Saturday, September 17, 2016

DADA WA KIISLAM "MWARABU" AOKOKA, AFUKUZWA KWAO NA KUTISHIWA KIFO, ASEMA KUWA YESU NI MUNGU NA HATO MUACHA KAMWE


Baada ya kuokoka, dada kwenye picha (Jina tunalo) amediriki kusema kuwa Ukristo ni Imani yenye upendo wa kipekee na hakuwai ona upendo wowote ule kwenye dini ya Kiislam zaidi ya chuki.
Hivi sasa familia yake imemtenga na kumtishia kifo kama hato silimu na kurudia Uislam.
HAKIKA YESU NI MUNGU NA ANAWAPENDA WOTE
“Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; hapo ndipo ule mwisho utakapokuja” (Mathayo 24:14).

No comments:

ASILI YA UISLAM

IJUE DINI YA UISLAMU NA ASILI YAKE Na Mwalimu Eleutary H. Kobelo. Utangulizi Kwa miaka mingi waislamu duniani, wanatuhimiza sana sisi Wakris...

TRENDING NOW