Posts

Showing posts from June, 2016

SUPPORT MAX SHIMBA MINISTRIES

VIOJA VYA UISLAM KUHUSU KIFO NA KUFUFUKA WAKATI WA KIYAMA

1. Eti Binadamu asili yake ni MBEGU YA "Ajabu Dhanab"
2. Eti Siku ya Kiyama Allah atanyeshea Mvua Ajab Dhanad na wewe ndio utafufuka tena.
3. Huu ni msiba mkubwa sana kwa Waislam. Ndugu Msomaji, ebu jiunge nami leo na jifunze kuhusu Sayansi dhaif ya Allah na Muhammad. MTU ANAPOKUFA, ZILE ASILI TATU KILA MOJA INARUDI MAHALA PAKE PA ASILI Kwa kifo, udongo ambao kwao ndio mwili ulijengeka, unarudi mahala pake pa asili napo ni ardhini.
Mwenyezi Mungu anasema:
"Kwa hakika tunajua kiasi cha kila kinachopunguzwa na ardhi katika miili yao (wakati wanapooza huko makaburini) Na kwetu kiko kitabu kinachohifadhi (kila kitu)".
Qaf -4 AJABU DHANAB- ETI BINADAMU NDIO KATOKEA HAPO
Kinachobaki katika mwili wa mwanadamu ni kitu kidogo kinachoitwa "Ajabu dhanab" (kilichoingia pamoja na mbegu). Hii ni sehemu ambayo ndani yake mtu aliumbiwa, na kitu hiki asili yake kilikuwa katika uti wa mgongo wa Baba yetu Adamu(AS), kwa vile kitu hiki ni kidogo sana (Hakiwezi kuonekana ila kwa k…

BIBI KHADIJA AMPA UTUME MUHAMMAD ILI KUMFARIJI BAADA YA KUPIGWA NA MALAIKA JIBRIL

Image
Ndugu zanguni, YALIYOMKUTA MTUME BAADA YA KUTOKA PANGONI!
Basi Mtume akafanya khofu, akarejea kwa mkewe, akamhadithia, na pale pale homa kubwa kabisa, ikampanda, akataka afunikwe maguo, akawa anatetemeka kwa ngerema, na kuweweseka, na kusema, "Najikhofia nafsi yangu, kuchezewa na mashetani, na kuniharibu akili yangu na kunizuga"(Kitabu cha maisha ya Nabii Muhamaad s.a,uk.17 kilichoandikwa na Sheiky A.Farsy). MASWALI: (i). Kama Jibril ndie alitumwa na Allah, na huyo Allah ni Mungu, kwanini Muhammad alisema kuwa nafsi yake imechezewa na MASHETANI baada ya kukutana na Jibril? (ii). Kama Jibril alitoka kwa Allah, kwanini Muhammad alipo toka pangoni alisema kuwa Jibril AMEMZUGA AKILI YAKE? Vipi kwa Hadidja?
Mjane aliyefiwa na waume wake 2 kisha akajichukulia Muhammad kama mume wake wa tatu, Huyu ndiye aliyeingia wa kwanza katika imani potofu ya uislamu. Lakini natujiulize hili swali: Je, inakuwaje mtu ambaye bado ni mkafiri kutowa utume kwa mwingine kabla yeye hajajuwa ujumbe wa m…

ALLAH ATEREMSHA AYA NA KUSEMA UISLAMU NI DINI YA WAARABU NA SIO WAAFRIKA

Image
Katika hii mada ninawaletea ushaidi kuwa Uislam ni dini ya Waarabu peke yao. Waislamu bila kuchoka wamekuwa wakidai kuwa Uislamu utatawala dunia nzima. Katika kufanya hivyo, wao watakuwa wamekwenda kinyume na maneno ya Allaha kama yarivyo teremshwa kwenye Qur'an. Kwa hiyo, ni haki kwa kusema wao ni Makafiri. Quran 10: 47. Na kila umma una Mtume. Alipo wajia Mtume wao walihukumiwa baina yao kwa uadilifu, wala hawakudhulumiwa. Angalia hii aya pia Quran 14: 4. Na hatukumtuma Mtume ila kwa ulimi wa kaumu yake ili apate kuwabainishia. Basi Allah humuacha akapotea amtakaye, na akamwongoa amtakaye. Naye ni Mtukufu Mwenye nguvu na Mwenye hikima. Kama aya hizi ni kweli, basi Uislamu si kwa mashirika/mataifa/ummah yasiyo ya Waarabu. Quran inasema kwamba kila watu wamepokea ujumbe wao kutoka kwa Mungu katika lugha yao wenyewe ili waweze kuelewa na Qur'ani akaishuka kwa Waarabu ili Waarabu waweze kulewa nini Allah anasema. Dhana hii ya Allah kushusha Kitabu kwa kila lugha ni muhimu sana …

