Tuesday, November 29, 2016

SHETANI NI MUISLAM


Ndugu zanguni,
Leo nawaletea ushahidi mwingine kuwa Shetani alisilimu na kuwa Muislam. Hebu ungana nami moja kwa moja.
Shet'ani kwa mara ya kwanza ameapa kiapo cha utii kutoka Abu Bakr katika msikiti na Shet'ani alisilimu na kumfuata Allah. (Israr-e-Muhammad, Page No 30)
Ni bahati mbaya kwamba Adamu Hawa hawakufanikiwa kufanya jitihada za kumwezesha shetani na wanae kuuomba msamaha kwa mwenyezi Mungu na kuwa Waislamu, ni mtume Muhammad tu ndiye aliyemsilimisha shetani akawa muislamu… (KITABU CHA ASILI YA MAJINI UK 20)
Sasa Ikiwa shetani ni muislamu, na sisi tunajua kuwa shetani yeye ndiye adui yetu namba moja ambaye sisi hatupaswi kushirikiana nae,
Yakobo 4:7 Basi mtiini Mungu. Mpingeni shetani, nae atawakimbia.
Sasa iweje tena tumfuate shetani katika uislamu? Kwa kuwa shetani ambaye aliwadanganya Adamu na Hawa.
KUMBE SHETANI NI MUISLAMU. HUU NI MSIBA KWA WAISLAM
Shalom
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo

No comments:

KWANINI KRISMAS NI DISEMBA 25?

  TEREHE 25 DISEMBA IMETAJWA KWENYE BIBLIA KWANINI KRISMAS NI DISEMBA 25? Tuanze na kumsikiliza Yesu akiitumia aya inayo husisha tarehe 25 n...

TRENDING NOW