Posts

Showing posts from May, 2014

SUPPORT MAX SHIMBA MINISTRIES

Saying “KAFFIR” is a punishable offence in South Africa

Image
Extracts from legal and court papers below: REPORTABLE IN THE HIGH COURT OF SOUTH AFRICA (EASTERN CAPE, GRAHAMSTOWN)
CASE NO: CA 165/2008 In the matter between MIETA M RYAN Appellant
VS RODWIN PETRUS Respondent

Sauti ya Kuzimu

Image
Kikundi cha wanajiolojia watafitiKatika makala haya, tutaangalia jinsi wanasayansi wa kawaida, tena ambao walikuwa hawaamini  kabisa kwamba kuna Mungu au shetani, katika utafiti wao ambao haukuwa na uhusiano wowote na masuala ya rohoni, walijikuta wanagundua mambo ambayo yaliwatia hofu hadi wengine kukimbia kazi. Waliweza kusikia waziwazi sauti za vilio vya mateso kutokea katikati ya dunia! Sauti hizo walizirekodi; na mwisho wa makala haya utaona anwani inayoweza kukupeleka kuzisikia sauti hizo za kutisha na kusikitisha mno, mno!!Ni nani ambaye hajasikia habari za kwamba wanga huenda baharini, wakatupa mayai viza kisha malango yanafunguka nao wanashuka hadi kuzimu? Bila shaka habari hizi si ngeni masikioni mwa wengi wetu? Ni mambo ambayo ni rahisi kuaminika katika ulimwengu wa kawaida lakini unapoyaongelea kwa mtazamo wa Biblia, hapo watu wanaanza kukosa imani na kudhani kuwa si za kweli.Makala haya yanatokana na habari ambayo iliandikwa katika gazeti la Ammennusatia la kule Finland k…

YESU WA BIBLIA SIO ISSA WA KURUAN

YESU WA WAKRISTO SIO ISSA WA WAISLAM **************************************************************************************** JE, ISA BIN MARYAM NI JINA SAHIHI LA YESU WA BIBLIA? +++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++ Katika somo letu hili tutajifunza kuhusu jina sahihi la Yesu/Yashua na tafsiri yake katika Kiarabu. Je, Isa ni jina la Yesu wa Biblia?
Jibu sahihi la kihistoria na la wataalam wa kutafsiri litatupa ukweli halisi wa Jina la Yesu na kwanini alipewa Jina hilo katika " sherehe ya kumtaja " (Luka 2:21). Jina ambalo aliitwa na Mama yake, Baba yake wa Kambo, Ndugu zake na jamaa wengine, majirani zake , marafiki zake na wanafunzi wake wakati wa maisha yake duniani. Hakuna kutokuelewana kuhusu ukweli kwamba jina la Yeshua halikuwa la Kiarabu bali la Kiyahudi na Yesu/Yeshua mwenyewe aliishi katika Israeli, na alizaliwa katika familia ya Wayahudi wacha Mungu.
Jina la Yesu bila ya shaka yeyote ile ni la Kiyahudi. (Maana yake ni “kweli”). Tafsir ya jina la Yeshua…

UKANAJI MUNGU NI NINI?

“Ukanaji Mungu wazi,” pia waitwa “theolojia wazi” na uwazi wa Mungu,” ni jaribio la kuelezea ufahamu kuhusu Mungu kulingana chuguo huru la mwanadamu. Pingamizi la ukanaji Mungu wazi hasa ni huu: wanadamu wako huru kabisa; ikiwa Mungu alijua hatima, wanadamu hakika hawangekuwa huru. Kwa hivyo, Mungu kabisa hajui kila kitu kuhusu kesho. Ukanaji Mungu wazi washikilia kuwa kesho haijulikani. Kwa hivyo Mungu anajua kila kitu ambacho kinaweza julikana, lakini hajui kesho.
Ukanaji Mungu wazi waweka imani yao katika misingi ya kurasa za maandiko ambazo zaelezea Mungu “anabadilisha mawazo yake” au “kushangaa” au “kuonekana kupata hekima” (Mwanzo 6:6; 22:12; Kutoka 32:14; Yona 3:10). Kwa mwangaza wa maandiko mengine mengi ambayo yaelezea ufahamu wa Mungu wa kesho, maandiko haya lazima yaeleweke kama Mungu anajielezea kwa njia ambazo hatuwezi kuzielewa. Mungu anajua vile hatua zetu na maamuzi yatakuwa, lakini “Anabadilisha mawazo yake” kulingana na hatua yake ikitegemea hatua yetu. Chukizo la Mu…

USHAIDI WA BIBLIA NA KURUAN (SEHEMU YA PILI)

Ndugu wasomaji: Leo ningependa tujifunze sifa za Mungu kupitia Biblia na Kuruani kama ushaidi zaidi wa Umungu wa Yesu.