UTHIBITISHO: ADAM NA HAWA WALITUMIA LUGHA YA KIEBRANIA NA SIO KIARABU

Image
Ndugu msomaji, Katika somo letu hili, tutajifunza na kujibu swali kuhusu; ni lugha ipi Adam na Hawa walitumia wakati wakiwa katika Bustani ya Edeni? Tunaweza kuthibitisha kuwa Adam na Hawa walitumia Kiebrania kwasababu ya majina mawili ambayo Adam alimpa Hawa ambayo yanaweza kuwa yakinifu pekee katika lugha ya Kiebrania. Adam alimuita Hawa jina la “ISHA” ikiwa na maana ya MWANAMKE kwasabau ya kuwa alitoka kwa “ISH” ikiwa na maana ya MWANAUME , zaidi ya hapo, Adam alimuita mkewe “CHAVA” [HAWA] ikiwa na maana ya mama wa watu wote “CHAI” [UHAI].
Zaidi ya hapo, jina la ADAM linatokana na neno la Kiebrania “ADAMAH” likimaanisha “udongo”, hili jina linathibitisha kuwa Mungu alimuumba Adam kutoka kwenye udongo, kama ambavyo Biblia inasema katika Kitabu cha Mwanzo Mlango 2 na aya ya 7. Hivyo basi, tokea wakati wa Adam na Hawa mpaka wakati wa Mnara wa Babeli, watu wote walitumia lugha ya Kiebrania. Bereshet 2:23, 3:20, Midrash Bereshet Rabbah 38
Wasomi wa Kiyahudi na wa Kikristo wanaendelea kut…

YESU ANAKIRI KWA MDOMO WAKE KUWA YEYE NI MUNGU

Ndugu zanguni, leo YESU anawajibu Waislam kwa mara nyingine tena kuwa yeye ni Mungu, "YESU NI MUNGU". Hii aya hapa chini katika kitabu cha Ufunuo ni ya Yesu mwenyewee akiongea na Yohana. Yesu anakiri kuwa yeye ni Mungu. Hebu tuisome kwanza: Ufunuo 21: 6 Yesu Akaniambia, “Imekwisha kuwa. Mimi ni Alfa na Omega, Mwanzo na Mwisho. Yeye aonaye kiu nitampa kunywa kutoka katika chemchemi ya maji ya uzima bila gharama yo yote. 7 Yeye atakayeshinda atayarithi haya yote, NAMI NITAKUWA MUNGU WAKE, naye atakuwa mwanangu. Mara nyingi kumekuwa na mtanashi kutoka Waislam kuwa eti Yesu hakuwai sema yeye ni Mungu. Mara zote wamekuwa wakidai kuwa, tuwaletee aya ambayo Yesu anasema yeye ni Mungu. Ingawa, Biblia imewajibu kuwa Yesu ni Mungu kutoka sehemu mbalimbali, lakini wamekuwa wabishi na kung'ang'ania waletewe aya, ili wabatizwe na kuwa Wakristo. Kwasababu Biblia imekamilika na haina shaka ndani yake. Leo Biblia inawajibu tena kuwa Yesu ni Mungu. Aya ya 7 inasema kuwa, NUKUU: [Yey…

MAOMBI YA KUSAMBARATISHA UCHAWI NA NGUVU ZA GIZA

Baba katika Jina la Yesu. Laana zote nilizo tupiwa na wabaya wangu zimeshindwa kwa jina la Yesu na nazivunja na kuzisambaratisha kwa Damu ya Yesu. Mshindwe wote mnao tuma laana kwangu katika Jina la La Yesu. Nawavunja na kuwaharibu na kuwakatakata Wachawi wote kwa damu ya Yesu. Nasambaratisha kila neno la uovu lililosemwa juu yangu na famila yangu katika jina la Yesu. Naharibu na kuisambaratisha madhabahu yenu mliyo fanyia kafara kwa damu ya Yesu. Navunjavunja na kubomoa kila uovu na uchawi mnaonifanyia katika jina la Yesu. Nairudisha misukule yote na majini yote yawarudie nyie na kuwalipa dhambi zote mnazo fanya katika jina la Yesu. Naharibu kila uchawi, kila urogi, kila ndumba kila aina ya uovu ambao mnaufanya ili uniumize mimi na familia yangu katika jina la Yesu. Nawateketeza kupitia damu ya Yesu Wachawi wote walio tumiwa kunitumia uchawi katika jina la Yesu. Nawateketeza na kuwaharibu majini yote yaliyo tumwa kuja kufanya kazi hiyo waliyo tumwa na Wachawi katika jina la Yesu. Na…

