Posts

Showing posts from June, 2015

SUPPORT MAX SHIMBA MINISTRIES

MUHAMMAD NI MTUME BANDIA

Image
1. Hakutumwa na Mungu
2. Alipewa Utume na Mkewe
3. Alichezewa na Mashetani tokea utoto wake Leo ningependa tujikumbushe mambo machache ambayo labda hatukuyatilia maanani. Mitume wote na manabii wote wa Biblia waliwai ongea na Mungu. Lakini, Mtume wa Allah "Muhammad" hakuwai ongea na Mungu HATA MARA MOJA. Je, utume wake tutauamini vipi maana hakuwai ongea na aliye mtuma? Ndugu zanguni, huu ni msiba mwingine kwa Waislam. Hebu tuanze moja kwa moja kwa ushahidi kuhusu huyu Mtume wa Allah aliyeitwa Muhammad.
MAANA YA NENO/JINA "MTUME"Neno “mtume” lamaanisha mwanafunzi au mfuasi. Neno “mtume” la maanisha “mtu aliyetumwa” SASA BASI, hakuna aya hata Moja katika Quran inayosema kuwa Muhammad aliwai ongea na Allah aliye mmpa Utume. Sasa basi, huu utume wa Muhammad alipewa na nani? Maana Allah hakuwai mpa utume .
MUHAMMAD APEWA UTUME NA MKEWE ILI KUMFARIJI!Pale pale bibi Khadija akamdakiza, akamwambia, "Wacha hayo siyo yatakayokuwa hayo, wewe huwezi kuchezewa na mashetani, …

KUMBE ALLAH NDIE MWANZILISHI NA ANAYE TOA MAGONJWA KWA BINADAMU

Image
1. Allah akiri kuwa yeye ndie anaye anzisha magonjwa.
2. Allah aliugua Macho.
3. Allah hana uwezo wa kuponya Magonjwa
4. Allah amtupia ugonjwa Mtume wake Muhammad. Ndugu zanguni, Leo ningependa tuongelee kuhusu Magonjwa kutokana na Allah na dini ya Uislam. Je, nini hasa ni asili ya Magonjwa? Kama ulikuwa haufahamu, dini ya Uislam inakiri kuwa Allah ndie asili ya Magonjwa na magonjwa yote yaliumbwa na Allah? Naam, nafahamu unashangaa na kudhania ninawasingizia Waislam, la hasha, hebu ungana nami kwa ushahdi zaidi,
ALLAH NDIE HUWAPA WATU MAGONJWAKumbukumbu na Bukhari katika al-Adab ul-Mufrad (namba 493), kuthibitishwa halisi na al-Albani "Usitarajie mazuri, kwa sababu Allah ndiye huwapa magonjwa waumini wake kama kafara (kwa ajili ya dhambi yake) ili kumpumzisha, na kwa Makafiri ni kama ugonjwa ni kama Ngamia aliye fungwa na Bwana wake, humuachia huru pale anapotaka, ni hawezi kuelewa ni kwa nini alikuwa amefungwa, wala kwa nini ni huru. " Kitu cha kushangaza, hawa Waislam wanakw…

HIVI KWELI HAPA KUNA FUNGA AU NI KUBADILISHA MASAA YA KULA?

Image
1. Waislam wageuza masaa ya kula
2. Waislam sasa wanakula mpaka kuvimbiwa
3. Huku sasa sio kufunga bali ni uroho wa chakula Hivi mtu anapokula usiku kucha na kuto kula mchana, je huko ndio kufunga? أُحِلَّ لَكُمْ لَيْلَةَ الصِّيَامِ الرَّفَثُ إِلَى نِسَآئِكُمْ هُنَّ لِبَاسٌ لَّكُمْ وَأَنتُمْ لِبَاسٌ لَّهُنَّ عَلِمَ اللّهُ أَنَّكُمْ كُنتُمْ تَخْتانُونَ أَنفُسَكُمْ فَتَابَ عَلَيْكُمْ وَعَفَا عَنكُمْ فَالآنَ بَاشِرُوهُنَّ وَابْتَغُواْ مَا كَتَبَ اللّهُ لَكُمْ وَكُلُواْ وَاشْرَبُواْ حَتَّى يَتَبَيَّنَ لَكُمُ الْخَيْطُ الأَبْيَضُ مِنَ الْخَيْطِ الأَسْوَدِ مِنَ الْفَجْرِ ثُمَّ أَتِمُّواْ الصِّيَامَ إِلَى الَّليْلِ وَلاَ تُبَاشِرُوهُنَّ وَأَنتُمْ عَاكِفُونَ فِي الْمَسَاجِدِ تِلْكَ حُدُودُ اللّهِ فَلاَ تَقْرَبُوهَا كَذَلِكَ يُبَيِّنُ اللّهُ آيَاتِهِ لِلنَّاسِ لَعَلَّهُمْ يَتَّقُون
َ
187. Mmehalalishiwa usiku wa kuamkia saumu kuingiliana na wake zenu. Wao ni nguo kwenu na nyinyi ni nguo kwao. Mwenyezi Mungu amekwisha jua ya kwamba mlikuwa mkijihini nafsi zenu, kwa hiyo amewakubalieni (toba yenu) na …

