Posts

Showing posts from September, 2014

SUPPORT MAX SHIMBA MINISTRIES

WANAWAKE KUMTUMIKIA MUNGU

Ni uongo wa Shetani kwamba wanawake hawawezi kuwa Watumishi wa Mungu, wakahubiri, wakafundisha, wakatoa pepo au kumtumikia Mungu kwa namna nyinginezo.  Wanawake kumtumikia Mungu, ni jambo la Ki-Biblia hasa. 
Nyakati hizi za mwisho, Roho wa Mungu atamwagwa kwa WOTE, binti watatabiri (kuhubiri ni kutabiri pia) na Roho huyu wa Mungu atamwagwa kwa WATUMISHI WA MUNGU WANAUME NA WANAWAKE (MATENDO 2:17-18).  
Nyakati za Kanisa la Kwanza, wanaume na wanawake, wote walikuwa watendakazi, wakilihubiri Neno na kulifundisha (MATENDO 8: 1, 4).  Inatupasa kufuata mfumo huu wa ki-Biblia.  Mara kwa mara, katika Biblia, wanawake, wamekuwa na ujasiri wa kumtumikia Mungu na kuwa wanyenyekevu na watii kwa Yesu Kristo na Neno lake, kuliko wanaume.  Hapa tunaona wanawake waliomfuata Yesu kutoka Galilaya, karibu maili 100 kutoka Yerusalemu, wakija kumtumikia Yesu.  Hapa msalabani, hawakuwako wanafunzi wale kumi na moja wa Yesu kasoro Yohana (YOHANA 19: 25-26).  Wengi walikuwa wanawake waliokuwa wakijipiga vifu…

Do you think Kadhi’s courts should be part of the new Tanzanian Constitution?

The current debate is about whether or not these “Kadhi” courts should be entrenched in the new constitution of Tanzania.

Confrontations rivalry on the mainland (Tanganyika) between the Muslims “minority” who are 35% and the Christians “majority” who are more than 55% have flared up frequently in the past few years. These exasperating tensions are too complex to be labeled as a fundamental antagonism based on religion. Neither Muslims nor Christians (in Tanganyika and Zanzibar) form a homogeneous block.

The endless debate in the "Bunge Maalum", which has focused itself on the (Mahakama ya Kadhi) kadhi’s courts and the constitutional review, has allowed extreme elements from both sides to speak out with great vehemence potency and so increased tensions between the two communities. It has crystallized the perceived hurts and prejudices that have lain under the surface of a thin veneer of mutual tolerance. Aspects of the entire situation must be examined for the influence of poli…

Je, Mkristo anapaswa kufanya nini kama yeye ameolewa na asiyeamini?

Kuoleka na kafiri inaweza kuwa mojawapo ya changamoto ngumu sana katika maisha ya Mkristo. Ndoa ni agano takatifu ambalo linaunganisha watu wawili pamoja katika mwili mmoja (Mathayo 19:5). Inaweza kuwa vigumu sana kwa muumini na kafiri kuishi kwa amani na umoja (2 Wakorintho 6:14-15). Kama mpenzi mmoja anakuwa Mkristo baada ya ndoa, mapambano asili ya kuishi chini ya mamlaka aina mbili tofauti huwa huwa dhahiri.
Mara nyingi Wakristo katika hali hii hutafuta njia ya kujinazua kutoka kwa ndoa, wakiamini kwamba hii ndio njia pekee ya kweli ambayo italeta utukufu kwa Mungu. Neno lake, hata hivyo, linasema kinyume chake. Ni muhimu sana kutoridhika na hali yetu pekee, bali pia kutafuta njia ya kuleta utukufu kwake mbali na changamoto zetu (1 Wakorintho 7:17). Biblia hasa inahusu wale ambao wameolewa na wasioamini katika 1 Wakorintho 7:12-14: "... iwapo ndugu mmoja ana mke asiyeamini, na mke huyo anakubali kukaa naye asiwmeache. Na mwanamke ambaye ana mume asiyeamini, na mume huyo anakub…

Je, kutakuwa na ndoa mbinguni?