SHEHE OMARI ASEMA QURUANI IMEJAA UCHAWI NA USHIRIKINA

SIRI YA WATOTO WA DAWA YAWEKWA HADHARANI NA SHEIKH OMARI
**********************************************************************************************
Sheikh Omari akifundisha hapo jana kanisa la Ufufuo na Uzima Kawe jijini Dar es salaam. Shehe Omari akielezea jinsi alivyokuwa akitengeza watoto dawa na Dalili zake. Kwasababu ya mila nyingi za kiafrika, watu wengi sana wamejikuta wakikimbilia kwa waganga pale wanapogundua kukosa mtoto. Wakati ninasomea falaki nilijifunza namna 11 jinsi ya kumpatia mwanamke mtoto hata kama hana uwezo wa kuzaa. Wakati nikiwa mkuu wa chuo cha kichawi pale temeke, tulikuwa tukifundisha watu kwa habari ya mimba za kijini. Kwa wakati mteja alipokuwa ananijia kwaajili ya kuaguliwa, jinni ambalo lilikuwa ndani yangu lilikuwa linapanda ndani yangu na kwenda na kumwendea mteja alafu husoma taarifa ya mteja. Baada ya muda hutoka kwa mteja na kurudi kuja kuniambia mimi tatizo la mgonjwa huyo. Baada ya hapo nilikuwa namtajia mteja tatizo lake na kumfanya aniamini k…

KWANINI ALLAH AMBAE SIO YEHOVA ALIOGOPA KUYAAMRISHA MAJINI YAISIKILIZE TAURAT, ZABUR NA INJILI?

ALLAH ANASEMA KUWA MAJINI MACHAFU YALITUMWA KWA MUHAMMAD ILI KUSIKILIZA QURAN ALLAH HUYO HUYO ALISEMA KUWA KILA WATU WALIPEWA KITABU CHAO. HAPO TEYARI KUNA SHAKA KWENYE QURAN YA MUHAMMAD AMBAYO SASA INAKABIDHIWA MAJINI MACHAFU. Allah kasema katika Suratil Ahqaaf aya ya 29 mpaka 32, “
]وَإِذْ صَرَفْنَا إِلَيْكَ نَفَرًا مِنْ الْجِنِّ يَسْتَمِعُونَ الْقُرْآنَ فَلَمَّا حَضَرُوهُ قَالُوا أَنْصِتُوا فَلَمَّا قُضِيَ وَلَّوْا إِلَى قَوْمِهِمْ مُنْذِرِينَ * قَالُوا يَا قَوْمَنَا إِنَّا سَمِعْنَا كِتَابًا أُنْزِلَ مِنْ بَعْدِ مُوسَى مُصَدِّقًا لِمَا بَيْنَ يَدَيْهِ يَهْدِي إِلَى الْحَقِّ وَإِلَى طَرِيقٍ مُسْتَقِيمٍ * يَا قَوْمَنَا أَجِيبُوا دَاعِي اللَّهِ وَآمِنُوا بِهِ يَغْفِرْ لَكُمْ مِنْ ذُنُوبِكُمْ وَيُجِرْكُمْ مِنْ عَذَابٍ أَلِيمٍ * وَمَنْ لا يُجِبْ دَاعِي اللَّهِ فَلَيْسَ بِمُعْجِزٍ فِي الأرْضِ وَلَيْسَ لَهُ مِنْ دُونِهِ أَولِيَاءُ أُوْلَئِكَ فِي ضَلالٍ مُبِينٍ[
Maana yake, “Na (wakumbushe) wakati tulipowaleta kundi la Majini kuja kwako kusikiliza Qurani. Basi walipoihudhuria walisema (kua…