MTUME MUHAMMAD KASEMA MADHEHEBU YOTE YA KIISLAM YATAINGIA MOTONI

Image
1. Muhammad kashindwa kuwahakikishia Waislam Akhera
2. Muhammad akiri kuwa Uislam una Madhehebu
3. Muhammad ashindwa kutuambia ni dhehebu lipi ambalo Allah aliliteremsha.
4. Allah nayeye asema Waislam wote wataingia Jehannam.

Ndugu zanguni,

Leo ningependa kuwaambia kuwa, Muhammad ambaye ni Mtume wa Allah amekiri meble ya kadamnasi kuwa Madhehebu yote yataingia Motoni isipokuwa moja tu. Muhammad hakusema kuwa Waislam hawataingia motoni, bali leo hii ameweka msumari wa mwisho katika jeneza kuwa Waislam wote wataingia Jehannam.

"Wamegawanyika Mayahudi katika mapote 71, wakagawanyika Wakristo
katika mapote 72 na Ummah wangu utagawanyika mapote 73. Yote hayo
yataingia motoni ila moja tu)) [Ahmad, Abu Daawuud, atTirmidhiy
na ad-Daarimiy]

Kama ushahid unavyo sema hapo juu kuwa Madhehebu yote yataingia Motoni, sasa, ni dhehebu lipi hilo ambalo halita ingia motoni?

Endele kusoma

MUHAMMAD(SAW) AKIRI KUWA YEYE NI MTUME BANDIA NA HAJUI ATAFANYWA NINI BAADA YA KIFO
Surat Al Ah'qaaf 9. Sema: Mimi si ki…

UONGO WA MTUME MUHAMMAD NA QURAN KUHUSU KUPASUKA KWA MWEZI NA KUTEMBEA KWA JUA

Image
1. Mtume Muhammad adai kuwa alipasua Mwezi
2. Hakuna Ushahid wa wapi vilipo vipande hivyo vya Mwezi
3. Muhammad adai kuwa Jua linatembea. Ndugu wasomaji, leo naanza kwa kusema, hakika Msingiwa Uilam ni uongo na shaka ambazo hazina Ushahid. Ungana nami moja kwa moja na tuone huo uongo upo wapi katika dini hii ya Jibril ibn Allah.
KUPASUKA KWA MWEZI"Hitaji la wapagani kwa Nabii kuwa awaonyeshe miujiza. Nabii aliwaonyesha kupasuka kwa mwezi. ‘Abdullah bin Massud alisimulia: Wakati wa maisha ya Nabii mwezi ulipasuliwa vipande viwili na Nabii alisema kuhusiana na hilo, ‘Shuhudia (jambo hili).’" Bukhari juzuu ya 4 kitabu cha 56 sura ya 26 na juzuu ya 4 kitabu cha 56 sura ya 26 na.830, uk.533.
"Anas alisimulia kwamba watu wa Maka walimwomba Mtume wa Allah awaonyeshe muujiza, na kwa ajili hiyo aliwaonyesha mwezi unaopasuka." Bukhari juzuu ya 4 kitabu cha 56 sura ya 26 na.831, uk.533. "Ibn ‘Abbas alisimulia: Mwezi ulipasuliwa vipande viwili wakti wa uhai wa Nabii." …

ALLAH NI KIUMBE

1. Allah ana uso kama viumbe
2. Allah ana vaa Nguo kama viumbe
3. Allah ana kaa kwenye Kiti kama viumbe.
4. Allah ana mikono kama viumbe
5. Allah ana Miguu na nyayo kama viumbe


Ndugu zanguni, 

Natanguliza kwa kusema huu ni Msiba Mkubwa sana kwa ndugu zetu kwa kupitia Adam wanao pinga kuwa Allah hana mfano. 

