Posts

Showing posts from June, 2014

SUPPORT MAX SHIMBA MINISTRIES

Je Mungu aliumba maovu?

Mwanzo yaweza oneekana ya kwamba ikiwa Mungu aliumba vitu vyite, kwa hivyo hata uovu uliumbwa na Mungu. Ingawaje uovu siyo “kitu” kama mwamba au umeme. Huwezi kuwa na ghala la uovu. Ouvu hauwezi kujitegemea; ni kutokuwa na uzuri halisi. Kwa mfano, shimo ni kitu wazi, lakini linaweza kuwa kitu kingine. Tunaita ukesefu wa ugumu shimo, lakini haiwezi tenganishwa na ugumu. Kwa hivyo wakati Mungu aliumba, ni kweli kwamba vyote alivyo viumba vilikiwa vizuri. Kati ya kitu kizuri Mungu aliumba, vilikuwa viumbe vyenye uhuru wa kuchagua lililo jema. Ili tuwe na chaguo halisi, Mungu aliweza kuruhusu kuwepo na jambo kando ya jambo jema ili kuwepo na chaguo. Kwa hivyo Mungu aliruhusu hawa malaika huru na wanadamu kuchagua jema ama kukataa lililo jema (uovu). Wakati uhusiano upo kati ya vitu viwili vizuri, huwa tunasema kwamba huo ni uovu, lakini hiyo haiwezi kuwa “kitu” kilicho mlazimisha Mungu kukiumba.
Hata elezo zaidi litazaidia. Ikiwa mtu ameulizwa, “Je baridi huwepo?” pengine jibu litakuwa “n…

Nani alimuumba Mungu?

Mungu alitoka wapi?
Wazo la pamoja la wasiomwamini Mungu na wanaomshuku Mungu, ni kama vitu vyote vinaitaji mwanzo, kwa hivyo Mungu lazima ahitaji mwanzo. Kaauli yao ni Mungu anaitaji mwanzo, kwa hivyo Mungu si Mungu (na kama Mungu si Mungu, kwa hivyo hakuna Mungu). Hii ndio njia ya kutatanisha sana kwa swali la namna hii “Nani alimuumba Mungu?” kila mmoja anajua kuwa hakuna kitu kinaweza kutoka mahali wazi. Kwa hivyo kama Mungu ni “kitu” kwa hivyo lazima awe na aliye muumba, kweli?
Swali hili latatanisha kwa sababu linaingiza dhana ya kupotosha ya kuwa Mungu alitoka mahali na kuuliza, mahali hapo panaweza kuwa wapi. Jibu kwa swali hili halina maana. Ni sawa na kuuliza, “Rangi ya samawati huwa na harufu gani?” Samawati si kikundi cha harufu, kwa hivyo swali limekuwa na dosari. Vile vile Mungu hayuko kwa kikundi cha vitu vilivyoumbwa ama kutengezwa. Mungu hawezi kuumbwa au kutengezwa, huwa anaishi.
Tunawezaje kujua haya? Tunajua kutoka uwazi, hakutoki kitu. Kwa hivyo kama kulikuwa na w…

ALLAH ATEREMSHA UCHAWI NA KUMROGA MTUME MUHAMMAD

Nimenukuu quran aya ya 2:102 na maelezo/ufafanuzi wake hapo chini kutoka tafsiri mbili za quran (Tafsiri ya Sheikh Abdullah Saleh Al-Farsy na Tafsiri ya Sheikh Ali Muhsin Al-Barwani). Aya hii na maelezo/ufafanuzi wake inaonesha mambo yafuatayo: (a) Uchawi umeteremshwa na malaika wa Allah (b) Kuna wachawi wa kiislam. (c) Uchawi ni amali ya ukafiri
Pia, kwa mujibu wa Sahih Bukhari juzuu ya 4, Kitabu cha 54, Hadithi namba 490 na Sahih Bukhari, juzuu ya 7, kitabu cha 71, hadithi namba 658; Muhammad alirogwa na akazurika na uchawi. Kisa cha mtume kurogwa na kuzurika na uchawi pia kinasimuliwa katika quran Tafsiri ya Sheikh Abdullah Saleh Al-Farsy ukurasa wa 977 na 978.
Swali (a) Ikiwa uchawi ni ukafiri, Kuna uhusiano gani kati ya Allah na ukafiri mpaka atelemshe uchawi?
(b)Mtume Muhammad alirogwa na wachawi wa kiislam au wachawi wengine?
(c) Mtume Muhammad alirogwa na uchawi ulioteremshwa na malaika wa Allah au uchawi mwingine?
(d) Mtume au nabii gani mwingine alirogwa na akaathirika na u…

