SUPPORT MAX SHIMBA MINISTRIES

WAISLAM WA MISRI WAONGOZA KULA NYAMA YA NGURUWE


UFUGAJI WA NGURUWE WAONGEZA KASI NCHINI MISRI
Cairo Misri:
Biashara ya ufugaji wa Nguruwe nchini Misri inakuwa kwa kasi baada bidhaa hiyo kuwa muhimi na hadimu kama Almasi. Inafahamika kuwa Misri ni nchi ya Kiislam lakini wakati huo huo ufugaji wa Nguruwe ambaye ni haram kutoka na dini yao unakuwa kwa asilimia nyingi.
Mfanya biashara wa Nyama ya Nguruwe ajulikanaye kwa Jina la Samir amesema kuwa hivi sasa nyama ya Nguruwe imekuwa kama dhahabu. Kila siku wao wanachinja Nguruwe zaidi ya wa tatu na kuuza katika maduka yao ya Nyama hiyo. Samir alisema kuwa wafanya biashara ya Nyama ya Nguruwe sasa wameongeza kipato maana bidhaa hiyo sasa inanunuliwa kupita kiasi ukilinganisha na miaka ya nyuma.
Hivi sasa Kilo Moja ya Nyama hiyo hadimu imepanda bei na kufikia (£4.30 za Uingereza) sawa na Shilingi Elfu Kumi na NNE (14000) za Tanzania.
Kwa habari zaidi kuhusu ufugaji wa Nguruwe Misri ingia hapa.

Comments

TRENDING NOW

OMBA MAOMBI HAYA KILA SIKU ASUBUHI, MCHANA NA USIKU

MAOMBI YA KUMTEKETEZA SHETANI "NGUVU ZA GIZA"

MAOMBI YA VITA YA KUTUMIA ALAMA ZA MUNGU

NANI KAMPA UTUME NA UNABII MTUME MUHAMMAD?