Leo nitawawekea mifano kadhaa kama ushahid kuwa Allah ni kiumbe.

Haya, ungana nami moja kwa moja na tujifunze kuhusu huyu Allah kiumbe.

ALLAH ANAKIRI KUWA YEYE ANA USO
1) Allah anasema: "Popote mutapogeukia kuna Uso wa Mwenyezi Mungu". Sura 2, Aya 115.

Kwenye hiyo aya hapo juu, Allah amesha wajibu wanao bisha kuwa Allah hana uso. Je, kuwa na uso si sifa ya binadamu?

2) Allah anasema: "كل شيء هالك إلا وجهه" (Kila kitu kitaangamia isipokuwa Uso wake (Allah)." Sura 28 Aya 88.

Ndugu zanguni, Allah anaendelea kukiri kuwa yeye ana uso kama viumbe.


ALLAH ANA-VAA NGUO KAMA VIUMBE

الكبرياء ردائي والعظمة إزاري

Allah ansema katika Hadithi hii Qudsi "Ukuu ndi vazi langu la juu na…

ALLAH ASEMA MWANAMKE KUVAA NYWELE BANDIA, KUKATA NYUSI NA KUJIPAKA MANUKATO AU UZURI NI LAANA

Image
1. Allah awakataza Wanawake kuvaa Nywele Bandia
2. Allah awakataza Wanawake
kujipaka Manukato.
3. Allah awakataza Wanawake kujipodoa.

Ndugu zanguni,

leo ningependa tujifuze kidogo kuhusu mapenzi ya Allah kwa Wanawake alio waumba.

Hebu twende moja kwa moja kwenye Ushahidi:

Allah Anasema: 
“Wala wasionyeshe uzuri wao isipokuwa unaodhihirika. … Na wala wasionyeshe uzuri wao ila kwa waume zao, au baba zao, au baba wa waume zao, au watoto wao…” (24: 31). 

Pambo la mwanamke linajumlisha sehemu zake za kimaumbile kama uso, nywele na sehemu nyingine za kuvutia za mwili wake na nyongeza za uzuri wa bandia kama nguo, vito vya thamani, vipodozi na mfano wake. Haifai kwa mwanamke yeyote Muislamu kutoka nyumbani kwake akiwa amejipaka vipodozi au manukato.


ALLAH ASEMA WANAWAKE WANAPO TUMIA MANUKATO WANAKUWA NI SAWA NA MALAYA

Mwanamke wa kiislam anapo-tumia manukato mwilini mwake anakuwa Malaya....
Mishkat al-Masabih – vol 2, p. 255

MTUME MUHAMMAD ASEMA KUVAA WIGI AU NYWELE BANDIA NI HARAM
Mtume (s.a.w.w) amewat…

SHETANI NA MAJINI MACHAFU YASILIMU NA KUWA WAISLAM

Image
1. Mtume Muhammad akutana na Majini usiku na kuyafundisha Quran.
2. Shetani na yeye aingia msikitini na Kusilimu.

Ndugu zanguni huu ni Msiba kwa ndugu zetu Waislam. Ngoja niweke kwanza Ushahid hapa chini.

SHETANI ASILIMU
Hadith imepokelewa na Israr-e-Muhammad, Ukurasa wa 30 Inasema:

Shetani alifanya kiapo cha kusilimu Msikitini alipo ongozwa kufanya Shahada na Abu Bakr. Abu Bakr anasema kuwa, Shetani akawa Muislam

Wakulu ushaidi ndio huu hapa. Kumbe na Shaytan ni Muislam.
Je, inamaanisha kuwa Uislam ni dini ya Shetani? Kumbe ndio maana Majini yote machafu ni Maislam.

