Saturday, November 26, 2016

YESU HAKUWA MUISLAM (SEHEMU YA NANE)


YESU HAKUFUNDISHA WATU WATAWADHE KABLA YA KUOMBA
Yesu hakufanya na au fuata sheria za kuosha na au kutawadha kama ambavyo Waislam wanafanya kila siku. Msome Yesu katika Mathayo 15:2-11. Lakini Allah anafanya mila za kuosha na au kutawadha mwili kabla ya kumwabudu. Quran 5:6. Enyi mlio amini! Mnapo simama kwa ajili ya Sala basi osheni nyuso zenu, na mikono yenu mpaka vifundoni, na mpake vichwa vyenu, na osheni miguu yenu mpaka vifundoni. Na mkiwa na janaba basi ogeni. Na mkiwa wagonjwa au mmo safarini, au mmoja wenu ametoka chooni au mmewagusa wanawake, na hamkupata maji, basi tayamamuni vumbi lilio safi, na mpake nyuso zenu na mikono yenu. Hapendi Mwenyezi Mungu kukutieni katika taabu; bali anataka kukutakaseni na kutimiza neema yake juu yenu ili mpate kushukuru.
Yesu hakuwa anatawadha kabla ya kumwomba Baba yake kama ilivyo katika Uislam. Yesu hakuwa Muislam.
YESU NI MUNGU.

No comments:

MATOLEO 20 TOFAUTI YA QURAN

MATOLEO 20 TOFAUTI YA QURAN ::::::::20 VERSIONS OF QURAN:::::::::: Je, Kati ya haya Matolea 20 (Ishirini) ya Quran, toleo lipi ni la kweli? ...

TRENDING NOW