Posts

Showing posts from April, 2016

SUPPORT MAX SHIMBA MINISTRIES

MAJINA YA MUNGU WA BIBLIA

Image
MSIFU MUNGU KWA MAJINA YAKE.
Majina ya Mungu, hueleza sifa za Mungu, Tabia za Mungu au Matendo ya Mungu. Mfano; Wayahudi wanamwita Mungu El‐Shaddai. Ni neno lenye majina mawili ndani yake. ‘El’ maana yake Mungu, na ‘Shaddai’ lenye maana itokanayo na neno ‘Shad’ yaani Titi (Ziwa) la mama anyonyeshaye. Kutokana na ukweli kwamba, titi/ziwa la mama anyonyeshaye, linampa mtoto mchanga kila kitu anchohitaji. Maziwa ya mama yake, humpa mtoto kila kitu mtoto anachohitaji. Ndani ya maziwa kuna vitamini, protini, wanga, mafuta, madini, maji, na kila kitu mtoto anachohitaji. Maziwa ya mama, yanamtosheleza mtoto kwa kila kitu. Hivyo, Waisraeli wanapomwita Mungu El‐Shaddai, wanamaanisha kuwa, kama ziwa linavyo mtosheleza mtoto, vivyo hivyo, Mungu ni ‘Mtoshelezi’ kwetu. Halleluyah! Hivyo, kila jina la Mungu, linabeba aidha Sifa yake au Tabia yake au Matendo yake. Ndio maana Mfalme Daudi anasema
“Mpeni Bwana, enyi wana wa Mungu … Mpeni Bwana utukufu kwa jina lake. Mwabuduni Bwana kwa uzuri wa utakati…

ALLAH SIO JINA LA MUNGU (SEHEMU YA PILI)

Image
Ndugu msomaji, Katika mada iliyo pita, tumethibitisha kuwa Mungu wa kwenye Biblia ana jina/majina na Allah wa kwenye Quran naye ana majina 99 kama ilivyo shahidiwa kwenye vitabu vyake angalia link hii:http://www.islamicity.com/mosque/99names.htm . ZAIDI YA HAPO, NIMETHIBITISHA KUWA ALLAH SIO JINA BALI NI WADHIFA TU KAMA ILIVYO "RAIS" "MFALME" nk. Hayo maneno "Rais", "Mfalme" sio majina bali hao wenye huo wadhifa wanayo majina yao na ndio maana huwa tunasema Rais "fulani" kasema hivi au Mfalme fulani kasema hivi na vile, Lazima tuweke jina la huyo Rais au Mfalme katika maelezo yako. Kwenye hii mada tunaendelea kumuuliza Allah mswali na kuwauliza Waislam maswali kuhusu huyu Allah mwenye jina lisilo tambulika na au halipo kwenye Taurat, Zaburi, na Injili. SASA TUANZE MADA YETU: Waislam hupenda kuanza kusema maneno haya katika hotuba zao: Nukuu: "KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU" Hayo maneno yanatuambi…

ALLAH SIO JINA LA MUNGU

Image
Ndugu msomaji, Waislam wamekuwa wakidanganya kila siku kuwa eti Mungu anaitwa Allah. Sasa leo nataka tujadili kwa amani na upendo hapa kuhusu huyu ALLAH. Allah sio jina bali wadhifa tu. Ndio maana Allah AMEKIRI KUWA YEYE ana majina 99, ANGALIA HAPA KWA USHAHID http://www.islamicity.com/mosque/99names.htm. Kati ya hayo majina 99 hakuna jina la Yehova, JAHAWEH, MIMI NIKO nk ingawa Waislam kila kukicha wanadai eti Mungu wa Musa ni huyo Allah au Mungu wa Daudi ni huyo Allah. Ili kuthibitisha ninacho sema, Mungu wa kwenye Biblia kasema hivi kwenye Yeremia. Mungu mwenyewe alisema: “Watajua kwamba jina langu ni Yehova.” (Yeremia 16:21) Sasa, wote tunafahamu kuwa Biblia ilikuja miaka 650 kabla ya Quran na kwenye hiyo Biblia Mungu alisema kuwa yeye jina lake ni "MIMI NIKO", "YEHOVA" n.k. LAKINI CHA AJABU, Allah HAKUSEMA KUWA YEYE NI "MIMI NIKO" AU "YEHOVA" kwenye hayo majina yake 99. Je, Allah ni nani huyu, maana teyari anapinga na YEHOVA wa kwenye Yere…

