Posts

Showing posts from July, 2015

SUPPORT MAX SHIMBA MINISTRIES

YESU NI MUNGU

Image
(Sehemu ya Nne) “Marafiki na maadui wa Yesu waligawanyika tena na tena na kile alichosema na alichofanya [Yesu]. Alikuwa alitembea barabarani, dhahiri kama mtu yeyote, kisha akageuka na kusema kitu fulani mfano ‘Kabla ya Abraham kuwako, nipo.’ Au iIkiwa umeniona, basi umemuona baba. Kisha kwa utulivu baada ya kulaumiwa kukufuru, alisema, ‘Mwana wa Adamu ana mamlaka duniani kusamehe dhambi’ Kwa wafu, alisema ‘Njoo mbele’, au, ‘Inuka’ na walitii. Kwa tufani baharini aliweza kusema ‘Tulia’ na kwa kipande cha mkate, alisema ‘Kuwa vipande elfu moja’ na vilifanyika mara moja.”
Baadhi ya watu wanadai hakuwai waziwazi kusema “Mimi ni Mungu”. Je, ni kweli kwamba hakuwai kunena maneno hayo? “Mimi ni Mungu”. Vilevile, Yesu hakuwai waziwazi kusema “Mimi ni binadamu” au “Mimi ni Nabii” Na Yesu alikuwa binadamu bila shaka, na wafuasi wake walimchukulia kama nabii kama Musa na Eliya. Kwa hiyo hatuwezi kuamua kwamba Yesu kuwa mtakatifu ni kwa sababu hakusema maneno hayo, kama ambavyo hatuwezi kusema ha…

UONGO WA DINI YA KIISLAM

Tunaamini unapofuata kwa makini mada hii utatii neno la Mungu wa kweli, kuliishi, na kulitenda.
Mkristo wa kweli hatorudi katika ubishi wa ki dini pamoja na wapagani ambao ni miongoni mwa Anti-Kristo waitwao waislamu. Huu ni utafiti wa ki maandiko tulioufanya tukilinganisha ujumbe wa Qur’an Tukufu pamoja na Biblia Takatifu pamoja na kwamba mimi nimeishi msikitini nikajaliwa neema kuujuwa ukweli. Karibu na twakutakieni usomaji mwema. MWANZONI KABISA
Tunakusalimu tena katika jina la Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo, Ni kwa mara ingine Mungu wetu ambaye jina lake ni YEHOVA ametupa neema yake ili tuweze kuchangia pamoja haya maneno ya uzima yaani ‘UKWELI WA NENO LA MUNGU, BIBLIA’ Kwanza kabisa nataka niendelee kukujulisha kama hii wavuti yetu siyo ya kidini bali ni kwa ajili ya kuipiga tarumbeta ili wana wa Mungu wa pekee na wa kweli waweze kuikimbilia kwa mbali ibada kinyume na mapenzi ya Mungu! Hatujali wewe wa ni dini gani? taifagani? au lugha gani? sisi tunachokifanya ni kujaribu kuyachnguz…

NANI KAMPA UTUME NA UNABII MTUME MUHAMMAD?

Image
Twakusalimu kwa mara ingine katika jina tukufu na takatifu la Yesu Kristo Bwana wetu.
Twazidi pia kukushukuru kwa ajili yakuyafuata mafundisho haya ya Biblia Takatifu.
Twaamini mada ile ile lakini ya tatu kuhusu imani ya kiislamu itakusaidia ukiwa mkristo wa kweli kutoishiriki mihadhara ya ubishi kati ya waislamu na wakristo. Sababu ya pili, ni kwako ndugu na dada ambaye ungali bado katika upotevu wauislamu bila yako kujuwa ukweli kwa wazi.

Katika zile sababu zaidi ya 25 zinazotudhihirishia uongo na upotevu wa dini ya uislamu tumetamani kuchimbua «Utume na unabii wa nabii Muhammad s.a.w» 

Tunazo sababu zaidi ya mia (100) kuwauliza waislamu na kitabu chao qura'n swali tulilolitaja hapo juu na maswali mengine kuhusu UISLAMU na Qura'n! na moja ya hayo maswali ni sababu kitabu chao yaani Qur’ani kinatutaka sisi wakristo kusilimu, lakini kabla tusilimu nakuingia dini ya uislamu ni sherti tumjuwe vyema vilivyo huyu nabii sababu Yesu Kristo anatuonya kwamba manabii wengi wa uongo watatoke…

JE, ISA BIN MARYAM NDIYE YESU KRISTO?

