Tuesday, May 24, 2016

KWANINI ALLAH ATAWAPELEKA WAISLAMU JEHANNAM? ENYI WENYE ILMU HEBU MTUSHAWISHI HAPA

Sahih Bukhari Volume 9, Book 93, Number 532
….. Allah atakapokuwa amemaliza hukumu miongoni mwa watu, atamtoa jehanamu yule amtakaye kwa rehema zake. Kisha atawaamuru malaika kuwatoa motoni wote ambao hawakumwabudu yeyote isipokuwa Allah miongoni mwa wale ambao Allah ametaka kuwarehemu na wale walioshuhudia (duniani) kwamba hakuna apasaye kuwabudiwa ila Allah. Malaika watawatambua motoni kutokana na sijda (nyusoni mwao), maana moto utakula mwili wote wa kibinadamu isipokuwa sijda maana Allah ameuzuia moto kuila sijda. Watatoka jehanamu wakiwa wameungua kabisa kisha watamwagiwa maji ya uzima nao watakua kama mbegu itokayo kwenye udongo …….
TAFSIRI YAKE:
Sahih Bukhari Volume 9, Book 93, Number 532 inasema:
........When Allah has finished His Judgments among the people, He will take whomever He will out of Hell through His Mercy. He will then order the angels to take out of the Fire all those who used to worship none but Allah from among those whom Allah wanted to be merciful to and those who testified (in the world) that none has the right to be worshipped but Allah. The angels will recognize them in the Fire by the marks of prostration (on their foreheads), for the Fire will eat up all the human body except the mark caused by prostration as Allah has forbidden the Fire to eat the mark of prostration. They will come out of the (Hell) Fire, completely burnt and then the water of life will be poured over them and they will grow under it as does a seed that comes in the mud of the torrent.....
MASWALI
1. Huko jehanamu mtakuwa mlienda kufanya nini?
2. Tangu lini wanadamu wakaenda jehanamu wakiwa na mwili wa kibinadamu?
3. Kuna haja gani ya kutekeleza amri za Mungu kama bado atakutoa jehanamu? Si tuendelee kufanya tu tupendavyo?
…………………
SIKIA INJILI YA KWELI KUHUSU WENYE DHAMBI
(Mat 25:46) Na hao watakwenda zao kuingia KATIKA ADHABU YA MILELE; bali wenye haki watakwenda katika uzima wa milele………(umeona neno YA MILELE?)
Ufunuo 20:15 Na iwapo mtu ye yote hakuonekana ameandikwa katika kitabu cha uzima, ALITUPWA KATIKA LILE ZIWA LA MOTO.
Ufunuo 14:11 Na moshi wa maumivu yao hupanda juu HATA MILELE NA MILELE, wala hawana raha mchana wala usiku, hao wamsujuduo huyo mnyama na sanamu yake, na kila aipokeaye chapa ya jina lake. (umeona maneno MILELE NA MILELE?)
…………………
Ukitupwa jehanamu ndio basi!
Hutoki humo milele na milele.
Umedanganywa kwamba eti utatolewa.
…………………….
NJOO KWA YESU UPONE WEWE!
(1Yohana 2:23) Kila amkanaye Mwana, hanaye Baba; amkiriye Mwana anaye Baba pia.

No comments:

Does Allah Need Help?

  In the Qur’an, the same Allah asks for help… 47:7 O you who believe ! if you help (the cause of) Allah, He will help you and make firm you...

TRENDING NOW