KUSHEREKEA MAULID YA MTUME MUHAMMAD NI UPAGANI

Natanguliza maswali kwa waislam:
(a)Aya gani ya quran au hadithi gani inawaagiza kufanya sikukuu au sherehe ya Maulid ya Mtume?
(b)Nini adhabu ya watu wanaotunga kitu kama Maulid na kukiingiza katika dini?
UTANGULIZIUpagani wa maulid unadhihirika kwa kuangalia maeneo makubwa matatu:
(a) Historia ya Maulid.
(b) Kutokuwepo kwa uhakika wa tarehe aliyozaliwa mtume Muhammad kutoka kwenye quran au hadithi
(c) Ushahidi wa wanazuoni juu ya upagani wa maulid.
(a) HISTORIA YA MAULID Historia hii inatuonesha vitu vitatu vya msingi:
(i) Si Muhammad wala maswahaba walisherekea Maulid
(ii) Maulid ilianza miaka zaidi ya mia tatu baada ya mtume.
(iii) Waanzilishi wa Maulid wana nasibishwa na kizazi cha wakanaji Mungu (Wapagani na makafiri).
Yeyote mwenye kutazama maisha ya Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na historia ya Maswahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum), Taabi‘iyna na waliowafuata kwa wema mpaka kufikia zaidi ya mwaka wa 350 Hijri hatumuoni hata mwanachuoni mmoja wala mahakimu (viongoz…

UKRISTO NI NINI? WAKRISTO HUAMINI NINI?

Image
========================================================
Ndugu wasomaji, leo nitajibu swali hili ambalo Waislam wamekuwa wakiuliza kila siku na kutaka kufahamu, Je Ukisto ni dini? Je, Ukristo ni nini?
Basi ugana nami kati hii mada ya kuufahamu Ukirsto ni nini na Mkristo ni tmu gani.

Katika Wakorintho wa kwanza 15: 1-4 inasema, “Tena ndugu zangu, ninawatangazia tena ile injili ambayo nimekwisha kuwahubiri ambayo mmeipokea nakusimama ndani yake; ambayo kupitia hiyo mmeokolewa mkiendelea kukumbuka yale niliyowahubiri msije mkawa mmeamini bure. Kwa kuwa niliwapatia kwanza kile nilichokuwa nami nimepokea, kwa jinsi ile Yesu aliyokufa kwa ajili ya dhambi zetu kulingana na maandiko; na akazikwa, hatimaye akafufuka tena siku ya tatu kulingana na maandiko.

Kwa kifupi hii ndiyo imani ya kikristo. Ukristo ni imani maalum kulinganisha na nyinginezo, Kwa sababu inasimamia zaidi ushirika na Mungu kuliko matendo ya kidini. Kinyume na kushikilia orodha ya masharti ya fanya haya na usif…

Atheists Are Stupid

Does the Bible prophesy the coming of Muhammad?

Image
Answer:There are three primary passages in the Bible that Muslims often point to as prophecies of the coming of Muhammad:Deuteronomy 18:15-22,Song of Solomon 5:16, andJohn 16:5-11.

