Saturday, July 2, 2016

WAISLAM WA NCHINI SUDAN WAKIWA WAMELALA MSIKITINI BAADA YA KUZIDIWA NA NJAA WAKATI WA MFUNGO WA RAMADHAM.


Allah ambaye sio Yehova kupitia Quran anasema hivi:
“Hapana kulazimisha katika Dini.” (02:256)
WAKATI HUO HUO ANASEMA TENA HIVI:
WAISLAM WAMELAZIMISHWA KUFUNGA SWAUMU
Quran 2:183 Enyi mlioamini mmelazimishwa kufunga saumu kama walivyolazimishwa waliokuwa kabla yenu ili mpate kumcha mungu.
SASA TUFUATE LIPI?

No comments:

Does Allah Need Help?

  In the Qur’an, the same Allah asks for help… 47:7 O you who believe ! if you help (the cause of) Allah, He will help you and make firm you...

TRENDING NOW