kubwa la talaka.
Inashangaza kisiwa hiki chenye asilimia 99.99 Waislam kuongoza kwa TALAKA huku wakiwa na ruhusa ya kuoa wake 4.
Ndio maana huwa nasema, maisha ya kiislam ni usanii. Zanzibar inatoa talaka 2400 kwa mwaka. Hizi ni talaka zinaeleweka na Serikali, ingawa kuna zaidi ya Talaka elfu kumi zakiislam zinafanywa kila mwaka huko Zanzibar.
NATANGULIZA POLE YANGU KWA WAISLAM WOTE. KUMBE UISLAM AMBAO NI UNYEYEKEVU SIO MALI KITU.
Ni mi i Max Shimba Mtumwa wa Yesu Kristo.

Comments

TRENDING NOW

OMBA MAOMBI HAYA KILA SIKU ASUBUHI, MCHANA NA USIKU

MAOMBI YA KUMTEKETEZA SHETANI "NGUVU ZA GIZA"

MAOMBI YA VITA YA KUTUMIA ALAMA ZA MUNGU

NANI KAMPA UTUME NA UNABII MTUME MUHAMMAD?