Saturday, October 1, 2016

MWANA MKE WA KIIRAN AUWAWA NA MUMUWE BAADA YA KUBADILI DINI NA KUWA MKRISTO
Nasrin Abek Mwanamke mwenye umri wa miaka 35 alichomwa chomwa visu na Mume mpaka kifo kwasababu ya kubadili dini kutoka Uislam na kuwa imani ya Kikristo.
Amir Darbanou ameshitakiwa kwa kosa la kumuua mke wake ndani ya apartment yao huko Potts Sydney Australia.
Mwanaume huyo wa Kiiran mwenye umri wa miaka 42, alimuua mkewe kwa kumchoma visu mara kadhaa kwasababu ya kubadili dini na kuwa Mkristo, Gazeti la "Sydney Morning Herald" lilisema.
- Snip -
******* NDIO MAANA MIMI HUWA NASEMA UISLAM NI DINI YA KULAZIMISHANA ********
Kwa habari kamili na ya kusikitisha ingia hapa
Read more: http://www.dailymail.co.uk/…/Hairdresser-35-stabbed-death-I…

No comments:

Does Allah Need Help?

  In the Qur’an, the same Allah asks for help… 47:7 O you who believe ! if you help (the cause of) Allah, He will help you and make firm you...

TRENDING NOW