1. Shetani naye Asilimu na kuwa Muislam.
2. Majini nayo yasilimu na kuwa Maislam.
3. Kumbe Uislam ni ndugu za Majini

MTUME MUHAMMAD AKUTANA NA MAJINI USKU
Allah S.W.T. ametuhakikishia wazi kuwa ujumbe aliopewa Mtume S.A.W. ulikuwa kwa Wanadamu na Majini na Mashetani pia. Na katika Qurani na Hadithi za Mtume S.A.W. kuna dalili zilizo wazi zinazoyakinisha kuwa Mtume S.A.W. alikuwa akikutana nao na kuwafundisha dini. Na hata wakati mwin…

YESU NI MUNGU (Ushaidi Kutoka Biblia) 3

Image
Je, Yesu Kristo Ni Mungu
USHAIDI
Isaya 9: 6
Kwa maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, tumepewa mtoto mwanamume, nao utawala utakuwa mabegani mwake. 

Naye ataitwa: Mshauri wa Ajabu, Mungu Mwenye Nguvu, Baba wa Milele, Mfalme wa Amani.

Huu ni ushaidi unatufahamisha kuwa Yesu atazaliwa na ataitwa Mungu mwenye Nguvu.


Katika Agano Jipya, kuna ushaidi ambao unakiri Umungu wa Yesu Kristo.
USHAIDI
Hebu tusome Wafilipi 2: 5-11
5
Tuweni na nia ile ile aliyokuwa nayo Kristo Yesu. 
6
Yeye ingawa alikuwa sawa na Mungu, hakuona kule kuwa sawa na Mungu ni kitu cha kushikamana nacho, 
7
bali alijifanya si kitu, akajifanya sawa na mtumwa, akazaliwa katika umbo la mwanadamu. 
8
Naye akiwa na umbo la mwanadamu, alijinyenyekeza hata mauti, naam, mauti ya msalaba! 
9
Kwa hiyo, Mungu alimtukuza sana na kumpa Jina lililo kuu kuliko kila jina, 10ili kwa Jina la Yesu, kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, vya duniani na vya chini ya nchi 

11na kila ulimi ukiri ya kwamba YESU KRISTO NI BWANA, kwa utukufu wa Mungu Baba.

NENO la…

UTATA NA SHAKA KUBWA KATIKA QURAN KUHUSU MUSA KUMSHUTUMU HARUN NA MSAMARIA KWA KUTENGENEZA NDAMA WA DHAHABU

Ndugu Msomaji,
Hebu rejea katika Surat Taha iliyo teremka Maka katika aya ya 92 mpaka 95. 92. (Musa) akasema: Ewe Harun! Ni nini kilicho kuzuia, ulipo waona wamepotea,*** 93. Hata usinifuate? Je, umeasi amri yangu?*** 94. Akasema: Ewe mwana wa mama yangu! Usinishike ndevu zangu, wala kichwa changu. Kwa hakika naliogopa usije sema: Umewafarikisha Wana wa Israil, na hukungojea kauli yangu.*** 95. (Musa) akasema: Ewe Msamaria! Unataka nini ?***
Aya hapo juu zinasema kuwa Musa alimkaripia Harun na “Msamaria Mwema” kwa kutengeneza Ndama wa Dhahabu kwa wana wa Israeli wakati Musa alipo kuwa katika Mlima wa Sinai. Je, haya madai ni kweli?
HEBU TUANGALIE USHAHID WA KIHISTORIA Wa Assyria waliwashinda Wayahudi wa Ufalme wa Kaskazini katika mwaka 722 BC (Kabla ya kuzaliwa Kristo),  na kuhamia uhamishioni na kuleta watu wengine walio tekwa kutoka falme mbali mbali, ambao baadae waliona na Wayahudi wa kabila la chini ambao waliruhusiwa kukaaa hapo na wa Assyria.
Sasa basi, watoto wao ndio waliitwa “Wasam…

