Posts

Showing posts from September, 2016

SUPPORT MAX SHIMBA MINISTRIES

ALLAH KATEREMSHA AYA NA KUSEMA ANAKAA MAKKA NA SIO MBINGUNI

Allah anakubali na kukiri kupitia Quran kuwa Mungu wa kweli yupo Juu Mbinguni, ila kwa kutaka kuwakengeusha Waislamu, amewataka waelekeze nyuso zao huko aliko yeye yaani Makka.
Nini maana ya kuapa? Kuapa, au Kula kiapo, au Kula Yamini, kunamaanisha kumthibitishia, kwa kutumia Jina la Mwenyezi Mungu, kwamba jambo fulani linaloapiwa – na ambalo halina ushahidi wazi wazi- ni kweli na sahihi kama linavyodaiwa na mwenye kula kiapo hicho na hivyo basi ni budi kusadikiwa madai hayo kwani Mdhamini Mkuu ni Mwenyezi Mungu, Mjuzi Pekee wa ukweli au uwongo wa mambo yaliyofichika nyoyoni!

Aya hapa chini inathibitisha kuwa Allah anaishi Makka na sio Mbinguni: Quran Surat Al Balad iliyo fanyiwa tarjuma na Sheikh Ali Muhsin Al-Barwani aya ya 1-2 inasema: 1 Naapa kwa Mji Huu! 2 Nawe unaukaa Mji huu. http://www.quranitukufu.net/090.html

MASWALI: 1. Kwanini Muhamamd anaapa kwa Mji wa Makka? 2. Ninani huyo anayekaa Mji wa Makka ambaye Muhammad anaapa kwake?
Muhammad anaapa kwa Allah anayekaa mji wa Makka.

WAISLAM WATATU WAMEHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA KWA KUCHOMA MAKANISA, BUKOBA, TANZANIA

Image
Hakimu Mkazi wa Bukoba, Kagera, Tanzania, Mh Victor Biambo, amewahukumu watu watatu kwenda jela Maisha kwa makosa ya kuchoma Makanisa. Wakili wa Serikali, Emmanuel Manyere, amesema kuwa, zaidi ya kupata hiyo hukumu, Watuhumiwa hao wana makosa mengine ya ya kuua watu 20 kwa kutumia Visu ambavyo vilitumika kukata shingo zao. Bwana Manyere amesema, watuhumiwa hao watatu ni Ally Dauda, Rashidi Mzee na Ngesela Keya, ambao wote walikiri kuwa ni Waislam, wanatuhuma ya kuchoma Makanisa zaidi ya 16 ya madhebu mbali mbali ya Kikristo mkoani Kagera. Hakimu Bigambo alisema, ushahidi ulio tolewa na Wakili wa Serikali ulimlazimu kutoka hukumu kali, kwa jinsi ambavyo watu hao wana roho ambayo si ya kibinadamu. Wakati huohuo, Mkuu wa Polisi Mkoa wa Kagera, Augustine Oliomi, ameisifia Mahakama hiyo kwa kufanya kazi nzuri ya kutoa hukumu kali kwa watuhumia ambao hawafai kushi na binadamu wa kawaida na iwe fundisho kwa watu wengine. Zaidi ya hapo, kesi ya mauaji inayo wakabili watuhumiwa hao hao ambayo…

AMIDST TERRORISM THREAT: THE CHURCH BURNT IN KAGERA TANZANIA

Image
The building  of T.M.R.C is down after set on fire

The building  of the Tanzania Missionary Revival Church (T.M.R.C) at Kyabitembe Parish, Bukoba Urban District, Kagera region in Tanzania, at dawn of 12/3/2015 was set on fire by petrol by un identified people.
Host Pastor Emmanuel John Mwesiga said when the incident occurred no one was in the church. He estimated the total damage to Tsh. 40M /- (U$ 23,000). The same was reported at the Regional Central Police at Bukoba and filed no BUK/RB/2600/2015 of 13/3/2015.