Friday, July 8, 2016

FAMILIA NZIMA YA SHEIKH NISSAR HUSSAIN YAMPOKEA YESU NA KUWA WAKRISTO


Bwana Nissar Hussan, mke wake Kubra na watoto wao SITA wameuacha Uislam na kuwa Wakristo.
Tukio hili limewachukiza sana Waislam na kuanza kuwafanyia vituko na vitimbi. Waislam wenye hasira kali wamevunja vunja gari lao na kuiba mali mbali mbali.
Bwana Nissar Hussan amesema kuwa Muhammad ni Mtume Bandia na mbaya sana na Waislam wote watakwenda Jehannam kama wakiendelea kuufuata Uislam. Zaidi ya hapo Bwana Nissar amekiri kuwa Yesu ni Mungu na amejaa upendo ambao hakuwai uona kwenye dini ya Uislam.

No comments:

Does Allah Need Help?

  In the Qur’an, the same Allah asks for help… 47:7 O you who believe ! if you help (the cause of) Allah, He will help you and make firm you...

TRENDING NOW