SUPPORT MAX SHIMBA MINISTRIES

YESU HAKUWA MUISLAM (SEHEMU YA KWANZA)
YESU HAKUWAI SEMA SHAHADA
Kufuatana na sheria za Kiislam, ili mtu awe Muislam lazima aseme na au afanye shahada. Yesu hakusema SHAHADA (la ilaha illallah muhammadur rasulullah) na hakuna ushaidi wa Kibiblia au Koran unao sema kuwa Yesu alisema SHAHADA. Hivyo basi, Yesu hakuwa Muislam.

Comments

TRENDING NOW

OMBA MAOMBI HAYA KILA SIKU ASUBUHI, MCHANA NA USIKU

MAOMBI YA KUMTEKETEZA SHETANI "NGUVU ZA GIZA"

MAOMBI YA VITA YA KUTUMIA ALAMA ZA MUNGU

NANI KAMPA UTUME NA UNABII MTUME MUHAMMAD?