ALLAH KWA KIEBRANIA MAANA YAKE NI LAANA “CURSE”

Ndugu msomaji, Je, hili limetokea kwa bahati mbaya? Isaya 24: 6 Ndiyo sababu laana [“alah”] imeila dunia hii, na hao wanaoikaa wameonekana kuwa na hatia, ndiyo sababu watu wanaoikaa dunia wameteketea, watu waliosalia wakawa wachache tu. Huu uvumbuzi ulieleweka baada ya kuangalia neno la Kiebrania la “LAANA –CURSE”- linatamkwa kwa Keibrania “alah” sawa sawa na Allah wa kwenye Quran. Nilifanya uchunguzi zaidi kuhusu na kulinganisha neno la Kiebrania “ALAH” na la Kiarabu Allah; yote yapo sawa, isipokuwa tofauti ndogo ya ongezeko la “L” kama ifuatavyo:
אלה , alah (“curse = laana” in Hebrew) na الله , Allah (“mungu katika Kiislamu”), wakati:
א = aleph (Heb) ni sawa sawa na ا = alif (Arab), au “A” katika Kiingereza
ל = lamed (Heb) ni sawa sawa na ل = lam (Kiarabu), au “L” katika Kiingereza; “Allah” ina “L” mbili katika Kiarabu na kiislamu
ה = heh (Heb) ni sawa na ه = ha (Kiarabu), au “H” katika Kiingereza Inashangaza sana neno la Kiebrania la “laana” na neno la Kiarabu la “Allah” sio tu yanatam…

JE, KUUA AU KUJIUA NI DHAMBI?

Image
Ndugu msomaji, Nimepata maswali kadhaa kwenye private messaging kuhusu kuua au kujiua. Watu wanataka kufahamu kuwa, je, mtu akijiua atakwenda wapi? KOSA LA KUUA AU KUJIUA
Kulingana na Biblia, kujiua si kigezo cha kukufanya uingie mbinguni bali ni kigezo cha kukuingiza Jehannam. Mtu asiyeokoka akijiua huwa amejipeleka moja kwa moja katika ziwa la moto. Mtu huyu atapelekwa huko kwa kukataa kwake wokovu kupitia Yesu, Biblia inasema kuwa USIUWE, Biblia inasema katika Yohana 10:10 Mwivi haji ila aibe na kuchinja na kuharibu; mimi nalikuja ili wawe na uzima, kisha wawe nao tele. Katika Yohana 10 aya 10 tumesoma kuwa Yesu amekuja ili wewe uwe na uzima. Biblia inataja watu wanne waliojiua: Sauli (samueli wa kwanza 31:4), Ahithofeli (samueli wa pili 17:23), Zimri (wafalme wa kwanza 16:18), na Yuda (Mathayo 27:5). Kila mmoja wao alikuwa mwovu na mwenye dhambi. Biblia inachukulia kujiua sawa na kuua – na hivyo ndivyo ilivyo – kujiua mwenyewe. Mungu ndiye ni aamue lini na vipi mtu afe. Kuchukua j…

USHUHUDA MKUBWA WA KHALIL MUISLAM MWENYE SIASA KALI AMBAYE SASA NI MKRISTO

Image
Khalil alianza kuikariri Kurani alipokuwa bado mdogo sana na akaendelea na hali hiyo aliyoiita kuwa ni upendo kwenye neno la Mungu. Kwa kadri alivyoendelea kukua, akaanza kusoma vitabu vya kiislamu hasa vile vilivyofafanua Kurani. Alipoendelea kuisoma Kurani na alichanganua walio Waislamu kufuatana na mafundisho hayo kutoka kwa wale wasio Waislamu. Hatimaye aliafiki hata wazazi wake kuwa makafiri. Vitu vidogo vidogo kama vile mwanamke kutokuvaa hijabu kungemfanya mtu kutokuwa Mwislamu wa kweli kulingana na vile alivyoelewa Kurani. Kama mwanaume asingezifuga ndevu zake hata zikakua angeeleweka kuwa yeye pia si Mwislamu. Alizingatia kuwa Wakristo ni maadui zake wakubwa, na hivyo akaanza kujihusisha na mashambulizi dhidi ya Wakristo na kanisa kwa jumla. Kikundi hicho kilijitoa kuipindua serikali ya Misri na kuunda serikali ya kiislamu yenye msimamo mkali. Walimwandikisha kuwa mpiganavita hata kumpandisha cheo na kumchagua kuwa kiongozi wa mahali pale. Kikundi chake kilijihusisha na uteka…