First, in regards toDeuteronomy 18:15-22, the immediate context of this passage refers back to verses 9-14. There Moses warns the people of the danger of false prophets. God's people are to avoid any and all who presume to speak authoritatively about spiritual truth apart from God’s truth. What is God’s truth? Verse 15 says a particular prophet will arise from the Jews (i.e., “your own brothers”) who will be like Moses. Notice that it's not just any prophet, as there have been many, but a special prophet. People who studied and believed the Old Testament writings were looking for this particular, special prophet. In fact, some Jewish leaders thought the fiery preacher John the Baptist might be the fulfillment of Moses' prophecy (seeJohn 1:19-30). John the Baptist, however, said that he was the fo…

How can I, a Muslim, become assured of paradise?

Image
Answer:“Whoever believes in the Son has eternal life, but whoever rejects the Son will not see life, for God’s wrath remains on him” (John 3:36).

Jesus said, “For what shall it profit a man, if he shall gain the whole world, and lose his own soul?” (Mark 8:36). Life on earth is short. No matter how prosperous, life is tragic if it ends in eternal separation from God.

Jesus warned that the way to heaven is hard: "Enter by the narrow gate. For the gate is wide and the way is easy that leads to destruction, and those who enter by it are many. For the gate is narrow and the way is hard that leads to life, and those who find it are few. Beware of false prophets, who come to you in sheep's clothing but inwardly are ravenous wolves” (Matthew 7:13-15).

The Bible tells us how we can enter the narrow gate and be assured of paradise.

Can good works earn me a place in heaven?
Many people think following God’s laws and doing good works will get them into heaven. Muslims, for example, strive to…

Can keeping the Five Pillars of Islam get me to heaven?

Image
Answer:Because God is just, He will punish sin – regardless of how well you keep the Five Pillars.

As a Muslim, you long to reach paradise after you die. But as a sinner, how will you escape God’s judgment? You may think, “My faithfulness in keeping the Five Pillars may outweigh my sins. Hopefully, God will admit me to paradise.”

You strive to keep the Five Pillars of Islam. Five times a day you kneel toward Mecca. The creed (shahadah) often forms on your lips. You bring no bread or water to your mouth during the daylight of Ramadan. You are saving up money for the pilgrimage to Mecca and are freely giving alms to the poor.

But still you question, “Is keeping the Five Pillars enough?”

Your conscience convicts you of failing God’s standard of holiness. How could the holy God accept to paradise someone stained with even a little sin?

Only one sin caused the first man’s downfall. Adam’s sin was not a “big sin” like adultery, murder, or blasphemy. By eating the forbidden fruit, Adam brought th…

JE MUNGU WA WAISLAMU (ALLAH S.W) NA MUNGU WA WAKRISTO (YEHOVA) NI MMOJA?

UTANGULIZI.
Imekuwa ni kawaida sasa kwa miaka zaidi ya ishirini hivi, kusikia katika mihadhara inayoendeshwa na wahadhiri wa dini ya Uislamu, ambayo imeenea sehemu mbalimbali Duniani na haswa katika nchi za Africa Mashariki na Kati,(East and Central Africa). Wahadhiri hao hufundisha jamii kupitia Qurani na Biblia kwa kusema kuwa Mungu ni Mmoja tu. Wasema Mungu kwa Kiebrania anaitwa Yehova , kwa Kiarabu Allah, kwa Kiingereza God na kwa Kiswahili ni Mungu. Kwa hivyo wasema Mungu Allah kama Qurani inavyofundisha, ndiye Yehova kama Biblia inavyofundisha. Mihadhara hiyo inayoendeshwa na Waislamu imeenea sana, mfano Nchini Tanzania kuna vikundi vingi na kimoja wapo kinaitwa Al-Marid International Propagation Center. Hawa wameandika katika bango lao kwa kunukuu katika Biblia maneno aliyoandika Mtume Paulo katika Waefeso 4:4-6. Maneno waliyoyanukuu yanasema hivi “Bwana mmoja , Imani moja ….., Mungu mmoja , naye ni Baba wa wote, aliye juu ya yote. Nilipotembelea mkoa wa Morogoro pale mjini, en…