Posts

Showing posts from May, 2015

SUPPORT MAX SHIMBA MINISTRIES

Dealing With The Strongman

Isa 49:24 Shall the prey be taken from the mighty, or the lawful captive delivered? 25 But thus saith the Lord, Even the captivesof the mighty shall be taken away, and the prey of the terrible shall be delivered: for I will contend with him that contendeth with thee, and I will save thy children. 26 And I will feed them that oppress thee with their own flesh; and they shall be drunken with their own blood, as with sweet wine: and all flesh shall know that I the Lord am thy Savior and thy Redeemer, the mighty One of Jacob. Psm 124: 7 Our soul is escaped as a bird out of the snare of the fowlers: the snare is broken, and we are escaped. Psm 56:9 When I cry unto thee, then shall mine enemies turn back: this I know; for God is for me. Psm 91: 13 Thou shalt tread upon the lion and adder: the young lion and the dragon shalt thou trample under feet. Psm 18: 37 I have pursued mine enemies, and overtaken them: neither did I turn again till they were consumed. 38 I have wounded them that they w…

Njoo kwa Yesu

Kata shauri Wote wanaotegemea kutii sheria wapo chini ya laana, maana imeandikwa:Kwa maana wote wanaotumainia matendo ya sheria, wako chini ya laana, kwa kuwa imeandikwa, Amelaaniwa mtu yule asiyeshika na kutii mambo yote yaliyoandikwa katika kitabu cha sheria. Basi ni dhahiri kwamba hakuna mtu ye yote anayehesabiwa haki mbele za Mungu kwa sheria, kwa maana, Mwenye haki ataishi kwa imani. Lakini sheria haitegemei imani, kinyume chake, Ye yote atendaye matendo ya sheria ataishi kwa sheria. Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kufanyika laana kwa ajili yetu, kwa maana imeandikwa, Amelaaniwa yeye aangikwaye juu ya mti (Wagalatia 3:10-13). Yesu alikufa msalabani kwa ajili yetu, akalipa deni ya dhambi kikamilifu, na akafufuka toka wafu. Iwapo tunaweza kusalimisha maisha yetu kwake Yesu Kristo, Ana tuhaidi kutusamehe na kutusafisha kutoka na dhambi zetu zilizo pita zote. Ana tuhaidi kutupa sisi nguvu juu ya dhambi wakati wa sasa, na Ana tuhaidi siku za usoni kuwa pamoja na Y…

Mtume Muhammad alikuwa Mtenda Dhambi

Wakati Biblia inasema Yesu alikuwa hana dhambi, hivi ndivyo Kuran na Bukhari Hadith zinavyosema kuhusu Muhammad. 
1. Hebu tuanze kusoma Sahih hadith kuhusu Muhammad wa kwenye Quran.
Muhammad pamoja na watu wake waliteka nyara misafara ya wafanya biashara na wasafiri mbalimbali. Bukhari juzuu ya 3 kitabu cha 37 sura ya 8 na.495 uk.280 inasema "wakati Allah alipomfanya mtume kuwa tajiri kutokanana na ushindi" 1/5 ya mateka ya vita iliwekwa katika hazina na Sahih Muslim juzuu ya 2 kitabu cha 5 sura ya 401 na.2348 uk.519 inasema familia ya Muhammad ilikuwa na hisa ndani yake. Utekaji nyara wa mali za watu wa kwanza kufanywa na Waislam ulijulikana kama Nakha la Raid. Wakati wa mwezi wa kusimamisha vita kwa muda, wafuasi wake waliushambulia msafara kwa kuuvamia na kuua mtu mmoja, na kuwafanya watu waliosalia kuwa watumwa, na kuchukua nyara. Muhammad mwenyewe aliongoza uvamizi wa pili pale Badr. Muhammad aliongeza utajiri wake kwa kuyashambulia makazi ya Wayahudi ya Khaibr. Yeye n…

Je Korani inawasifia Wakristo?

Wakristo wamo ndani ya Korani, na mara nyingi wanaitwa “Watu wa Kitabu kile” Huu ni utambulisho wa watu walioyapokea na kuyaamini maandiko yaliyotangulia. 

1. Korani huwabariki Wakristo:

“Hakika utawakuta walio shahidi kuliko watu katika uadui kwa walioamini Mayahudi na washirika. Na utawakuta walio karibu mno kwa mapenzi wale wanaosema sisi ni manasara. Hayo ni kwa sababu japo miongoni mwao makasisi na wamonaki. Na kwa sababu wao hawafanyi kiburi” (Korani 5:82).
“Enyi mlioamini kuwa ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu, kama walivyosema Isa bini Mariamu kuwaambia wanafunzi wake nani wasaidizi wangu kwa Mwenyezi Mungu? Basi taifa moja la Wana wa Israel liliamini na taifa linguine lilikufuru. Basi tutawaunga mkono walioamini dhidi ya maadui zao wakawa wenye kushinda" (Korani 61:14).
"Semeni ninyi: tumemuamini Mwenyezi Mungu na yale tuliyotelemshiwa sisi, na yaliyotelemshwa kwa ibrahimu na Ishmaili na Isihaka na Yakobo na wajukuu zake, na waliyopewa na Musa na isa, na pia waliyopewa M…

