Wednesday, November 16, 2016

MUHAMMAD ALIKUWA NA WAKE ISHIRINI NA NNE (24)

Huu ni MSIBA mkubwa sana.
Ifuatayo ni orodha ya wake wa Muhammad iliyoandaliwa na mwanazuoni wa kiislam Ali Dashti. Huenda alitegemea sana orodha ya awali iliyo kwenye historia ya al-Tabari juzuu ya 9 uk.126-241. Ni vema ikafahamika kuwa wanazuoni na Hadithi hawakubaliani kikamilifu juu ya wake wa Muhammad. Kwa mfano, baadhi ya hadithi (mbali ya Bukhari or Sahih Muslim) zinaelezea wake kadhaa wa Muhammad aliowataliki, na hawa hawakuonyeshwa hapa. Hata hivyo, Orodha ya Ali Dashti, ingawa inaweza isikubaliwe kikamilifu kuwa pana kiasi cha kutisha, inaonyesha wengi wa wake wake. Ufuatao ni ushahidi wa mahusiano hayo toka kwenye hadithi usiomtegemea Ali Dashti.
1. Khadija/Khadijah binti Khuwailid/Khywaylid – alikufa kwanza
2. Sawda/Sauda binti Zam’a
3. 'Aisha/Aesha/’A’ishah – umri wa miaka 8 hadi 9, mke wa pili
4. Omm/’Umm Salama/Salamah
5. Hafsa/Hafsah
6. Zaynab/Zainab wa Jahsh
7. Jowayriya/Juwairiyya binti Harith
8. Omm Habiba
9. Safiya/Safiyya binti Huyai/Huyayy binti Akhtab
10. Maymuna/Maimuna wa Hareth
11. Fatima/Fatema/Fatimah
12. Hend/Hind
13. Asma wa Saba
14. Zaynab wa Khozayma
15. Habla?
16. Asma owaNoman / binti al-Nu’man
¾ watumwa/vimada ¾
17. Mariam Mkristo/Mkhufti
18. Rayhana/Raihana/Rayhanah binti Zayd/Zaid
¾ mahusiano ambayo hayana uhakika ¾
19. Omm Sharik
20. Maymuna/Maimuna (mjakazi?)
21. Zaynab/Zainab wa tatu?
22. Khawla / Khawlah
¾ Ali Dashti huenda akawa ameacha si chini ya wake tisa.
Muhammad alioa wanawake 15 na alikamilisha ndoa kwa tendo la ndoa na wanawake 13 (al-Tabari juzuu ya 9 uk.126-127).
Bukhari juzuu ya 1 kitabu cha 5 sura ya 25 na.282 uk.172-173 ilisema kuwa [wakati fulani] Muhammad alikuwa na wake tisa.
Hii ndio sifa kubwa ya Muhammad. Alio wake kede kede, zaidi ya hapo, alikuwa na vijakazi wa kingono kile kona.
Eti huyu alikuwa mtume wa Mwenyezi Mungu, THUBUTU.
Ni mimi Max Shimba Mtumwa wa Yesu Kristo,

No comments:

Does Allah Need Help?

  In the Qur’an, the same Allah asks for help… 47:7 O you who believe ! if you help (the cause of) Allah, He will help you and make firm you...

TRENDING NOW