UTATA NA SHAKA KATIKA QURAN WA MUHAMMAD KWENDA MSIKITI WA AL-AQSA

Ndugu zanguni, Leo ningependa tujifunze kidogo kuhusu utata na uongo ulio wekwa kwenye Qurana kuhusu safari ya Mtume wa Allah aitwaye Muhammad ya usikU kwenda Msikiti wa Al Aqsa ambao upo Jerusalem. Hebu kwanza angalia aya wanayo itumia kusaidia madai yao. Sura Al israai 1. SUBHANA, Ametakasika aliye mchukua mja wake usiku mmoja kutoka Msikiti Mtukufu mpaka Msikiti wa Mbali, ambao tumevibariki vilivyo uzunguka, ili tumuonyeshe baadhi ya Ishara zetu. Hakika Yeye ni Mwenye kusikia na Mwenye kuona. Historia inatuambia kuwa Jeshi la Waislam liliuchukua Mji wa Jerusalem panapo Mwaka 637 AD na Msikiti wa Al Aqsa ulimalizika kujengwa mwaka 705 AD. Tatizo linaanza namna hii: Inafahamika kuwa Muhammad Mtume wa Allah alifariki Mwaka 632 AD tarehe ya 8 na Mwezi wa 6, ambao ni Miaka 5 kabla ya Jeshi la Waislam kufika Jerusalem na ni miaka 73 kabla huo Msikiti wa Al Aqsa kujengwa. Jamani huu ni uongo wa wazi kabisa unao semwa kila siku na hawa Waislam kwa kupitia Allah wao ambaye sasa tunaweza sema k…

KUMBE QURAN IMEJAA SHAKA NA HAIPO WAZIWAZI

Je, madai ya kuwa Quran imekalika na ipo waziwazi ni ya kweli?Allah ateremsha aya na kudai kuwa, Quran haijakamilika na haipo waziwazi.Allah asema kuwa aya zingine ndani ya Quran hakuna ajua maana yake isipokuwa Allah.
Ndugu wasomaji;
Leo tutaangalia utata ulio jaa ndani ya Quran ambayo wanadhuoni wengi hudai kuwa imenyooka, huku Allah akiwapinga na kuteremsha aya ambayo inasema kuwa Quran haijanyooka na haipo waziwazi.
Kwanza tuanze kwa kuangalia aya ambayo inasema kuwa Quran ipo wazi na aya zake zimepambanuliwa ni uongofu kwa walio ongoka.
Surat HUD (11:1). Alif Lam Ra. Hiki ni Kitabu ambacho Aya zake zimewekwa wazi, kisha zikapambanuliwa, kilicho toka kwa Mwenye Hikima na Mwenye Khabari
Surat Al Anaam (6:114). Je, nimtafute hakimu ghairi ya Mwenyezi Mungu, naye ndiye aliye kuteremshieni Kitabu kilicho elezwa waziwazi? Na hao tulio wapa Kitabu wanajua ya kwamba kimeteremshwa na Mola wako Mlezi kwa Haki. Basi usiwe katika wanao tia shaka. Surat An nah’k (16:89). Na (waonye) …

SAA YA WOKOVU NI SASA!

NINI MAANA YA KUOKOKA?KUOKOKAni lugha ya kawaida kabisa, yenye maana ya; Kunusurika, kusalimika, kupona, kukombolewa, kufunguliwa au kutoka katika janga au hatari fulani.Ambavyo jamii yetu maneno haya tunayatumia sana,
NINI MAANA YA WOKOVU?Watu wengi neno hili wamelitafsiri vile wa pendavyo au waonavyo  sasa Swali hili acha lijibiwe na maandiko matakatifu, na maneno haya yasibadilishwe kwamba ni wakati gani wa kuokoka kitendo kikishamalizika cha kukiri kifuatacho ni uwokovu kwa mjibu wa neno, fuatilia hapa chini, Kwasababu ukimkiri Yesu Kristo kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu,UTAOKOKA. Kwa maana kwa moyo mtu huamini hata kupata haki, na kwa kinywa mtu hukiri hataKUPATA WOKOVU”. (Rum 10:9-10.)
Baada ya kumpokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wako, ni muhimu sana kupata mafundisho ya awali, yatakayokusaidia kujua kwa hakika, maana ya KUOKOKA au WOKOVU;“ili tusiwe tena watoto wachanga, tukitupwa huku na huku, na kuchukuliwa na kila …