Neema katika Injili

UtanguliziUkurasa huu umeandikwa katika njia ya kusudi ya habari za Isa (Yesu) kwa Waislam, kutokana na mtizamo wao wa Kikuran. Ni injili ya Yesu (Injil) inayo elezwa kwa Waislam. Katika Injili Yesu anahusu dhabihu ya Mungu kwa ajili ya dhambi zetu. Karamu ya sadaka Kuelewa sadaka ni ya muhimu kuangalia katika historia kuhusu sikukuu ya sadaka (Aid-Al-Adha) ambayo ni sikukuu ya Waislam. Sherehe wakati Mungu alimwita Ibrahimu (Ibrahim) kutoa mwana wake kama sadaka. Hii inatuambia ilivyo muhimu sana kuhusu asili ya sadaka ya kweli kwake Mungu. Mwana - kondoo alikufa badala ya mtu ili kwamba wawe huru tokana na hukumu ambayo ingekuja juu yake. Kifo cha mwana - kondoo kilikubalika na Mungu kama toleo la sadaka (Fidia) katika nafasi ya yule aliye hukumiwa kifo. Mwana angetolewa tena maana mwana- kondoo alichukua mahala pake. Hangepata hii hukumu tena sababu Mungu amejipatia Mwenyewe mwana- kondoo wa sadaka iliyoweza kukubalika kama toleo machoni Mwake. Kuran inasema hivyo pia. Fidia inamaa…

Yesu katika Kuran

UtanguliziHuu ukurasa umeandikwa katika njia iliyokusudiwa habari za Isa (Yesu) kwa Waislam, kutokana na mtizamo wa Kikuran.Tafadhali angalia Kuran yako mwenyewe na ukathibitishe uamuzi ufuatao. Katika Kuran Yesu siye Mungu, mwana wa Mungu au bwana aliyekufa msalabani. Yesu yuko katika Kuran kama nabii ambaye ujumbe wake Wayahudi waliukataa. Yeye anaitwa Masihi, lakini hii ina maanisha yeye ni mjumbe kutoka kwa Mungu (Kuran 4:171). Yeye alileta Injili (Kuran 57:27). Ufafanuzi juu ya miujiza ya kuzaliwa kwa Yesu Jambo la muhimu sana la tabia ya maisha ya Yesu ni kushikwa mimba na kuzaliwa kwake, inayopatikana katika Kuran 19:16-26. Kwa hivyo Yesu alizaliwa kimuujiza sababu ilitendeka pasipo nguvu za kiume. Muuijiza wa kuzaliwa kwa Yesu inaleta swali: Je Yesu ni binadamu au ni Mungu? Je Yesu alikuwa tu binadamu kwa sababu aliuumbwa kama Adamu? Ndiyo, kwa kweli, katika Kuran 3:59 tuna soma umoja kati ya kuzaliwa kwake Adamu na kuzaliwa kwake Yesu: Usawa wa Yesu mbele zake Mungu ni ile ya…

Kwa nini imani ya Kikristo ni bora zaidi ya Kiislamu?

1. Utangulizi
Kuamini juu ya Mungu Mmoja, ni imani katika Uwepo wa Utendaji wa Mungu mmoja [1]. Dini za Kiyahudi, Kikristo na Kiislamu hutofautiana na dini zingine kwani wao wanaamini katika nafsi ya Mungu [2]. 
Dini zinazoamini juu ya Mungu mmoja ni dini zilizo bora zaidi ya dini zingine kwa sababu wao wanaufunua Umoja wa Mungu pasipo ubaguzi wowote. Dini ya Kiyahudi imefungamana na Utaifa, wakati dini ya Kiislamu inahusiana na elimu dunia. Imani ya Kikristo haihusiani na Utaifa kama ilivyo imani ya Kiyahudi tena iko huru mbali na elimu dunia iliyoko kwenye uislamu. Hivyo basi Imani ya Kikristo ndio imani iliyo safi zaidi ya imani zote zingine zinazoamini katika Mungu mmoja [3]. 
Kwa sababu Uislamiu ni dini yenye kutumia tafakari ya kiakili, yenye kujitoa, yenye falsafa ya kupendwa, na ni dini ya kihujuma.
Imani ya Kikristo haswa imejengwa katika kuthamini uadilifu kwa kiwango cha juu sana, zaidi ya Uislamu kama ilivyo kwenye Mathayo 5. Katika imani ya Ukristo kila kitu kinachofanyika …

Kwanini Mkristo anauhakika wa kwenda Paradiso zaidi ya Muislamu?

1. Je, Kurani inatoa uhakika kwa Waislamu?
Kurani inatengeneza tu mazingira ya mashaka kuhusiana na kuingia Paradiso au hapana. Muislamu hanauhakika wa kuiepuka jehanamu ya moto:
“Hao wanao waomba, wao wenyewe wanatafuta njia ya kwendea kwa Mola wao Mlezi - hata miongoni mwao walio karibu mno - na wanataraji rehema zake na wanaikhofu adhabu yake. Hakika adhabu ya Mola wako Mlezi yafaa kutahadhari nayo” (Kurani 17:57).
Waislamu hufikiria kwamba hawawezi kuwa na uhakika kuhusiana na kwenda Paradiso, kwa sababu Kurani inasema Mola huamua na mwanadamu hawezi kujua kwamba ameokoka:
"Basi yule ambaye mizani yake itakuwa nzito, Huyo atakuwa katika maisha ya kupendeza. Na yule ambaye mizani yake itakuwa khafifu, Huyo maskani yake yatakuwa Moto wa Hawiya! Na nini kitacho kujuilisha nini hiyo? Ni Moto mkali!" (Kurani 101:6-11).
Muislamu hana uhakika ni upande gani anaohusika nao. Mola alimuumba mwanadamu kufanya wema au uovu:
"Hujui ya kwamba Mwenyezi Mungu anao ufalme wa mbing…