Biblia inatuambia, "Kwa maana katika kiyama hawaoi wal hawaolewi, bali huwa kama malaika mbinguni"(Mathayo 22:30). Hili lilikuwa ni jibu la Yesu alipokuwa akijibu swali la kuhusu mwanamke ambaye alikuwa ameolewa mara nyingi katika maisha, yeye ataolewa na nani mbinguni (Mathayo 22:23-28)? Ni wazi kwamba, hakutakuwa na kama ndoa mbinguni. Hii haimaanishi kwamba mume na mke hawatambuana mbinguni. Hii pia haina maana kwamba mume na mke hataweza kuwa na uhusiano wa karibu mbinguni. Chenye inatuonyesha ni kuwa mume na mke hawataoana tena mbinguni.
kuna uwezekano mkubwa zaidi, hakutakuwa na ndoa mbinguni kwa sababu hatutajitaji ndoa. Wakati Mungu alianzisha ndoa, alifanya hivyo kutimiza mahitaji fulani. Kwanza, aliona kwamba Adamu alikuwa na haja ya mwaharusi. "Mungu Bwana akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye" (Mwanzo 2:18). Hawa alikuwa suluhizo kwa tatizo la upweke wa Adamu, kama vile haja ya kuwa na "msaidizi," mtu am…

Bibilia inasema nini kuhusu ndoa?

Mwanzo wa ndoa umenakiliwa katika Mwanzo 2:23-24: “Adamu akasema, Sasa huyu ni mfupa katika mifupa yangu na nyama katika nyama nyangu, basi ataitwa “mwanamke,” kwa maana ametwaliwa katika mwanamume. Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.” Mungu alimuumba mwanamume na kisha baadaye akamuumba mwanamke ili amkamilishe mwanamume. Ndoa “iliwekwa” na Mungu kwa sababu kuwa “si vema huyo mtu awe peke yake” (Mwanzo 2:18).

Neno “msaidizi” limetumika kumwelezea Hawa katika Mwanzo 2:20 lamaanisha “kumzunguka, kumkinga, kumsaidia.” Hawa aliumbwa awe kando ya Adamu kama “nusu yake” awe msaidizi wake. Mwanamume na mwanamke, wakati wameoana wanakuwa “mwili mmoja.” Huu umoja umedhihirishwa mara nyingi katika tendo la ndoa. Agano Jipya inaongeza onyo kuhusu umoja huu. “Hata wamekuwa si wawili tena, bali mwili mmoja. Basi aliowaunganisha Mungu, mwanadamu asiwatenganishe” (Mathayo 19:6).

Kunayo nyaraka nyingi za mtume Paulo zenye zinahusu nd…

Apostle Tudor Bismark Demon Possession 1/1

What is Freemasonry and what do Freemasons believe?

Please note - by this article, we are not claiming that all who are involved in Freemasonry are cultists, or that all Freemasons believe all the items mentioned below. What we are saying is this - Freemasonry at its core is not a Christian organization. There are many Christians who have left Freemasonry after discovering what it is truly all about. Please visit Ex-Masons for Jesusfor more information. There are also good and godly men, true believers in Christ who are Freemasons. It is our contention that this is because they do not truly understand Freemasonry. Each person should pray for wisdom and discernment from the Lord as to whether to be involved with Freemasonry. This article was reviewed and approved for accuracy by a former Worshipful Master of a Blue Lodge.
Question: "What is Freemasonry and what do Freemasons believe?"

Answer:
Freemasonry,Eastern Star, and other similar "secret" organizations appear to be harmless fellowship gatherings. Many of them appe…

ARE THE JEHOVAH'S WITNESSES CHRISTIAN?

In the world of ministry to the cults, some things become abstract definitions of things rather than understandings of people. I have to admit my relationship with the Jehovah's Witnesses had long slipped into that category until one night when my oldest son, Josh, slipped into my study with a worried look.
"Dad," he quietly began, "I have a real problem at school and I need your help." I smiled, wrongly thinking we were going to deal with some errant test score. "I've become good friends with a classmate who is a Jehovah's Witness," he continued. "He has tried to witness to me and I let him know that I'm a committed Christian, but I don't know how to share my own faith with him so that he would see the difference."
I felt like a Bus Driver whose children needed a ride and couldn't get one. I dusted off several of the books on the Witnesses that were there on the library shelf but soon realized that I needed to get down to …