Utangulizi
SHALOM TENA,
Kwa mara nyingine twamshukuru Yehova Mungu kwa kutupa neema hii tena ili tuweze kukufikishia ujumbe huu wa Biblia na kweli zake.
Kwa muda wa miaka mingi sana pia duniani pote imekuwa ni kawaida kuwasikia waislamu wakifundisha watu wao na kuwadanganya bila ya wao kujuwa ao wengine wakiwa wanakijuwa wanachokifanya kuwa ISA bin Maryam’ Kama Qurani inavyofundisha ndiye “YESU KRISTO”.
Mafundisho haya hivi sasa yanaendeshwa kwa kulinganisha aya za Biblia na Qurani. Ma sheihk, ma Imam na wahubiri wengi wa dini ya kiislamu wanaendesha mihadhara kwa uwingi duniani. Wahadhiri hao pia hutumia mbinu zingine mbali-mbali kama majarida na kurekodi kanda za audio na video, ambazo zimesababisha baadhi ya wakristo nusu au wakristo wajinga waamini kuwa Isa Bin Maryamu ndiye Yesu Kristo. Swali la msingi kwa wakristo wote;Je, ni kweli Isa bin Maryam ndiye Yesu Kristo?
Nakusihi kwa jina lake Bwana wetu Yesu Kristo kufuatilia somo hili kwa umakini wote kama tulivyokuahidi katika lile somo…

VIOJA VYA UISLAM KUHUSU KIFO NA KUFUFUKA WAKATI WA KIYAMA

Image
1. Eti Binadamu asili yake ni MBEGU YA "Ajabu Dhanab" 2. Eti Siku ya Kiyama Allah atanyeshea Mvua Ajab Dhanad na itafufuka tena.
Ndugu Msomaji, ebu jiunge nami leo na jifunze kuhusu Sayansi dhaif ya Allah na Muhammad.

MTU ANAPOKUFA, ZILE ASILI TATU KILA MOJA INARUDI MAHALA PAKE PA ASILI Kwa kifo, udongo ambao kwao ndio mwili ulijengeka, unarudi mahala pake pa asili napo ni ardhini. Mwenyezi Mungu anasema: "Kwa hakika tunajua kiasi cha kila kinachopunguzwa na ardhi katika miili yao (wakati wanapooza huko makaburini) Na kwetu kiko kitabu kinachohifadhi (kila kitu)". Qaf -4
AJABU DHANAB- ETI BINADAMU NDIO KATOKEA HAPO Kinachobaki katika mwili wa mwanadamu ni kitu kidogo kinachoitwa "Ajabu dhanab" (kilichoingia pamoja na mbegu). Hii ni sehemu ambayo ndani yake mtu aliumbiwa, na kitu hiki asili yake kilikuwa katika uti wa mgongo wa Baba yetu Adamu(AS), kwa vile kitu hiki ni kidogo sana (Hakiwezi kuonekana ila kwa kutumia microscope zenye nguvu sana), ndiyo maana uti wa…

YESU YUPO NA ANAKUJUA HATA JINA LAKO

Image
Yesu ni wa kweli, anajua jina lako na kila kitu kinacho kuhusu, pia anakupenda. Hayuko mbali nawe, yuko karibu nawe, anataka ujue kuwa yupo, anaishi, na anataka kukusaidia ikiwa utapenda. Na kama utapenda kumfahamu, unaweza kumfahamu. Ikiwa utahitaji msaada, atakusaidia, kama utaongea nae atakusilikiza, naye ataongea nawe pia.
Yesu ndiye aliyekufanya usome maandishi haya, kwa sababu ametuambia tukuandikie, na amehakikisha kuwa yamekufikia. Anajua kila kitu kinachokuhusu tangu mwanzo wa maisha yako hadi sasa hivi, amejumuika nawe katika huzuni, madhaifu na hata matatizo yako, atakusaidia mara tu utakapo muhitaji. Hakutaka uwe peke yako, mara nyingi ametaka umjue yeye. Ndiyo maana amekufanya kuwa rafiki kwa makusudi hayo. Mwamini yesu, kwani kwa Yesu urafiki ni mzuri tena wa kweli, isitoshe ni wa upendo ule wa ndani. Hatokuacha kamwe, unachotakiwa kufanya ni kumwamini na uongee nae yeye Yesu, naye atakujibu, atakusaidia, na ndipo utakapomfahamu Yesu. Anakutazama sasa unaposoma maandishi …