Friday, November 4, 2016

YESU NI MFALME WA WAFALME


Ufunuo 17:14
Hawa watafanya vita na Mwana Kondoo na Mwana Kondoo atawashinda, kwamaana yeye ni Bwana wa Bwana na Mfalme wa Wafalme.
Katika aya hii tunasoma kuwa Yesu anaitwa “Mfalme wa Wafalme” ambayo ni SIFA ya Mwenyezi Mungu kama ilivyo shaidiwa na Koran Surah ya 59 na aya 23. Hivyo basi , Allah na Koran wamekiri kuwa Yesu ni Mungu kwasababu Biblia imetuthibitishia kuwa Yesu ni Mfalme wa Wafalme katika Ufunuo 17 na aya 14 miaka 600 kabla ya kuzaliwa Muhammad.
YESU NI MUNGU

No comments:

Hebrews 4:4-11 prove that the Sabbath that remains for Christians is heaven, not the weekly Sabbath!

  Hebrews 4:4-11 prove that the Sabbath that remains for Christians is heaven, not the weekly Sabbath! The texts: Hebrews 4:4-11  "For ...

TRENDING NOW