Hapa chini nitaziweka sifa na au adhama za Mungu na tutaziangalia kama hizo zote zipo kwa Yesu Kristo.

1 Mungu ni wa milele
2 Mungu ndiye muumbaji,
3 Mungu yupo mahali popote,
4 Mungu ndiye anaye samehe dhambi za watu,
5 Mungu anajuwa na kufahamu yote hata yaliyomo mioyoni mwetu,
6 Mungu ni Nuru ya Mbinguni na Duniani
7 Mungu ndiye anaye watuma Mitume na Manabibii!
8 Mungu anauwezo wa kujidhihilisha (kuonekana) na tena mngu ni wa sili (kuto onekana)

JE, YESU WA KWENYE BIBLIA ANAZO HIZO SIFA?

1 MUNGU NI WA MILELE
Quran 2:255, Sifa ya milele ni ya Mungu pekee Je Yesu hiyo sifa unayo?
Waebrania 13:8 Yesu Kristo ni yeye yule jana na leo na hata milele,
Sifa ya Umilele teyari Yesu amesha inyakuwa.

2 MUNGU NDIE MUUMBAJI
Je, hii sifa ya Uumbaji Yesu wa Biblia anayo?
Quran 5: 110. Na pale Mwenyezi Mungu atapo sema: Ewe Isa bin Maryamu! Kumbuka neema yangu juu yako, na juu y…

KWA NINI NAKATAA KUWA MWISLAMU?

Image
Katika ulimwengu wa leo kuna njia nyingi za kutumaini. Furaha ya milele na Mbinguni vina hubiriwa kila mahali. Hata hivyo kuna dini nyingi tofauti, filosophia na mawazo juu ya tumaini hilo (furaha ya milele) vinatofautiana. Na kila mmoja katika tofauti hizo za dini na filosophia na mawazo juu ya tumaini hilo; anaamini ya kuwa amesimama katika ukweli. Katika Surat Maryam, Kuruan inasema kuwa (19) 71.72. Inasema, wala hapana yoyote ila mwenye kuifikia jehanamu, maana ni wajibu wa Mola wako umekwisha kuhukumiwa, nasi tutawaokoa wale wamchao na kuwaacha madharimu hali wamepiga magoti. Kuruan inakiri kuwan kila bin-adam amekwisha hukumiwa kuingia Jehannam kwa maana huo ndio wajibu wa Allah kuwaingiza watu Jihannam. Allah anaendelea kusema kuwa, yeye atawaokoa Waislam baada kuingia Jehanam. Je, haya madai ni kweli? Quran 40: 60. Na Mola wenu Mlezi anasema: Niombeni nitakuitikieni. Kwa hakika wale ambao wanajivuna na kuniabudu Mimi wataingia Jahannamu wadhalilike. Katika Surat Ghaafir inaki…

YESU NDIE NJIA NA KWELI NA UZIMA!

Image
Katika ulimwengu wa leo kuna njia nyingi za kutumaini. Furaha ya milele na Mbinguni vina hubiriwa kila mahali. Hata hivyo kuna dini nyingi tofauti, filosophia na mawazo juu ya tumaini hilo (furaha ya milele) vinatofautiana. Na kila mmoja katika tofauti hizo za dini na filosophia na mawazo juu ya tumaini hilo; anaamini ya kuwa amesimama katika ukweli.

Na maisha ya mwanadamu yamefikia mawazo ya hali ya juu. Wengi wetu wanapenda kuishi katika dunia hii kwa muda mrefu iwezekanavyo. Baadhi yao wanategemeo la kuishi milele katika dunia hii.

Lakini kuna njia moja tu ya kumuingiza mtu katika furaha ya kweli ya milele. Kuna ukweli mmoja tu, umfanyao mtu kuwa huru. Kuna namna moja ya maisha itakayomfikisha mtu katika uzima wa milele. Yesu Kristo Mwana wa Mungu, ndiyo “Njia, na Kweli na Uzima.” Kumbuka Yesu mwenyewe alisema, “Mimi ndimi njia na kweli na uzima; mtu haji kwa Baba ila kwa njia ya Mimi,” Yoh. 14:6. 

Na Yesu Kristo ni “Njia na Kweli na Uzima.” Kwa sababu Yeye alikufa kwa ajili ya dhambi…

JE, NI HAKI KWA MKRISTO KUSALI(KUOMBA) JUMAPILI?

