Posts

Showing posts from February, 2016

SUPPORT MAX SHIMBA MINISTRIES

KWANINI MASHAHIDI WA YEHOVA WANAPOTOSHA KWA MAKUSUDI KUHUSU UUNGU WA YESU?

Image
Mashahid wa Yehova wanadai kuwa: 1. Yesu alikuwa Malaika aliyeumbwa. 2. Yesu hakuwa Mungu na mwanadamu wakati ule – “God incarnate”. Mashahidi wa Yehova wanasema kuwa Yesu hakuchanganya au kushiriki tabia za kiungu na za kimwili alipokuwa duniani. Wanadai alipokuwa duniani alikuwa mwanadamu mkamilifu tu, ikimaanisha, hakuwa na adhama ya Uungu. Na tangu kufufuliwa, yeye ni nafsi kamili ya kiroho tu. 3. Yesu alishindwa kuwakomboa wanadamu. 4. Mwili wa Yesu haukufufuliwa. 5. Mwanadamu Yesu amekufa kwa hiyo haishi tena. 6. Kabla ya kufa Yesu alikuwa mwanadamu tu, bali baada ya kufufuliwa alikuwa na hali ya kiungu (malaika). 7. Yesu si mpatanishi wetu. Je, madai ya hawa Mashahidi wa Yehova ni ya kweli?
LAKINI BIBLIA INATUFUNDISHA NINI KUHUSU YESU?
Biblia inakataa na kuvunja hoja zote dhaifu za Mashahidi wa Yehova kama ifuatavyo: 1. Yesu si malaika kama wanavyo dai hawa Mashahidi wa Yehova. Soma-Waebrania 1:1-8. Yeye ni bora. Pia soma Yohana 1:1-3; 8:58; Ufunuo 1:8; 21:6; 22:13 – Yesu hakuumb…

MAFUNDISHO POTOFU YA MASHAHIDI WA YEHOVA KUHUSU UTATU WA MUNGU

Image
Ndugu msomaji, Katika somo hili, nitajibu hoja ya Mashahidi wa Yehova kuhusu kupinga kwao Utatu Mtakatifu wa Mungu. Taasisi ya Mashahidi wa Yehova wanafundisha kuwa kuna nafsi moja tu katika Uungu naye ni Baba tu. Ikimaanisha kuwa, wanapinga Uungu wa Yesu na wanapinga Uungu wa Roho Mtakatifu. Mafundisho ya Biblia: 1. Je! Yesu ni yule Mungu mmoja?
Musa alisema: “Sikiliza, Ee Israeli: Bwana Mungu wetu, Bwana ndiye mmoja,” Kumbukumbu ya Torati 6:4 Lakini katika Injili kutokana na Yohana Yesu anasema yafuatayo: Yesu alisema: “Mimi na Baba tu umoja,” Yohana. 10:30. Mtume Paula alisema, “Maana katika yeye (Yesu) unakaa utimilifu wote wa Mungu, kwa jinsi ya kimwili,” Wakolosai 2:9. Sasa Mashahidi wa Yehova wanafundisha kuwa kuna nafsi moja na ni Yehova. Lakini hapa kwenye Wakolasai 2: 9 tumeona nini? Tumeona kwamba wako wawili sasa [kuna Mungu Baba na kuna Yesu ambaye kuna utimilifu wote wa Mungu]. Lakini JE, kuna wawili tu? La hasha! Mafundisho ya Biblia yaliyo wazi sana yanasema. Soma: 1 Y…