KUMBE ALLAH HAJATAKASIKA

Image
ALLAH ATEREMSHA AYA NA KUKIRI KUWA YEYE NA UISLAM HAWAJATAKASIKA Bila ya kupoteza muda tuanze kwa kusoma SURAT AL-AH'ZAB
(Imeteremka Madina). Sheikh Ali Muhsin Al-Barwani , alie fanya tarjuma hii ni Mzalendo wa Zanzibar, aliezaliwa 13 January 1919, akapata mafunzo ya dini kwa baba yake Sheikh Muhsin bin Ali na kwa wanazuoni wengineo wa Afrika ya Mashariki. Pia Sheikh Ali amesoma ilimu ya zaraa katika Chuo Kikuu cha Makerere (Makerere University) huko Uganda. MAANA YA KUJITAKASA
a. Ni kujiweka wakfu kwa ajili ya Mungu
b. Ni kuamua kwa dhati kabisa kuchukua hatua ya kuacha kutenda dhambi, kuishi katika dhambi na pia kuchukua hatua ya kuondoa kila aina ya dhambi uliyo nayo. ALLAH ANAOMBA MUMTAKASE ASUBUHI NA JIONI. JE, ALLAH ALICHAFUKA LINI MPAKA AOMBE KUTAKAWASA?
((Enyi mlioamini! Mdhukuruni Allaah kwa wingi wa kumdhukuru)) ((Na mtakaseni asubuhi na jioni)) ((Yeye na Malaika Wake ndio Wanakurehemuni ili kukutoeni gizani mwende kwenye nuru. Naye ni Mwenye kuwarehemu Waumini)) ((Maamkian…

MTUME MUHAMMAD AONEKANA JEHANNAM

Image
1. AUKANA UISLAM NA ALLAH
2. ASEMA BIBLIA NI NENO LA MUNGU
3. AJUTA KUZALIWA
https://youtu.be/OS2aZfa8tss Mungu hutufunulia mambo mbalimbali kupitia watumishi wake mbalimbali ili kutujulisha yale yaliyopo na hata yajayo; katika ulimwengu huu na pia ule ujao. Wapo watu wengi ambao Mungu amewatumia kutufahamisha juu ya mbingu na hata juu ya kuzimu. Bo Ra Choi ni mchungaji kutoka Korea ya Kusini. Mchungaji huyu amekuwa akionyeshwa maono mbalimbali na Mungu kuhusu mambo ya ulimwengu wa roho. Mojawapo ya maono aliyoonyeshwa yanamhusu Muhammad, mtume wa Uislamu. Je, Muhammad yuko wapi hivi leo? Katika video hii, mchungaji Bo Ra Choi anafikisha kwetu ujumbe kwa namna ambavyo alisikizishwa Muhammad akisema kule aliko sasa. Kwa maana nyingine, ananukuu moja kwa moja maneno ya Muhammad ili kwamba iwe ni kama vile tunamsikia Muhammad akizungumza. Tafadhali zikiliza kwa makini video hii, kisha utaupata ujumbe wa Mungu anaouleta kwetu kupitia mtumishi wake, Mchungaji Bo Ra Choi. ........................ Lak…

SHETANI NA MAJINI MACHAFU YASILIMU NA KUWA WAISLAM

1. Mtume Muhammad akutana na Majini usiku na kuyafundisha Quran.
2. Shetani na yeye aingia msikitini na Kusilimu. Ndugu zanguni huu ni Msiba kwa ndugu zetu Waislam. Ngoja niweke kwanza Ushahid hapa chini. SHETANI ASILIMU
Hadith imepokelewa na Israr-e-Muhammad, Ukurasa wa 30 Inasema: Shetani alifanya kiapo cha kusilimu Msikitini alipo ongozwa kufanya Shahada na Abu Bakr. Abu Bakr anasema kuwa, Shetani akawa Muislam Wakulu ushaidi ndio huu hapa. Kumbe na Shaytan ni Muislam.
Je, inamaanisha kuwa Uislam ni dini ya Shetani? Kumbe ndio maana Majini yote machafu ni Maislam. 1. Shetani naye Asilimu na kuwa Muislam.
2. Majini nayo yasilimu na kuwa Maislam.
3. Kumbe Uislam ni ndugu za Majini MTUME MUHAMMAD AKUTANA NA MAJINI USKU
Allah S.W.T. ametuhakikishia wazi kuwa ujumbe aliopewa Mtume S.A.W. ulikuwa kwa Wanadamu na Majini na Mashetani pia. Na katika Qurani na Hadithi za Mtume S.A.W. kuna dalili zilizo wazi zinazoyakinisha kuwa Mtume S.A.W. alikuwa akikutana nao na kuwafundisha dini. Na hata wakat…