WAISLAM WAMELAZIMISHWA KUFUNGA SWAUMU

Quran 2:183 Enyi mlioamini mmelazimishwa kufunga saumu kama walivyolazimishwa waliokuwa kabla yenu ili mpate kumcha mungu.
Aya hapo juu inatuambia kuwa, kumbe kufunga kwa ndugu zetu hawa ni kwa kulazimishwa na sio hiyari yao.
1. Wapi tunasoma katika Taurat kuwa Adam alifunga Ramadhani?
2. Wapi tunasoma katika Taurat kuwa Musa alifunga Ramadani?
3. Wapi tunasoma katika Taurat kuwa Ibrahim alifunga Ramadhani?
Ndugu zanguni, hii dini ni ya kujitungia na si kama wanavyo dai kuwa eti iliteremshwa na Allah. Kama kweli Allah ndie aliye iteremsha hii dini kwa Adam, sasa kwanini Adam hakufunga Ramadhani/Swaumu?
Zaidi ya hapo, kwanini katika mfungo hawa ndugu zetu wanakula Usiku kucha/daku? Wapi katika Taurat panasema kuwa watu wale Daku?
Waislam huwa wanatumia aya ambayo inasema kuwa Yesu alifunga, lakini hawasemi kuwa Yesu alifunga kwa siku ngapi na wala hakuna aya ambazo zinasema kuwa Yesu alikula Daku saa nane/kumi za usiku.
Zaidi ya hapo, hatusomi kuwa Yesu alianza kufunga pale alipo uona Mwe…

JE, IBADA ZA WAFU NI ZA KIBIBLIA?

Ukweli hakuna Andiko lolote lenye pumzi ya Mungu mahali popote linasomeka kuwakumbuka marehemu, iwe kwa dakika moja au kwa dakika mbili. Lakini lipo Andiko linasomeka, "wafu hawana Ijara tena katika nchi ya walio hai". Kwa hiyo kwa mujibu wa andiko hilo, hata misa za wafu HAZIRUHUSIWI, ikimaanisha arobaini za marehemu wote hazina nafasi ndani ya Neno la Mungu.
WAFU/MFU NI NANI? Utangulizi:-Neno wafu ndani ya Biblia limetumika likiwa na Maana zaidi ya moja, Linaweza kutumika kama
i.Ni hali ya Roho kutengana na mwili yaani Kifo cha mwili.(Luka 8:55, Muhubiri 9:5)
ii.Ni hali ya Mtu kutengana na Mungu au kuvunja uhusiano mwema na Mungu (Kutenda dhambi) yaani Kifo cha Kiroho (Ayubu 21:25)
Kifo cha kiroho. Kuna aina tatu ya wafu katika eneo hili ambayo mtu anaweza kufa kiroho lakini bado anaendelea kuwa hai kimwili. Huyu anaweza akatubu na kufufuka katika wafu akawa hai tena .Pia mtu anaweza kufa kiroho na kimwili maana yake Roho imekufa na mwili umekufa hana nafasi ya kutubu tena. (Uf…

WAKRISTO JIEPUSHENI NA SALAAM MNAYOSALIMIWA NA WAISLAMU

Imekuwa ni desturi kuwasikia, au kumsikia Muislamu, akimsalimia Mkristo, Sam aleykum (سم عليكم) Kwa Mkristo ambae hajui kitu, huitikia kwa haraka, Wa'alaykum Ssalaam, matumaini yake yote ni kuwa, amepewa salamu, ambayo waislamu wote husalimiana,
Yaani السلام عليكم (ASsalaam aleykum) Wakimaanisha, Amani ya Allah iwe juu yenu... Mkristo mwenzangu, tambua kuwa, Muislamu abadani akijua wewe ni Mkristo, hawezi kukusalimia السلام عليكم (ASsalaam Aleykum) yaani kukutakia amani ya mungu, muabudiwa na waislamu, bali yeye muislamu humsalimia Mkristo kwa kusema:-
Sam Aleykum (سم عليكم) yaani akiwa na maana kwa kiswahili, "Mauti iwe juu yenu" hiyo ni kwa wengi, kama ni Mkristo mmoja basi husalimiwa kwa kuambiwa:-
Sam Alaika (سم عليك) Maana yake, "Umauti uwe juu yako" Sasa hapo Mkristo pasina kujua anaitikia kwa uchangamfu, akidhani anapewa Salaa nzuri, kumbe anatakiwa mauti
(Hastahili kuishi)...
Kwa hivyo kuanzia Leo, unaposalimiwa na muislamu, Sam aleykum, basi mjibu tu kwa…