MASHAHIDI WA YEHOVA WANAFUNDISHA KUWA HAKUNA JEHANNAM

Image
(i) Wanafundisha kuwa, kifo ndio mwisho wa maisha yako
(ii) Wanafundisha kuwa, hakuna Jehannam. Ndugu msomaji, Mashahidi wandai kwamba hakuna Jehannam. Wanasema mwovu anapokufa, basi anapotea moja kwa moja tu! Wanadondoa Mhubiri 3:20-21; 12:7. Je, haya madai ya Mashahid wa Yehova ni ya kweli?
Je, ni kweli kuwa hakuna maisha baada ya kifo, yaani wewe ukifa ndio unapotea moja kwa moja? Biblia Yasema Nini kuhusu jambo hili? 1. Ni kweli mwili wa mtu hurudi mavumbini anapokufa, Mwanzo 3:19. Lakini mwanadamu si mtu tu -MWILI NA NYAMA PEKEE! Mwanadamu ni nafsi ya roho pia, maana tumeumbwa kwa mfano wa Mungu, (Mwanzo 1:26) naye Mungu hana mwili bali ni roho (Yohana 4:24; Luka 24:39). Miili ya wanadamu wote itarudi mavumbini hata wakiwa wema au waovu. Lakini roho za mwanadamu ndizo zitakazoishi milele ama pamoja na Mungu ama katika Jehannam. WEWE NI MFANO WA MUNGU
Mwanzo 1: 26 Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wany…

MALAIKA GABRIEL WA BIBLIA NI TOFAUTI NA JIBRIL WA KWENYE QURAN

Image
Ndugu msomaji, Tokea kuanzishwa Kwa dini ya uislam, waislamu duniani wanaamini na kuifundisha jamii kuwa malaika aitwae ‘Gabriel’ Kama maandiko matakatifu ya Biblia yanavyofundisha ndiye malaika ‘Jibril’ Kama Quran inavyosimulia. Swali la muhimu je ni kweli kuwa malaika “Gabriel” ndiye “Jibril” nakusihi fuatilia somo hili ili kujua ukweli…. HOJA ZA WAISLAMU ZA KUAMINI KUWA MALAIKA GABRIEL NDIYE JIBRIL
Waislam wanalinganisha kwa kusoma aya za Quran na Biblia na kusema kuwa malaika Gabriel ndiye Jibril wanasoma aya hizi….
QURAN 19:16-17 SURAT MARYAM
16. Na mtaje Mariamu kitabuni (humu) alipojitenga na jamaa zake (akenda) mahali upande wa mashariki (wa msikiti) 17. Na akaweka pazia kujikinga nao.Tukampelekea muhuisha sharia yetu (jibril) - akajimithilisha kwake kwa sura ya Binadamu aliye kamili.
LUKA 1:26-28
26. Mwezi wa sita, malaika Gabriel alitumwa na Mungu kwenda mpaka mji wa Galilaya, jina lake Nazareti. 27. Kwa mwana mwali bikira aliyekuwa ameposwa na mtu jina lake Yusufu wa mbari ya Da…

JE, MASHAHIDI WA YEHOVA NI WAKRISTO?

Image
Ndugu msomaji, Swali la kwanza la kujiuliza hapa ni hili, Je, Mashahidi wa Yehova wanaamini nini? Tukianza kuutafakari kwa karibu sana msimamo wa kanuni yao kwa masomo ya IMANI YA KIKRISTO kama, Mwili wa Kristo, Wokovu, Utatu wa Mungu, Roho Mtakatifu na upatanisho wa Mungu na mwanadamu yaonyesha bila shauku yoyote kuwa hawashikilii kanunu ya msimamo wa Kikristo katika masomo haya. Utadungua kuwa:
1. Mashahidi wa Yehova wanaamini kuwa Yesu ndiye Mikaeli malaika mkuu, kiumbe kikuu. Hii inahitilafiana maandiko mengi ambayo wazi yamtaja Yesu kuwa Mungu (Yohana 1:1,14, 8:58, 10:30). 2. Mashahidi wa Yehova wanaamini kuwa wokovu unapatikana kwa ushirika wa imani, matendo mazuri na itiivu. Hii inahitilafiana maandiko mengi yasiyo hesabika ambayo yasema wokovu unapatikana kwa neema kupitia kwa imani (Yohana 3:16; Waefeso 2:8-9; Tito 3:5). 3. Mashahidi wa Yehova wanakataa utatu wa Mungu, wakiamini kuwa Yesu ni kiumbe na Roho Mtakatifu kuwa ni nguvu za Mungu zizokuwa na uhai (active force/energ…