ROHO MTAKATIFU NA VIPAWA

Image
Kunena na ndimi Kutafsiri ndimi Kipawa cha unabii ( Njia 6 za kuamua unabii ) Neno la Maarifa Neno la hekima Kubambanua miroho Vipawa vya uponyaji Kipawa cha miujiza Kipawa cha imani.
Kubatizwa katika Roho Mtakatifu ni mwanzo ya kuhudumu katika vipawa 9 vya Roho Mtakatifu. Ni : Vipawa 3 vya
- Kunena kwa Lugha
- Kipawa cha unabii
- Kutafsiri ndimi Vipawa 3 Ufunuo,
- Neno la hekima
- Neno la Maarifa
- Kubambanua ndimi Vipawa 3 vya Nguvu,
- Kipawa cha uponyaji
- Kipawa cha miujiza
- Kipawa cha Imani. 1. Kunena katika ndimi. Matendo ya Mitume 2: Wakati mtu anaponena kwa lugha, akili na ufahamu hupumzika. Roho Mtakatifu anatumia kinywa cha mtu tu, sio bongo au akili ya mtu. Usemi ni ya kiroho Kuna aina nyingi za kunena kwa lugha. ( Lugha mbali mbali )
Kusudi ya kunena kwa lugha: 1. Ni dhihirisho ya kiroho ya kubatizwa katika Roho Mtakatifu ( Matendo ya Mitume 10:46) Ili mwanadamu aweze kuwasiliana na Mungu Kiroho. ( 1 Wakorintho 14: 2 ) Ili waumini wamtukuze Mungu. ( Matendo ya Mitume 10:46) Ili itu…

MWANA MITINDO WA KIISLAM KUTOKA INDONESIA ASMIRANDAH ZANTMAN AOKOKA BAADA YA KUTEMBELEWA NA YESU KATIKA NDOTO.

Image
MUNGU BADO ANAWAPENDA WAISLAM From Darkness to Light. She is Asmirandah Zantman (born October 5, 1989), famous Indonesian muslim actress, model, singer and presenter. She owe her conversion to Christianity after Jesus appeared in her dreams for 3 times. To God be the Glory!
http://www.malaysiandigest.com/…/577256-indonesian-actress-…

KIONGOZI WA AL SHABAB Mohammed Sheikh Abdiraman - AUWAWA NA WAISLAM WA SIASA KALI BAADA YA KUMPOKEA YESU NA KUKATAA KURUDIA UISLAM

Image
Mohammed Sheikh Abdiraman alikuwa mmoja wa Harakah Al Shabab, aliuwawa na Waislam wa siasa kali baada ya kumpokea Yesu na kukataa kusilimu/kurudia Uislam. Tuendelee kuwaombea ndugu zetu ambao wanampokea Yesu katika nchi za Kiislam.
Al Shabaab Islamist rebels shot Mohammed Sheikh Abdiraman to death at 7 a.m., eyewitnesses told Compass. They said the Islamic extremists appeared to have been hunting the convert from Islam, and when they found him they did not hesitate to shoot him. Linked with Islamic extremist al Qaeda terrorists, al Shabaab rebels have mounted an armed effort to topple President Sheikh Sharif Sheikh Ahmed’s Western-backed Transitional Federal Government with the intention of imposing sharia (Islamic law). The group is already enforcing sharia in large parts of southern Somalia that they control. https://www.worldwatchmonitor.org/2009/07-July/4496/ http://somalisforjesus.blogspot.com/2010_01_01_archive.html

