Thursday, September 22, 2016

UFARANSA WAMEANZISHA KODI YA HALALUfaransa imesema kuwa, kuanzishwa kwa kodi ya "HALAL" kutasaidia kudhoofisha mbinu chafu ya Waislam ambayo wanaitumia kusaidia ujenzi wa Misikiti nchini humo, ambayo ndio chanzo cha ugaidi na siasa mbaya za kidini nchini humo.
Kutokana na huu uchunguzi nchini Ufaransa, Mwandishi Hakim El Karoui anasema kuwa karibia asilimia 28 ya Waislam nchini Ufaransa wanapenda siasa kali na huishi kinyume na sheria za nchi.
Hii kodi itasaidia kudhoofisha nchi za Mashariki ya Kati pamoja na Afrika ya Magaharibi kuendelea kusaidia Waislam ambao wanaishi kinyume na tamaduni za Ufaransa na wana husika na ugaidi nchini humo.
Kwa habari kamili ingia kwenye link:

No comments:

ASILI YA UISLAM

IJUE DINI YA UISLAMU NA ASILI YAKE Na Mwalimu Eleutary H. Kobelo. Utangulizi Kwa miaka mingi waislamu duniani, wanatuhimiza sana sisi Wakris...

TRENDING NOW