JE, KUNA USHAIDI WOWOTE ULE NDANI YA BIBLIA UNAO MRUHUSU MKRISTO KUSALI(KUOMBA) JUMAPILI?

Tafadhali ungama nami katika somo hili fupi ambalo lina leta utata mwingi sana kwa waaminio katika Kristo na hata wale wanao mfuta Allah. Sasa rejea na soma hii aya hapa chini: WALIKUTANA SIKU YA KWANZA YA JUMA:
Matendo 20: 7 Hata siku ya kwanza ya juma, tulipokuwa tumekutana ili kumega mkate, Paulo akawahutubu, akiazimu kusafiri siku ya pili yake, naye akafuliza maneno yake hata usiku wa manane. Siku ya kwanza ya Wiki ni Jumapili na hii ni siku ambayo walio mwamini Yesu walikusanyika na kuabudu. Huu ni ushaidi wa kuonekana kwa macho ambao Wakristo wanaabudu Jumapili hivi leo na walifanya hivyo katika Karne ya kwanza. 1 Wakorintho Mlango 16 1 Kwa habari ya ile changizo kwa ajili ya watakatifu, kama vile nilivyoamuru makanisa ya Galatia, nanyi fanyeni vivyo. 2 Siku ya kwanza ya juma kila mtu kwenu na aweke akiba kwake, kwa kadiri ya kufanikiwa kwake; ili kwamba michango isifanyike hapo nitakapokuja…

NINI MAANA YA BIBLIA?

Biblia ni mkusanyiko wa vitabu 66 vilivyo andikikwa na watu 40 katika lugha tatu kuu, na katika mabara Matatu, takribani miaka 1600 kabla na baada ya kuzaliwa Yesu. Biblia ni kitabu kutoka kwa Mungu na kisicho kuwa na makosa yeyote yale.

Biblia inabeba mambo mbali mbali ikiwa ni pamoja na Mashairi(Zaburi), Historia (Mwanzo), Sheria (Taurat) na unabii. Biblia ndio kitabu kinacho tumiwa na Wakristo na ndio muongozo wa Wakristo katika kumtafuta Mungu. Zaidi ya hapo, Biblia hutumiwa kama njia ya Binadamu kuishi hapa Duniani.

Kimsingi, Biblia inaeleza asili ya mtu katika bustani ya Edeni pamoja na kuanguka kwake katika dhambi na nje ya ushirika na Mungu. Kisha inaeleza jinsi Mungu alivyo waita watu wake maalum kwa mwenyewe, Israeli. Mungu katika Biblia aliahidi Masihi atakuja kwa Israel ili aje kuokoa na kurejesha uhusiano wa mwanadamu na Mungu. Yesu alizaliwa na Bikira, alikufa juu ya msalaba, na kulipwa kwa dhambi, huu unabii upo katika Agano la Kale na kutimizwa katika Aga…

ROHO MTAKATIFU NA KAZI ZAKE KWETU

SOMO LA 1

ROHO MTAKATIFU,MTOA UTAKATIFU
Katika somo la kwanza katika mfululizo wa masomo haya yanayohusu Roho Mtakatifu,Tulijifunza kwamba Roho Mtakatifu,ni mtakatifu,hivyo anakuwepo na kudumu mahali palipo na utakatifu tu.Tukiwana maisha ya uchafu,yaani dhambi;humfanya Roho Mtakatifu akose makao kwetu,na hivyo hawezi kuwepo kwetu.Kama alikuwepo mwanzo kwetu,huondoka (1Samweli 16:14;
Zaburi 51:4,10-11).Sasa swali linakuja,tunawezaje kuwa watakatifu katika maisha yetu ili Roho Mtakatifu afanye makao
kwetu?Jibu ni kwamba,Roho Mtakatifu ,ndiye huyohuyo anayetoa utakatifu tunaouhitaji.Sasa tunamwangalia Roho
Mtakatifu kama Mtoa Utakatifu,kwa kutafakari kazi yake hiyo katika vipengere vitano:-
1. ROHO MTAKATIFU,ROHO ATUPAYE KUZALIWA MARA YA PILI
2. ROHO MTAKATIFU ROHO AWAFUFUAYE WATU WALIOKUFA KIROHO
3. ROHO MTAKATIFU, ROHO AWATIAYE UZIMA WATU WALIOZIMIA KIROHO
4. ROHO MTAKATIFU ROHO ATUPAYE UTAKASO
5. ROHO MTAKATIFU, ROHO ATUPAYE TUNDA LA ROHO

1. ROHO MTAKATIFU,ROHO ATUPAYE KUZALIWA MARA YA PILI
Hatu…