MUHAMMAD ALIKUWA MTUME BANDIA

Image
JINSI MUHAMMAD (S.A.W) ALIVYOPATA UTUME NA WAHYI (UFUNUO) WAKE
Ufunuo aliokuja nao Muhammad s.a.w , mtume wa Waislamu, ni tofauti sana na mitume wote walioishi kabla yake wanaotajwa ndani ya Biblia Takatifu. Tofauti yake ni kwamba manabii na mitume wote waliotajwa ndani ya Biblia Takatifu, wameandika watu mbalimbali wapatao 40 kwa miaka mingi sana inayokaribia 1500, lakini ufunuo wao ni wa aina moja (it has comformity). Ule unabii wa Agano la Kale umetimizwa katika Agano Jipya. Hii ni kwa sababu chanzo cha ufunuo huo ni kimoja, Roho Mtakatifu.
Lakini kwa upande wa Muhammad s.a.w , mtume wa Waislamu yeye chanzo cha ufunuo na hatimaye utume wake ni masuala yenye utata sana ambao hata wafuasi wa dini hiyo na wao hawajui kwa hakika ukweli ni upi.
Hebu tuangalie kwa ufupi utata huo.
Muhammad s.a.w alipotimiza umri wa miaka 38 alihama toka nyumbani kwake, akahamia katika mapango yaliyokuwa hapo karibu na mji wa Makka. Alipofikisha umri wa miaka 40 siku moja alitokewa na kiumbe ambacho Waislamu …

ROHO MTAKATIFU NA UTUKUFU WA MUNGU

Image
( Shekinah, Kabod, Gloria) Utukufu Wa Mungu Yahweh. Yohana 17:22, Mimi nimewapa utukufu uleule ulionipa mimi, ili wawe kitu kimoja kama nasi tulivyo mmoja; Yesu atawapa utukufu wake waliokombolewa. Matendo ya mitume 7:55, Lakini Stefano akiwa amejawa na Roho Mtakatifu, akatazama juu mbinguni, akauona utukufu wa Mungu na Yesu amekaa upande wa kulia wa Mungu. Stefano, katika dakika zake za mwisho, kabla hajauwawa na wayahudi, aliona utukufu wa Mungu JUU mbinguni. Musa pamoja na wana wa Israeli, pia waliona utukufu wa Mungu na macho yao. Kutoka 16:7, 10. Ms. 7, na asubuhi ndipo mtakapoona utukufu wa BWANA; na sisi tu nani, hata mkatunung´unikia?...... Ms. 10, Ilikuwa Haruni aliponena na huo mkutano wote wa wana wa Israeli, wakaangalia upande wa bara, na tazama, utukufu wa BWANA ukaonekana katika hilo wingu. Kutoka 40:34-35: Ms. 34, Ndipo lile wingu likaifunikiza hema ya kukutania, na huo utukufu wa BWANA ukaijaza maskani. Ms. 35, Wala Musa hakuweza kuliingia hema la kukutania, kwa sabab…

KUMBE ALLAH HAJATAKASIKA

Image
ALLAH ATEREMSHA AYA NA KUKIRI KUWA YEYE NA UISLAM HAWAJATAKASIKA Bila ya kupoteza muda tuanze kwa kusoma SURAT AL-AH'ZAB
(Imeteremka Madina). Sheikh Ali Muhsin Al-Barwani , alie fanya tarjuma hii ni Mzalendo wa Zanzibar, aliezaliwa 13 January 1919, akapata mafunzo ya dini kwa baba yake Sheikh Muhsin bin Ali na kwa wanazuoni wengineo wa Afrika ya Mashariki. Pia Sheikh Ali amesoma ilimu ya zaraa katika Chuo Kikuu cha Makerere (Makerere University) huko Uganda. MAANA YA KUJITAKASA
a. Ni kujiweka wakfu kwa ajili ya Mungu
b. Ni kuamua kwa dhati kabisa kuchukua hatua ya kuacha kutenda dhambi, kuishi katika dhambi na pia kuchukua hatua ya kuondoa kila aina ya dhambi uliyo nayo. ALLAH ANAOMBA MUMTAKASE ASUBUHI NA JIONI. JE, ALLAH ALICHAFUKA LINI MPAKA AOMBE KUTAKAWASA?
((Enyi mlioamini! Mdhukuruni Allaah kwa wingi wa kumdhukuru)) ((Na mtakaseni asubuhi na jioni)) ((Yeye na Malaika Wake ndio Wanakurehemuni ili kukutoeni gizani mwende kwenye nuru. Naye ni Mwenye kuwarehemu Waumini)) ((Maamkian…