MAJINA KUMI NA MBILI YA ROHO MTAKATIFU

Image
Katika kijarida hiki, tutajikumbusha majina kumi na mbili ya Roho Mtakatifu na kazi zake.
Haya ungana nami moja kwa moja na tujifunze kuhusu Roho Mtakatifu. Roho Mtakatifu anamajina mengi na wasifa mwingi, mengi yao kama sio yote yanaeleza kazi na huduma yake. Hapa chini ni baadhi ya majina na wasifa wake kama yalivyo semwa katika Biblia kuhusu Roho Mtakatifu.
1.MWANDISHI WA NENO (Author of Scripture) 2 Petro 1:21; 2 Timotheo 3:16. Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaonya watu makosa yao, na kwa kuwaongoza, na kwa kuwaadibisha katika haki; Roho Mtakatifu ndie aliye weka pumzi katika vitabu vyote vya Biblia 66. Hivyo basi, waandishi wa Biblia walipewa nguvu/upako na Roho Mtakatifu na wakaandika Biblia bila ya makosa.
2.MSAIDIZI/WAKILI/MSHAURI WETU (Comforter / Counselor / Advocate) Nami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine, ili akae nanyi hata milele.
Isaya 11:2; Yohana 14:16, 15:26; 16:7.
Maneno yote matatu yanatokana na neon la Kigiriki Parakleto…

YESU ATABIRI KUWA MUHAMMAD NI MTUME NA NABII WA UONGO

Image
Ndugu msomaji, Mara nyingi Waislam wamekuwa wakisema kuwa, eti, Yesu alitabiri kuja kwa Muhammad, pale alipo sema kuhusu Roho wa Kweli, la hasha. Nabii ni mtu gani?
Nabii ni mtu aliyeteuliwa rasmi kwa vigezo vya Kiungu ili kuleta ujumbe wa Mungu kwa wanadamu, kwa maneno mengine nabii ni msemaji wa siri za Mungu. Nabii: Ni mtu ambaye ni msemaji wa Mungu (a mouthpiece of God) .Husimama kati ya Mungu na binadamu, mwenye jukumu la kupeleka ujumbe wa Mungu kwa watu. Nabii anapokuwa msemaji wa Mungu, huvuviwa na Roho wa Mungu, bila ujumbe wake kuwa na makosa. Nabii hujizuia kabisa utashi wake, nafsi yake, na mawazo yake, anapokuwa anatoa ujumbe wa Kinabii toka kwa Mungu. Wakati mwingine Mungu mwenyewe hutia maneno yake vinywani mwao (Kum 18:18, Yer 1:9). Nabii ni mtumishi wa Mungu (Zekaria 1:6) na mjumbe wa Mungu 2 Nyak 36:15). Ni kweli kuwa Yesu alitabiri kuja kwa manabii, lakini kamwe hakusema lolote kuhusu utume wa Muhammad zaidi ya kukiri kuwa watu wenye sifa kama za Muhammad ni Mitume …

ISLAM, QURAN AND 666

Image
"The truth is that This Quran is the 666 , The Book from The Lord of the Universe. GOD made His Messenger a witness with the letter Qaf and the number 666."
The following links are to more Islamic sites that connect the Quran (Koran Kuran), and Islam's "Messenger", to the number 666. Scroll down (or Ctrl+f) on this link for the following quote:
"This book is the Quran; and the Quran is '666.'"
From another page:
"They say, '666 is the sign of the Anti Christ, the sign of the Anti Church.' Obviously the Church has recognized the importance of the 666, they believe that the number represents a force that shall rise against them."
Since the false prophet Muhammad denied the whole subject of the Gospel.....
Surah 4:157 That they said (in boast), "We killed Christ Jesus the son of Mary, the Messenger of Allah";- but they killed him not, nor crucified him, but so it was made to appear to them, and those who differ therein are fu…