ROHO, NAFSI NA MWILI

Ndugu msomaji, Je, mwanadamu ni nani?
Kwa kifupi ninaweza kusema kuwa Mwanadamu ni Roho, ina Nafsi na inakaa ndani ya Mwili. Ukisoma 1 Wathesalonike 5:23 Inatusaidia Kuona maeneo yote matatu ya mwanadam/mtu; "Mungu wa amani mwenyewe awatakase kabisa; nanyi NAFSI ZENU na ROHO ZENU na MIILI YENU Mhifadhiwe mwe kamili, bila lawama, wakati wa kuja kwake Bwana wetu Yesu Kristo" Hapa unaona Nafsi, Roho na Mwili vimetajwa kwenye hiyo aya. ROHO NI NINI?
Roho ambayo inahusisha mambo ya Mungu.
Ni ile sehemu ya mtu yenye ufahamu wa Mungu, ambayo hufanywa hai na hutiwa nguvu na Roho wa Mungu wakati wa Wokovu. Kabla ya mtu Kuokoka, sehemu hii, haifanyi kazi kwa utimilifu kabisa kwa sababu ya dhambi. Dhambi huifanya kuondolewa nguvu ya kutenda kazi sawa sawa, kwa Amani na Roho ya Mungu. Lakini kupitia Ubatizo wa Roho Mtakatifu, mwanadamu hupokea nguvu ya kiroho, inayomwezesha kuishi maisha ya Kristo. Roho inahusika na:-
i) Maombi na Ibada na Mungu,
ii) Ushirika na Mungu,
iii) Mapokezi ya karam…

Urithi wa Uislamu kutoka kwenye dini za kipagani za Uarabuni - sehemu ya 1

Image
Allah alitokea wapi?
Uislamu unajinadi kwamba Allah ndiye Mungu yuleyule aliyejishughulisha ya Wayahudi tokea nyakati za Ibrahimu katika Agano la Kale. Je, jambo hilo ni kweli?
Uislamu ulianza na Muhammad kwenye miaka 600 baada Kristo. Je, kabla yake imani za Waarabu zilikuwaje? Je, yako mambo yoyote kutoka kwenye imani hizo ambayo yaliingia kwenye Uislamu? Kwa maneno mengine, je, Uislamu hauna upagani ndani yake?
Fuatana nami kwenye makala haya marefu yanayochambua chimbuko la Uislamu ili tuweze kuona iwapo upo uhusiano wowote kati ya Uislamu na upagani uliokuwa ukitawala miongoni mwa jamii za Waarabu kabla ya kutokea kwa Muhammad?

Asili Ya Allah
Jamii za wanadamu KOTE duniani zimekuwa na kawaida ya kujiuliza ni wapi ulimwengu huu umetokea, nini maana ya maisha na wapi watu huenda baada ya kufa. Matokeo yake, kila jamii ilifikia kuamini kuwa kuna aliye na nguvu (au walio na nguvu) kuliko wanadamu wote ambao ndio wanapaswa kuabudiwa na kuombwa msaada pale matatizo yanapotokea.
Hawa wenye ng…

YESU NDIYE ATAKAYE HUKUMU WATU WOTE, WAFU NA WALIO HAI

Ndugu msomaji, Kama ulikuwa haujui nani atahukumu walimwengu wote pamoja na imani na dini zote, basi fahamu kuwa Hakimu Mkuu ni Yesu Kristo. Tuanze kwa kuthibitisha haya kwa kutumia aya za Biblia: ZABURI 58:11 inasema kuwa: ‘Hakika yuko Mungu anayetawala katika dunia“. (UFUNUO 18;8 ) “Kwasababu hiyo, mapigo yake yatakuja katika siku moja, mauti na huzuni na njaanaye atateketeza kabisa kwa moto. Kwa maana Bwana Mungu aliyemhukumu ni mwenye nguvu“. Tena ndiye atakaye ihukumu Dunia yote “Tena Baba hamhukumu mtu ye yote, bali amempa Mwana (YESU) hukumu yote“. Neno la Mungu linatufundisha kuwa, atakaye toa hukumu ni Mwana ikimaanisha ni Yesu. Hivyo basi ni vyema umfuate Mwana ambaye atatoa hukumu na kuachana na miungu kama Allah wa Waislam. Kumbe Muhammad na Waislam wote watahukumiwa na Yesu. MATHAYO 25:31-32 inasema: “Hapo atakapokuja Mwana wa Adamu (YESU) katika utukufu wake, na malaika watakatifu wote pamoja naye, ndipo atakapoketi katika kiti cha utukufu wake. Na mataifa yote yatakusa…

