SUPPORT MAX SHIMBA MINISTRIES

YESU HAKUWA MUISLAM (SEHEMU YA NNE)


YESU HAKUFUNGA SWAUMU KILA MWAKA
Yesu hakuwa anafunga Ramadhani/Saumu kila mwaka, jambo ambalo ni sehemu ya Uislam kufunga ramadhani kila Mwaka. Quran 2:183, Enyi mlio amini! Mmeandikiwa Saumu, kama waliyo andikiwa walio kuwa kabla yenu ili mpate kuchamngu.
Hakuna hata sehemu moja katika Biblia ambayo tunasoma kuwa Yesu alitoa amri kwa wafuasi wake kuwa ni lazima wafunge swaumu kila mwaka, lakini tunasoma kuwa Mathayo 6:16-18: Tena mfungapo, msiwe kama wanafiki wenye uso wa kukunjamana; maana hujiumbua nyuso zao, ili waonekane na watu kuwa wanafunga. Amin, nawaambia, wamekwisha kupata thawabu yao. 17 Bali wewe ufungapo, jipake mafuta kichwani, unawe uso;
18 ili usionekane na watu kuwa unafunga, ila na Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi.
YESU NI MUNGU

Comments

TRENDING NOW

OMBA MAOMBI HAYA KILA SIKU ASUBUHI, MCHANA NA USIKU

MAOMBI YA KUMTEKETEZA SHETANI "NGUVU ZA GIZA"

MAOMBI YA VITA YA KUTUMIA ALAMA ZA MUNGU

NANI KAMPA UTUME NA UNABII MTUME MUHAMMAD?