UTHIBITISHO WA KIMAANDIKO KUHUSU MWILI WA ALLAH

Ndugu zanguni, Natanguliza kwa kusema huu ni Msiba Mkubwa sana kwa ndugu zetu kwa kupitia Adam wanao pinga kuwa Allah hana mfano. Leo nitawawekea mifano kadhaa kama ushahid kuwa Allah ni kiumbe. Haya, ungana nami moja kwa moja na tujifunze kuhusu huyu Allah kiumbe. ALLAH ANA-VAA NGUO KAMA VIUMBE الكبرياء ردائي والعظمة إزاري Allah ansema katika Hadithi hii Qudsi "Ukuu ndi vazi langu la juu na utukufu ndio vazi langu la chini". Sasa kama Allah anavaa nguo inamana kuwa Allah ana mwili kama viumbe? Msiba huu ni mkubwa sana ndugu wasomaji. Katika Hadithi nyengine Qudsi, Allah anasema: "….Na mja wangu hajikurubishi kwangu kwa kitu nikipendacho zaidi kuliko yale niliomfaradhishia juu yake. Na mja huwa anaendelea kujikurubisha kwangu kwa nawafil (ibada zisizo za lazima) mpaka nampenda: "فإذا أحببته كنت سمعه الذي يسمع به، وبصره الذي يبصر به ويده التي يبطش بها ورجله) (التي يمشي بها" Basi nikimpenda nakuwa (Mimi ndio) sikio lake analosikia kwalo, na jicho lake analoonea…

YESU KRISTO ATAMHUKUMU MUHAMMAD NA WAISLAM WOTE SIKU YA KIYAMA

Image
HAKIKA YESU NI MUNGU Ndugu msomaji: Jambo hili si mzaha wala uzushi bali ni kweli; Yesu Kristo anakuja kuhukumu ulimwengu wote pamoja na Muhammad na Waislam wote. Yesu Kristo ametutamkia kwa kiywa Chake kwa kusema kwamba; “Tena Baba hamhukumu mtu ye yote, bali amempa Mwana hukumu yote; ili watu wote wamheshimu Mwana kama vile wanavyomheshimu Baba.” (Yohana 5:22,23) Hukumu ya mwisho ambayo itakuja baada ya ufufuko. Mungu Baba, kupitia Yesu Kristo, atamhukumu kila mtu ili kuamua utukufu wa milele atakaoupokea. Hukumu hii itategemea utiifu wa kila mtu kwa amri za Mungu, ikiwa ni pamoja na kukubali kwake kwa dhabihu ya upatanisho Yesu Kristo ya kutulipia dhambi. Baba amekabidhi hukumu yote kwa Mwana "Yesu Kristo": Yohana. 5:22. Hapa tunajifunza kuwa atakaye toa hukumu ya nani kupokea taji la uzima wa Milele na nani kutumbukizwa Jehannam ni Yesu na sio Allah wa Waislam. Sisi sote tutasimama mbele ya kiti cha hukumu cha Kristo: Warumi. 14:10. Sisi sote inamaanisha PAMOJA NA MUHAM…

SHETANI LA ULAFI KATIKA UISLAMU

Image
Ndugu msomaji, Leo ningependa tujifunze kidogo kuhusu roho ya ulafi ambayo inawasumbuwa ndugu ztu katika Adam. Hebu tusome Biblia kama ushahidi. Wafilipi 3: 19 mwisho wao ni uharibifu, mungu wao ni tumbo, utukufu wao u katika fedheha yao, waniao mambo ya duniani. Walafi wao wamesha amua kuabudu chakula na mungu wao ni matumbo yao. Mtu mlafi akiona chakula, basi yeye hula kwa haraka haraka na kujaza tumbo lake mpaka anavimbiwa. Ulafi ni dhambi kama ilivyo sema kwevye Wafilipi hapo juu. Ulafi ni kuabudu tumbo. Mithali 23: 20 Usiwe miongoni mwao wanywao mvinyo; Miongoni mwao walao nyama kwa pupa.
21 Kwa maana mlevi na mlafi huingia umaskini, Na utepetevu humvika mtu nguo mbovu. Watu wanao kula nyama kwa Pupa mpaka wanavimbiwa na kushindwa kutembea, hao wana roho chafu ya ulafi, na ni dhambi kuabudu chakula au kuwa mtumwa wa chakula au mtumwa wa tumbo lako. Kuna dini fulani wao wanapo dai kuwa wanafunga siku thelasini, huwa wanabadilisha masaa ya kula na kula usiku kucha mpaka wanavimbiwa…

WAISLAM WAMELAZIMISHWA KUFUNGA SWAUMU

Image
Quran 2:183 Enyi mlioamini mmelazimishwa kufunga saumu kama walivyolazimishwa waliokuwa kabla yenu ili mpate kumcha mungu. Aya hapo juu inatuambia kuwa, kumbe kufunga kwa ndugu zetu hawa ni kwa kulazimishwa na sio hiyari yao. 1. Wapi tunasoma katika Taurat kuwa Adam alifunga Ramadhani?
2. Wapi tunasoma katika Taurat kuwa Musa alifunga Ramadani?
3. Wapi tunasoma katika Taurat kuwa Ibrahim alifunga Ramadhani? Ndugu zanguni, hii dini ni ya kujitungia na si kama wanavyo dai kuwa eti iliteremshwa na Allah. Kama kweli Allah ndie aliye iteremsha hii dini kwa Adam, sasa kwanini Adam hakufunga Ramadhani/Swaumu? Zaidi ya hapo, kwanini katika mfungo hawa ndugu zetu wanakula Usiku kucha/daku? Wapi katika Taurat panasema kuwa watu wale Daku? Waislam huwa wanatumia aya ambayo inasema kuwa Yesu alifunga, lakini hawasemi kuwa Yesu alifunga kwa siku ngapi na wala hakuna aya ambazo zinasema kuwa Yesu alikula Daku saa nane/kumi za usiku. Zaidi ya hapo, hatusomi kuwa Yesu alianza kufunga pale alipo uona M…

MUHAMMAD ALIKUWA ANAPIGA WAKE ZAKE

Image
Ndugu msomaji, Muhammad alikuwa na tabia ya kuwapiga wake zake, hususan Aisha na Hafsa. Nabii wa Alah Muhammad alipiga Aisha kifuani na kumsababishia maumivu makali. Sahih Muslim #2127: SOMA KISA HIKI HAPA CHINI. Sahih Muslim #2127: Ilipokuwa zamu yangu kwa Nabii wa Allah kuwa nami usiku, aliingia na kugeuka, akavua joho lake na viatu vyake, na kuviweka karibu na miguu yake, na akajilaza kwenye kitanda mpaka alipo fikiria kuwa na mimi nimelala. Basi akachukua joho lake taratiibu na kuvaa viatu vyake, na akafungua mlango na kutoka nje na kuufunga taratibu. Aisha akasema, na mimi nikajifunika kichwa changu, na kuvaa hijabu yangu na kujifunga nguo kiunoni mwangu, na baadae nikatoka nje na kumfuta Nabii wa Allah mpaka alipo fika Baqi. Alisimama pale kwa muda mrefu. Na baadae akanyanyu mikono yake mara tatu, na baadae kurudi, na mimi vile vile nikarudi nyumbani. Alikuwa anatembea kwa haraka haraka, na mimi vile vile nilitembea kwa haraka haraka. Alikimbia, na mimi nikakimbia vile vile. Ak…

KWANINI KWENYE QURAN HAKUNA JINA LA LUSIFA?

ALLAH AMBAYE SIO YEHOVA YAHUH ( يهوه ) HALIJUI JINA LA SHETANI NDIO MAANA NAENDELEA KUSEMA KUWA ALLAH SIO MWENYEZI MUNGU. Swali la kwanza la kujiuliza: KWANINI KWENYE QURAN HAKUNA JINA LA LUSIFA? Ndugu msomaji, Tunapofikiria juu ya shetani, Je tunakuwa tunafikiria juu ya kitu gani au shetani ni nini? Au ni nani? Je alikuja kutokea wapi? Madhumuni na makusudi yake ni nini? Je, Anatuathiri kwa namna gani? Na ni kwa nini shetani yupo? Je Ana mahusiano gani na Mungu? NINI MAANA YA SHETANI NA AU SHETANI NI NANI?
Tangu mwanzo Shetani hakuwa anaitwa Shetani, yaani hapakuapo na kiumbe kilichoumbwa na kuitwa Shetani kama ambavyo Quran inadai katika Surat Al Araaf aya ya 11-12. Lusifa ambalo ndilo jina la Shetani alikuwa ni “mwana wa asubuhi” (Isaya 14:12) yeye pamoja na jeshi lingine la mbinguni,waliumbwa wote wakiwa wakamilifu katika njia zao zote ( Ezekieli. 28:14-19). Kulikuwa na amani na umoja Mbinguni. Kisha mambo yakaharibika. Biblia haiko wazi sana juu ya swala hili ni nini hasa kulitok…